Search results

 1. Nukta5

  Msaada: Nataka kujua utumikaji wa mafuta kwenye Valve Matic Engine

  Huu ni mfumo mpya mbadala wa VVTi upo kwenye gari aina ya Allion 2009 na premio 2009. Mwenye gari aina hizo naomba ufafanuzi wa matumizi ya mafuta
 2. Nukta5

  Saudi Arabia ruksa kwa wanawake na wanaume kutumia mlango mmoja mgahawani

  Sheria kila siku Saudi Arabia zinazidi kubadilika ninazozikumbuka ni ile ya wanawake kuendesha magari, wanawake kwenda kutazama mpira uwanjani, juzi pambano la Joshua na Ruiz limefanyikia kule leo wanabadili sheria iliyokataza wanawake na wanaume kutumia milango tofauti kwenye mgahawa. Yule...
 3. Nukta5

  Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akanusha ongezeko la makato kwa waajiriwa

  Mh. Ummy Mwalimu jana amekanusha uzushi uliokua umesambaa kuhusu ongezeko la makato ya bima ya afya kutoka sh. 18,000 hadi 40,000 akisema swala lipo kisheria mfanyakazi atachangia 3% na mwajiri wake atachangia 3%. Hii ina maana hiyo 40,000 mwajiri atatoa 20,000 na mfanyakazi atatoa 20,000...
 4. Nukta5

  Msaada: Nissan Bluebird Sylphy

  Habari wakuu ninaomba msaada wa kuzijua hizi gari za nissan bluebird kwenye ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spare parts nimeona bei inaridhisha nikaona nije kwa wataalamu kwa ushauri zaidi ahsante. Engine size: 1490cc
 5. Nukta5

  Naomba msaada kwa anaejua hizi gari

  Habari za jioni wakuu, nipo hapa leo kuomba msaada kwa mjuzi wa hizi gari upande wa utumiaji wa mafuta na mengineyo
 6. Nukta5

  Mbwa wazidi kuwa kero Jiji la Arusha, tafadhali mkuu wa Mkoa shughulika

  Habari za jioni wakuu, poleni na majukumu. Leo nimekuja hapa kuleta kero yangu kwa mkuu wa mkoa wa Arusha ndg Mrisho Gambo kama anapita huku aone kero inayozidi kukua siku hadi siku kero ya mbwa. Jiji la Arusha nadhani linaongoza kuwa na mbwa wazururaji kuliko jiji lolote nililowahi kwenda...
 7. Nukta5

  Wakuu nitapataje link ya kudownload hii movie

  Wakuu za muda huu, kuna series nimeiona kipande chake alipost Millard Ayo inaitwa Ingobernable inaonekana ni series nzuri na worth to watch it ila sasa kila nikiingia kwenye zile torrents zinaniletea mambo ya kujiunga VPN au kulipia tafadhali naomba mtu mwenye link ya kuweza kuipakua anisaidie...
 8. Nukta5

  Clouds media kuja na show ya East Africa Got Talent

  Ile show ya kushindanisha vipaji duniani inayomilikiwa na Simon Cowell imezinduliwa rasmi nchini Kenya jijini Nairobi na Waziri wa Michezo wa Kenya. Got talent ipo katika nchi 58 duniani, MD wa clouds FM Joseph Kusaga.ndipo akaiona fursa nakuamua kuwatafuta wawezeshaji wa hiko kipindi kuja...
 9. Nukta5

  Ingekuaje hili tukio lingetokea kipindi hiki

  Leo nimetafakari tukio lilitokeaga kipindi cha kikwete, Kipindi hiko Rais anaziara ya kikazi mikoa ya kaskazini msafara ukafika kwenye kituo kimoja cha mafuta cha tajiri mmoja wa.kichaga ambae hivi sasa maduka yake ya kubadilisha fedha za kigeni yamefungiwa, wakati wanaweka mafuta wakati wa...
 10. Nukta5

  Movie ya Idris aliyoigiza hollywood inatoka lini?

  Baada ya kumuona mwanadada/mwanamama Genevive Nnaji akizindua movie yake Netflix huku akisifiwa na wengi wakiwemo sisi watanzania, nikakumbuka nyumbani pia mbona mwaka juzi 2017 msanii wetu Idris Sultan alipewa nafasi ya kuigiza Hollywood na Director mkubwa kabisa kwenye movie inayoitwa...
 11. Nukta5

  Kwa nini hatuonagi maoni ya wabunge kama kina Bashe, Makamba, Kigwangala,Mabula, Ummy na wengine machachari wa CCM kwenye issue za kulenga jamii?

