Search results

 1. Deogratius Kisandu

  Kuhusu walimu wa Sekondari kupelekwa shule za msingi

  KUSUHU WALIMU WA SEKONDARI KUPELEKWA SHULE ZA MSINGI. Serikali ina miaka takribani 3 haijatoa AJIRA, hivyo Walimu waliomaliza vyuo wenye Digrii wapo wengi mtaani, Ambaye hataki kwenda kufundisha MSingi aache KAZII TU, Hamna namna.Tutaajiri Walimu wengine.....Hii sio kwangu mimi Deogratius...
 2. Deogratius Kisandu

  Naunga Mkono Serikali kufuta vyama tukianza na CCM

  Nimesikia hoja ya kufuta vyama vya siasa juzi bungeni, nikafikiria kweli hili litawezekana kufuta CCM yetu? Deogratius Nalimi Kisandu.
 3. Deogratius Kisandu

  Utangulizi wa DOGUMA Takatifu

  Katika Kitabu hiki Kitakatifu jina litakalo tumika katika uandishi ni BIN NALIMI yaani MTOTO WA NALIMI, badala ya kuandikwa jina lote la Deogratius Nalimi Kisandu. Na hivi ni kufupisha ili iwe rahisi lakini yote nikuachia Jina Deogratius Kisandu lifanye kazi zingine. Bwana Mungu Atukuzwe.
 4. Deogratius Kisandu

  Leo 1/4/2018 nimekamilisha Uandishi wa Kitabu Kitakatifu cha "DOGUMA Takatifu"

  Kazi nilioianza miaka mingi nikiwa kwa Padre Ricardo Maria(Pekupeku) Morogoro ya kuandika Kitabu Kitakatifu kipya cha "DOGUMA" hatimaye leo nimekikamilisha nikiwa mapumzikoni wilayani Magu.......Taratibu zingine zitaanza za uchapaji na Kusanifu, sitashirikisha mtu katika hili maana ni MAONO...
 5. Deogratius Kisandu

  Taarifa rasmi: Nimeamua kujivua ukristo ukatoliki na ukristu wote kwa mara ya pili

  TAARIFA RASMI: NIMEAMUA KUJIVUA UKRISTO UKATOLIKI NA UKRISTU WOTE KWA MARA YA PILI. Niliwahi kutamka kipindi cha nyuma na leo nimeona ni vyema nirudie kauli yangu Mimi Deogratius Kisandu. Mara ya kwanza nilijivua na baadae nililrejea tena, leo najivua rasmi na kujitoa kabisa katika imani ya...
 6. Deogratius Kisandu

  Mhimili wa Mahakama umeoza unahitaji huduma ya kwanza

  Kuna haja ya kufumua mfumo mzima wa mahakama na kufanyia marekebisho makubwa ili kulinda heshima ya Utu wa Mtanzania na kulipa Heshima Taifa la Tanzania.Nakuifanya Afrika kuiga kutoka Mahakama za Tanzania Deogratius Nalimi Kisandu
 7. Deogratius Kisandu

  Nini tofauti ya HAKIMU na JAJI ikiwa yote yana maana moja?

  Bado najiuliza hapa Tanzania kuna cheo cha HAKIMU na pia kuna cheo cha JAJI, sasa neno Jaji tumetoa kutoka neno la kiingereza JUDGE lenye maana ya HAKIMU katika lugha ya kiswahili. Je, kuna haja ya kutafuta neno mbadala?
 8. Deogratius Kisandu

  Kesi yangu imesogezwa mbele tena mpaka tar.18/4/2018

  Sijui tatizo lakini na mwachia Mungu ndimi DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.
 9. Deogratius Kisandu

  Kesho Machi 27, 2018 kesi yangu Deogratius Kisandu itaanza kusikilizwa mahakama ya Wilaya Nyamagana

  Ndugu watanzania na wale wote mnaonisapoti nawaomba kufika kwa wingi ili kushuhudia kile kitakachoendelea, najua wengi mnajua fika niko nje kwa Dhamana baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 50. Mungu ni mwema penye HAKI huwa Pana USHINDI. Siogopi kufungwa kwa Kusema UKWELI MTUPU. Saa 2 asubuhi takuwa...
 10. Deogratius Kisandu

  Tusihukumu bila kujua

  Babu yangu Mzee Ismail Kisandu alipoteuliwa kuwa Waziri kwa jina feki utawala wa awamu ya tatu sikushangaa mpaka leo, na Baba yangu Mzazi Nalimi Kisandu alipoteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya baadae Mkuu wa Mkoa kwa jina feki sikushangaa pia. Maana kila mmoja anapigania Nafsi yake. Ila mimi...
 11. Deogratius Kisandu

  Kuna haja ya Serikali kuondoa Malipo ya Mishahara ya watumishi wa Umma kupitia NMB Bank na kupeleka BANK zingine.

  Sidhani kama hili serikali wanaliona, kwa muda mrefu Bank hii ya NMB imekuwa na mapungufu sana katika utendaji kazi wake ikiwemo viburi vya Taasisi yenyewe kwa kuwa wamepewa dhamana ya kutoa malipo ya Mishahara. Naomba tu Serikali isiangalie kunufaika binafsi bali iangalie Mtumishi wake...
 12. Deogratius Kisandu

  Kwanini natarajia kuanzisha Dini mpya (Dini ya Uzalendo) na Kitabu kipya kitakatifu(DOGUMA Takatifu)

  MATARAJIO YANGU MAPYA/MY NEW GOALS. 1. Kuanzisha Dini Mpya Duniani itakayoitwa ''DINI YA UZALENDO'' (PATRIOTIZM RELIGION) na itakuwa Dini ya Serikali. / To introduce new Religion and will be named ''PATRIOTIZM RELIGION'' and will be a Religion of Governing a Government affairs. 2.Kuunda na...
 13. Deogratius Kisandu

  Tofauti ya maandamano na matembezi

  Tofauti ya MAANDAMANO na MATEMBEZI. Maandamano; ni kupigania jambo ambalo limekosa Suluhu kila eneo na hivyo nguvu ya ziada inatumika kupata Suluhu.(VURUGU) Matembezi; ni kupigania jambo fulani kwa kudai haki ya kutaka Suluhu kwa makubaliano ya amani.(MAKUBALIANO) Deogratius Nalimi Kisandu...
 14. Deogratius Kisandu

  Nimepata dhamana na kutoka mahabusu Magereza Butimba-Mwanza

  Ndugu Watanzania hasa wale mnaonifatilia najua mnafahamu kuwa nilikamatwa tarehe 24 Januari 2018 hapa jiji Mwanza kwa kesi ya Mitandao ya jamii. Ninashukuru jana tarehe 15/3/2018 ndugu zangu wameniwekea dhamana kutoka wilayani Kahama, na sasa nipo nje kwa Dhamana. Nawashukuru wale wote waliofika...
 15. Deogratius Kisandu

  Naibu Waziri wa sanaa, Shonza umechemka kuwasimamisha kazi wasanii Giggy money na Suzan kinyume na ustarabu wa hekima

  Kwanza umeonesha una wivu na wasanii wa kike na umeonesha una mahaba na wasanii wa kiume. Wanawake huwa mna mengi ya kuoneana gere. Juzi tu tumekuona ukiwa kimbelembele kuwapeleka Studio Babu seya na mwanae kisa tu mnataka kick ya CCM. Lakini Leo kupitia TCRA umewapiga nyundo wasanii wa wawili...
Top Bottom