Search results

 1. GreenCity

  Rais Magufuli: Ukiikataa bajeti, usiniombe" je ukiikataa sheria hupaswi kuifuata?

  MHESHIMIWA RAIS, nadhani ifike kipindi uanze kutumia hotuba za kuandika. Muda huu ukiwa Tarime nimeskia ukimwambia mbunge wa upinzani Esther Matiko kuwa, kwa kuwa huwa wanakataa kupitisha bajeti bungeni, basi hapaswi kumuomba rais utekelezaji wa maendeleo jimboni kwake. Hii ni aibu! Pamoja na...
 2. GreenCity

  natafuta/niuzie mashine hizi zifuatazo:

  1. Vacuum cleaner (kwa ajiri ya kuondolea vumbi sehemu mbali mbali kama carpets) 2. Gardening pressure mashine (kwa ajiri ya kusukuma maji kwa ajiri ya kuoshea vitu kama magari au kumwagilia) Nb: hiyo ya 1 nikipata ya mtumba (not used in Tanzania) itakuwa heri! Nipo Tunduma, Idadi ni...
 3. GreenCity

  TRA, tazameni mlivyoniongezea umaskini

  Wiki iliyo pita nilijibana kumwezesha dogo afanye hiyo interview lakini it backfired against me! Ifuatayo ndio budget : 1. Nauli - Tunduma ~Dar~Tunduma = 86,000/= 2. Malazi - siku 2= 30,000 /= 3. Chakula 10,000/day x3days= 30,000/= 4. Calculator - 15,000/= 5. Passports size - 4,000/= 6...
 4. GreenCity

  Aliyewakosoa watoto wa Obama ajiuzulu

  Mfanyakazi katika chama cha Republican nchini Marekani amejiuzulu baada ya kukosolewa kwa kuwatuhumu wanawe Rais wa Marekani Barack Obama , Sasha na Malia kwa kuwaambia kuwa wamekosa ustaarabu. Elizabeth Lauten, afisaa mkuu wa mawasiliano wa mwanasiasa mkuu wa chama hicho, Stephen Fincher...
 5. GreenCity

  Sakata la mtoto "kuteswa", polisi yapanga hiki

  Wakuu katika matukio ya kijamii yaliyoumiza wengi wiki hii basi la huyu mtoto wa Kampala kutaka kuuliwa na yule housegirl shetani ni kubwa zaidi! Jana tarehe 22 November 2014 ndiyo tulio wengi tumepata taarifa hii, na binafsi nimekutana na wanaume kwa wanawake kadhaa wakisema wametoa machozi...
 6. GreenCity

  Cashier anahitajika haraka

  Japo nimeipata kwa kuchelewa lakini watafutaji naomba tushee hii kitu. Lashaine Company Limited ya Iringa mjini inatangaza nafasi moja ya kazi kwa vijana hasa wa mjini Iringa kuwa inahitaji kijana mwenye uwezo wa kufanya kazi za cashier katika workshop yake iliyopo maeneo ya chuo cha RETCO...
 7. GreenCity

  Wadau wa iphone smartphones mpoooo!

  habari njema, wadau wahitaji wa IPHONE smartphones, natarajia kuingiza mzigo wa iphone na bidhaa nyingine toka US tarehe 12 july 2014. tayari nina iphone3GS za kutosha na offer yangu ni @ Tsh 295,000/= tu. ni almost mpya lakini sio toka dukani directly, ni unlocked, plus cable zake, plus charger...
 8. GreenCity

  natafuta mother board ya DELL 630 LAPTOP

  kama una laptop aina ya DELL 630 au 620 ilikufa display, housing au kwa vyovyote, lakini mother board yake ni nzima na uko tayari kuuza nichek kwa PM au sms 0686822006. ukiwa Dar, Moro, Iringa, Mbeya, au Arusha nitabeba gharama za kukufuata! karibu!
 9. GreenCity

  Askofu KKKT: Hivi ndivyo wapinzani walivyosababisha vurugu bungeni

  Ni katika ibada ya leo! Askofu wa KKKT dayosisi ya Iringa Dr. Mdegela alipoamua kuwaambia waumini wake kuhusu kilichotokea bungeni tarehe 06/sept/2013 kama ifuatavyo: anaanza "... ndugu zangu leo ngoja niwaambie kilichosababisha vurugu za juzi bungeni.... najua humu ndani (kanisani) kuna watu...
 10. GreenCity

  Ushoga: Je wote wataitwa mashoga?