  Toka imeanza issue ya 1.5T ikaja ya koroshow, Vikokotozi, wanafunzi waliopata ujauzito kurudi shule na hili la CAG sijawasikia wakitolea maoni wananchi wao au wanaona ni sawa tu, Na wakiwa bungeni likija swala la ndege sijui project gani ambayo haimlengi mwananchi moja kwa moja atatumia hata dk...
 12. Nukta5

  Kwa nini hatuonagi maoni ya wabunge kama kina Bashe, Makamba, Kigwangala,Mabula, Ummy na wengine machachari wa CCM kwenye issue za kulenga jamii?

  Toka imeanza issue ya 1.5T ikaja ya koroshow, Vikokotozi, wanafunzi waliopata ujauzito kurudi shule na hili la CAG sijawasikia wakitolea maoni wananchi wao au wanaona ni sawa tu, Na wakiwa bungeni likija swala la ndege sijui project gani ambayo haimlengi mwananchi moja kwa moja atatumia hata dk...
 13. Nukta5

  Kwa nini hatuonagi maoni ya wabunge kama kina Bashe, Makamba, Kigwangala,Mabula, Ummy na wengine machachari wa CCM kwenye issue za kulenga jamii?

  Toka imeanza issue ya 1.5T ikaja ya koroshow, Vikokotozi, wanafunzi waliopata ujauzito kurudi shule na hili la CAG sijawasikia wakitolea maoni wananchi wao au wanaona ni sawa tu, Na wakiwa bungeni likija swala la ndege sijui project gani ambayo haimlengi mwananchi moja kwa moja atatumia hata dk...
 14. Nukta5

  Trafiki kuanza kupiga torch usiku kwenye magari yanayokwenda zaidi ya mwendo unaoruhusiwa

  Kwenye hichi wanachokianzisha wanataka waanzishe nyingine TRA ya polisi. Sijui huwa ni nani anaetoa haya mawazo na sijui sababu ni nin kuweka torch usiku. Kuna vitu vidogo vidogo vinavyosababisha uchumi uendelee kudorora na hiki ni kimoja wapo. Zaman nakumbuka natoka arusha to mbeya ilikua masaa...
 15. Nukta5

  Millard Ayo hongera sana ongeza bidii kujituma vijana tupate cha kuiga

  Kuna msemo wa kinyiramba unasema Hard work pays, hii imethibitishwa na MD wa clouds fm kwa kutania na kusema Millard Ayo amempita boss wake mshahara kwa kumaanisha Millard ni.kati ya watangazaji wanaolipwa mshahara mzuri kwenye tasnia ya habari na hii inatokana na juhudi yake ya kufanya kazi...
 16. Nukta5

  AY akiri kumiliki nyumba Marekani

  Msanii tajiri ambae huwa ni msiri sana wa mafanikio yake leo amekiri kumiliki nyumba Amerika pia akaongezea soon atahamishia makazi yake pande za States. Aliyaseme hayo akiwa clouds fm radio wakati anazzindua wimbo wake wa Safari. Hongera sana mzee wa commercial
 17. Nukta5

  Mwenyekiti wa chama cha Wafanyakazi na wewe ulihusika kwenye kutunga sheria ya mafao?

  Toka nimefahamu kuhusu hili swala la mafao kila siku najiuliza maswali hata sipati majibu yak. Hivi walikua sehemu gani wamekaa huku wanapanga, walikua wanamfikiria nani atakaekuja kukutana na hiki kikombe,hawakuweza hata kuwauliza ndugu zao kwamba hichi kitu kinafaa kukipeleka kwenye jamii...
 18. Nukta5

  VIDEO:Muswada wa sheria ya mafao ulivyokua unajadiliwa bungeni, inaonyesha kikokotozi cha mafao hakikuwekwa

  Nilikua napitia hiyo video jinsi muswada wa mafao ulivyokua, sidhani kama serikali inapenda wananchi wake kwa kuwa haipendi kukidhi haja ya wananchi kinyume chake inataka ijinufaishe yenyewe hii ni kwa sababu ilificha kikokotozi cha mafao kitakavyokua Ukiangalia hiyo video kwa upande wa waziri...
 19. Nukta5

  NAOMBA UFAFANUZI: Torch za kupima mwendokasi wa gari

  Jana niliomba gari kwa jamaa angu kuna mishe nilikua nafuatilia nje kidogo ya mji sasa toka mjini hadi ukute kibao cha kuruhusu kutembea zaidi ya 50 ni kama 20+km na kote nilitembea kama sheria za barabaran zinavyotaka. Sasa nilivyokikuta kibao cha kuruhusu kama 2km mbele nikakutana na trafik...
Top Bottom