Search results

 1. Nazjaz

  Mazoezi ya wanajeshi wa Uswizi

  Haya ndio mazoezi mepesi ya kijeshi
 2. Nazjaz

  Nyumba ya Freeman Mbowe yazungukwa na polisi wenye silaha

  Polisi wenye silaha wameizunguka nyumba ya Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe. Tumuombe sana @freemanmbowetz maana naskia hao jamaa wenye silaha waliozingira nyumba yake wanasema wametumwa kuchukua roho ya Mbowe.
 3. Nazjaz

  Napendekeza Magufuli awe Rais wa maisha, tufute vyama vingi

  Hii ndio Demokrasia ya Tanzania🇹🇿. Ushindi wa CCM ni aailimia 99.9 upinzani umeshatoswa baharini. Bunge liapishwe, katiba ibadilishwe, Magufuli awe rais wa maisha Kama yule wa China. Tuvunje uhusiano na mabeberu wa magharibi, sisi Ni nchi tajiri wala hatuhitaji kusaidiwa. Tupige marufuku...
 4. Nazjaz

  Niwashitaki wapi Airtel Money kwa uhuni walionifanyia?

  Leo tarehe 28.10.2020 Airtel kwa kupitia huduma yao ya Airtel Money wamenisababishia usumbufu mkubwa sana, fedheha na kudharaulika kwa hali ya juu. Nilikuwa nimeenda shambani Bagamoyo kupiga kura kwani ndiko nilikojiandikishia. Niliweza kupiga kura yangu vizuri, nikaingia shambani KUENDELEA na...
 5. Nazjaz

  Nabii na chupi za upako kwenye wenye matatizo ya kimahusiano na nguvu za uzazi

  Jana nilimsindikiza shostisto wangu kwa nabii. Kilichompeleka yeye ni shida na changamoto za mahusiano yake. Mume mlevi, mume Malaya Kama mbwa, mume bahili, hajali ndoa Wala familia. Hajali ndugu zake Wala wa mkewe. Mume mgumu Kama ndevu za gaidi wa Mkuranga. Rafiki yangu huyu aliniomba...
 6. Nazjaz

  Wanawake tuna nini lakini?

  Hi haijakawa sawa hata kidogo. Una masumbuko yako, unaamua kwenda kuombewa. Unamkuta mchungaji ofisini kwake, unalia, unamuelezea matatizo yako weeee. Gafla unaanguka miguuni pake namna hi... Halafu hicho kinguo kilivyo chepesi, kinaangaza, ndani hujavaa kitu. Mchungaji wa watu unamuweka...
 7. Nazjaz

  JERUSALEM: Fahamu kuhusu Ngazi isiyohamishika

  Kichwa Kikuu NGAZI ISIYOHAMISHIKA. Kwa wale waliobahatika kwenda kuhiji Jerusalem bila shaka watakuwa wanalifahamu kanisa kongwe la Sepulchre lililojengwa mnamo mwaka 326 likiaminika kuwa ndimo lilipokuwa kaburi la Yesu Kristo pamoja na eneo ambalo Yesu alisurubiwa. Ukitazama kwa makini...
 8. Nazjaz

  Mama mkwe wangu akianza kupiga watoto haachi hadi awaume na damu zitoke

  Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki. Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao Wana watoto, hivyo basi mama mkwe anaishi na wajukuu zake pia. Kuna kitu kiko very weird nimekiona...
 9. Nazjaz

  Boxing Stance: Orthodox and Southpaw. Wapenzi wa ndondi tukutane

  ORTHODOX AND SOUTHPAW Kwenye ndondi, usimamaji wako huweza kuelezea aina yako ya mchezo. Kwenye ndondi watu hawasimami Kama askari, mguu sawa, au mguu upande. Ndondi mtu husimama akitumia akili nyingi Sana I'll aweze kushambuliwa kwa urahisi na kujihami kirahisi. Kwenye ndondi Kuna aina mbili...
 10. Nazjaz

  Mfalme Zumaridi yu hali gani huko aliko?