  Habari ya Ijumaa wakuu! naomba kueleweshwa hivi hawa wenzetu waliochagua mtindo wao wa kuoana/kutumiana/kuvunjiana utu wao huku wakiwa ni jinsia moja (same sex couple/gays a.k.a mashoga au mabwabwa au mambo safi au most popular "WALIBERALI"; ni yupi hasa kati yao wawili anayekuwa MLIBERALI...
 11. GreenCity

  Vikao vikuuubwa, maamuzi mabooovu!!!

  ni kuhusu kugawanya mkoa wa Mbeya. Songwe ndilo jina lililopendekezwa kuitwa kwa Mkoa Mpya utakao gawanywa kutoka Mkoa wa Mbeya ambao utakuwa na Wilaya za Ileje, Chunya, Mbozi na Momba ambapo Makao makuu ya Mkoa huo utakuwa Mkwajuni Wilayani Chunya. Mkoa wa zamani Mkoa wa Mbeya...
 12. GreenCity

  Dell latitude d630 haitaki kupokea mzigo

  Ladies na Magents wa Tech, Gadgets & Science Forum, wasaalam! PC yangu inapoanza kuzingua mara nyingi huwa najaribu kuinstall ant-virus na kuscan partitions kwa kadili niwezavyo na inapotokea bado ina tatizo, huwa nafanya system restore; lakini ikizidi kuzingua au ikifail ku-restart completely...
 13. GreenCity

  Till nyingine ya m-pesa hii hapa

  Wakuu heshima kwenu. Kwa wale wajasilia mali na wale wanaotaraji kuwa wajasilia mali,(na kwa wale waliokosa awamu iliyopita hapa) nina agent till mpya 1 na used 1 za M-pesa ninaziuza. Bei ni 200,000/= tsh. used (non-negotiable). na 250,000/= tsh. mpya (non-negitiable). Napatikana Tunduma...
 14. GreenCity

  CCM Mbeya: RPC anatukandamiza sana CCM!

  Nikiwa ndani ya daladala, kupitia Radio IbonyFm Habari nimemsikia katibu wa CCM mkoa wa Mbeya akilalamika kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya RPC DIWANI ATHUMAN amekuwa akifanya kazi kwa upendeleo hasa tangu CCM KUANZISHA KAMBI ya mafunzo kwa vijana wake maeneo ya Ivumwe jijini Mbeya! Aidha...
 15. GreenCity

  kumbe huyu jamaa ana "dunk" hivi

  SORRY kumbe ni shot na sio dunk! bofya hapa: http://www.facebook.com/photo.php?fbid=10151728787736929&set=a.182705986928.148984.137553061928&type=1&relevant_count=1&ref=nf
 16. GreenCity

  Iringa-meya akanusha kuwaruhusu wamachinga kufanya biashara mashine tatu.

  Wakuu jana nilileta uzi hapa, kuelezea ruhusa ya Meya wa Manispaa ya Iringa kwa wamachinga kuendelea na biashara eneo la mashine tatu. Lakini nimeshtuka leo kumsikia radio Ibony Fm akidai vijana hao walimwelewa vibaya au wameamua kupotosha ukweli kwa makusudi. Na badala yake amesema watakaa...
 17. GreenCity

  Iringa- wamachinga waruhusiwa kuendelea na biashara eneo la mashine tatu

  Katika hali ya kustaajabisha, wakati baadhi ya wamachinga kutoka Jijini Mbeya wakijiandaa kuja kulazimisha serikali kuruhusu wenzao wa Iringa kuendelea na mnada wa jumapili eneo la mashine tatu Iringa mjini; leo takribani wamachinga 40 wameongozana hadi kwa mkurugenzi Mr. Mwamwindi...
 18. GreenCity

  HIZI NDIO AJALI TATU TOFAUTI, KWA JUZI NA JANA MBEYA (zote zina maafa)

  JINAMIZI LA AJALI LIMEENDELEA KUIKUMBA MBEYA, AMBAPO KWA SIKU MBILI TU, TAKRIBANI AJALI TATU ZIMELIPOTIWA KUSABABISHA MAAFA. AJALI HII IMETOKEA KWENYE MTEREMKO WA MBALIZI, ROLI HILO INASEMKANA LILIFELI BREKI...
 19. GreenCity

  Ajali mbaya, mbeya asubuhi hii

  AJALI MBAYA YATOKEA WILAYANI RUNGWE MTEREMKO WA UWANJA WA NDEGE BASI LA ABIRIA AINA YA COSTA IMETUMBUKIA MTONI PAMOJA NA ABIRIA HABARI KAMILI TUNAFUATILIA TUNAELEKEA KWENYE TUKIO.CHANZO: Mbeya Yetu Blog Blogs za Mikoa
 20. GreenCity

  Nauza TILL ya M-PESA

  Wakuu heshima kwenu. Kwa wale wajasilia mali na wale wanaotaraji kuwa wajasilia mali, nina agent till ya M-pesa ninaiuza. Sababu ya kuiuza ni baada ya kuletewa nyingine nikiwa tayari ninamiliki nyingine. Bei ni 200,000/= tsh. (non-negotiable). Napatikana Tunduma, Mbeya na Iringa (yaani...
Top Bottom