  Huyu Mwanamama anayejiita Mungu Zumaridi wa Mwanza baada ya kanisa lake kupigwa kufuli na serikali ya Rais Magufuli, nataka nijue afya yake inaendeleaje? Ni hayo tu, inakuwaje serikali ina nguvu kuliko Mungu Zumaridi, huu sio utu wema.
 11. Nazjaz

  Wananchi wa Bujonde Kyela wamkataa Mwenyekiti waliochaguliwa na CCM

  Habari kamili, Bujonde: Wananchi wa kitongoji cha itope kata ya Bujonde wamemkataa vikali mwenyekiti wao mpya kupitia Chama cha Mapinduzi kuwa hawamtambui na kusema hawataki atoe matangazo yoyote kuhusiana na kitongoji hicho. Hayo yametokea leo katika msiba wa ndugu David Kimetelo alifariki...
 12. Nazjaz

  Faizafoxy amewazidi akili, uelewa na ufahamu wanaume wote wa JF ndio maana hawampendi

  Mwanamama FaizaFoxy , NGULI na mtabobezi wa maswala ya mawasiliano ni tishio hapa jamvini ndio maana anaogopwa na kushambuliwa kila anapoandika. Hamna wa kumshindia kwa hoja, iwe Ni kwenye siasa, uchumi, dini, teknolojia, social issues, na Kila kitu. Wanaume dhaifu humuona FaizaFoxy Ni kiumbe...
 13. Nazjaz

  Wanawake tutafute elimu na pesa tuuporomoshe mfumo dume

  Ukiwa na elimu na pesa, mwanaume atakushinda nini? Tabia ya utegemezi imetufanya tuwe watumwa, tudhalilishwe na kudharauliwa. Ukiwa na elimu yako na pesa zako unatanua wigo wa uhuru wako. Utamtoa mtu wako kwa ajili ya candle light dinner, utampeleka vacation, utamjengea mama yake nyumba huko...
 14. Nazjaz

  Serikali ina mpango gani na majengo yake yaliyopo Dar es Salaam?

  Nimepita Utumishi, Wizara ya Katiba na Sheria, na majengo mengine ya Wizara mbalimbali, nikajikuta machozi yanitoka. Majengo yanakufa, yamegeuzwa magofu. serikali hii kwanini imeyatelekeza majengo yake yaliyopo Dar es Salaam? Kuhamia Dodoma kunaonekana kumefanywa kwa kukurupuka. Basi...
 15. Nazjaz

  UCHAMBUZI: Biashara ya ukahaba

  Ukahaba (kutoka Kiarabu: قحبه qahabatun = malaya) ni tabia au tendo la kufanya ngono nje ya ndoa au uhusiano unaokubalika katika jamii, tena na watu mbalimbali na kwa malipo. Mtendaji anayepokea malipo huitwa kahaba au malaya; washiriki wanaotoa malipo huitwa wateja. Kama ukahaba unaendeshwa...
 16. Nazjaz

  Ndoto ya mume wangu inatuumiza mioyo, hatuelewi

  Salaam. Kwa wale walio Dar Es Salaam, hongereni na poleni kwa mvua. Usiku wa kuamkia leo, mume wangu kaota ndoto ambayo kwakweli imetuacha vichwa vikiuma. Ameota alikuwa anafanya mapenzi na shemeji yake (mke wa kaka yake) walikuwa wanafanya mapenzi hadharani kwenye garden huku watu wakishuhudia...
 17. Nazjaz

  Wanaume, jifunzeni kusema I am sorry hata kama hujakosea

  Kichwa kikiwa kinauma,just say, I am sorry my darling, it is my fault. Nitapona mara moja. Nikiwa na stress, just say I am very sorry it's my fault. Nikiunguza chakula, au chumvi ikizidi, wewe niombe msamaha. Ndoa itakuwa tamu Sana. Ntakupenda milele
 18. Nazjaz

  Mchungaji Lusekelo "Mzee wa Upako" alia na uhaba wa sadaka

  LUSEKELO ASEMA MAISHA NI MAGUMU Mchungaji Anton Lusekelo "Mzee wa Upako" anasema zamani watu walikuwa wanatoa sana sadaka walikuwa wanatuma sadaka kupitia namba zake za simu. Anasema kwa sasa ni tofauti watu wamekuwa wagumu kutoa sadaka, kwake inampa ugumu wa kurusha matangazo kwenye tv kwani...
 19. Nazjaz

  Mwenge Moro, Moto Moro

  Kuna haja ya kupiga marufuku huu Mwenge, kwa kweli unatulaza kwa huzuni. Isaya 50:11 Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
Top Bottom