Search results

 1. fred mwakitundu

  Yanga tuko vizuri

  Leo tena timu ya wananchi wanaibuka na ushindi wa saba katika VPL hapo kanda maalumu kwa kina Matiku,Marwa,Mwita,Mwikwabe na sasa tunabanana hapo kileleni na wale wauza ice cream wa Chamazi,mambo ni moto mikia mwaka huu tafuteni kombe la mbuzi,hahahahahahahahaha,kama nawaona vile
 2. fred mwakitundu

  NACTE komesheni utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu Northern Highlands Moshi

  Niwaombe Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kukomesha utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu cha Northern Highlands kilichopo mjini moshi mkoani Kilimanjaro pamoja na vyuo vingine jamii ya hiyo. Chuo hicho kinachomilikiwa na bwana Henry Mallya, kimekuwa kikiwadahili wanafunzi wasiokuwa...
 3. fred mwakitundu

  Waziri Mkuu wanachuo wa Chuo cha Ualimu Northern Moshi wametapeliwa. Wasaidie

  Mheshimiwa Waziri Mkuu, tunaamini unaendelea vizuri na mikutano ya uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi kwa chama cha mapinduzi (CCM)hapa mkoani Kilimanjaro na leo upo wilaya ya Rombo kumnadi Profesa Mkenda ambaye tunaamini atapata ushindi wa kishindo. Mheshimiwa Waziri Mkuu,wakati unaendelea na...
 4. fred mwakitundu

  Askofu Shoo wa kanisa la KKKT abanwa mbavu

  Kwenye Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) moto unawaka kweli kweli na waliouwasha moto huo ni wachungaji wachache wanaomshutumu askofu wao Dk. Frederick Shoo kuwa anaongoza Dayosisi kidikiteta. Wameainisha mambo manne, moja wanahoji kukua kwa deni la chuo...
 5. fred mwakitundu

  Waliotafuna Milioni 57 KCMC hawa hapa

  Hospital ya rufaa ya KCMC imetoa majina ya wafanyakazi wakala wa Fahari CRDB na mtumishi mmoja wa hospital hiyo walioshiriki kuiba sh,Milioni 57 katika kipindi kifupi cha miezi miwli ya Desemba 2019 na Januari 2020. Kulingana na Barua ya KCMC kwenda CRDB makao makuu Jijini Dar es...
 6. fred mwakitundu

  Kuna wizi mkubwa Hospitali ya Rufaa KCMC

  Kuna wajanja wamepiga pesa ya kutosha katika Hospital ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi lakini uongozi wa Hospital hiyo umefanya siri bila kujua katika ulimwengu huu hakuna siri tena. Wajanja hawa ndani ya miezi miwili tu(desemba 2019 na Januari 2020) wamepiga sh,Milioni 57 kupitia fedha...
 7. fred mwakitundu

  Nani kafufua ukabila Nchini?

  Askofu Gwajima na Usukuma Askofu Shoo na Uchagga Tarehe 3.3.2020 Viongozi wa dini wawili hapa nchini wamekata mawimbi ya anga kwa jambo linalofanana. Askofu Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima lililopo Dar es salaam, alihojiwa na polisi kwa kusambaza vipeperushi vyenye lugha ya kisukuma...
 8. fred mwakitundu

  Tajiri Panone mbaroni Moshi kwa kuuza oil feki

  Mfanyabiashara maarufu nchini aliyewekeza kwenye biashara ya kuuuza mafuta, Patrick Ngiloi ametiwa mbaroni na jehsi la polisi nchini akihusishwa na biashara chafu ya kuza oli feki. Ngiloi ambaye amejenga vituo vya mafuta kupitia kampuni yake ya PANONE vilivyoota kama uyoga kila kona sanjari na...
 9. fred mwakitundu

  Wasanii wafanya ufuska mlima kilimanjaro

  Kama huna taarifa za wasanii waliopanda mlima kilimanjaro kwa mbwembwe na wengine kuishia nusu njia kuelekea kituo cha Mandara kutoka lango la Marangu ni kwamba wenzao waliosonga mbele zaidi wameacha sifa chafu na ya kushangaza. Wasanii hawa licha ya kugharamiwa kwa kila kitu na serikali...
 10. fred mwakitundu

  Betty Machangu Vs Shally Raymond: Wanawake wa CCM wanaotoana macho kisa ubunge

  Nikisema ni mchuano wa kukata na shoka mwaka 2020 sitakosea kwa hawa wanawake wawili wa CCM mkoani Kilimanjaro,Betty machangu na Shally Raymond. Bahati mbaya sana mchuano wao ni wa kishamba,mchuano wa kuchafuana,kila mmoja akitumia nguvu ya pesa na wapambe wake na kama CCM watakifanya hawaoni...
 11. fred mwakitundu

  Kazi hii ya Rais ni ya kupongezwa hata K'njaro ubambikiwaji wa kesi upo

  Naanza kwa kumpongeza Mh Rais John Magufuli kwa kazi kubwa ya kuendesha nchi na kupigania haki za wanyonge, tumeshuhudia hivi karibuni mkuu wa nchi akitembelea Gereza Kuu la Butimba Mkoani Mwanza na kusikiliza kero za wafungwa na mahabusu, alisikitishwa na kero za wafungwa na mahabusu...
 12. fred mwakitundu

  Mlinzi wa shule ya Sekondari Scolastica, Hamis Chacha aliyeua Mwanafunzi, ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

  Taarifa kutoka Moshi zinapasha kuwa,Mahakama Kuu kanda ya moshi imemtia hatiani Hamisi Chacha aliyekuwa mlinzi wa shule ya sekondari ya scolastica baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa makusudi mwanafunzi Humphrey Makundi mwaka 2017. Mwanafunzi huyo alikuwa anasoma kidato cha pili...
 13. fred mwakitundu

  Mbunge CCM adakwa akigawa rushwa ya sukari Moshi

  Sasa kumekucha,Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rshwa(Takukuru)imemkamata mbunge wa Viti Maalum(CCM),Shally Raymond akituhumiwa kutoa rushwa ya sukari kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT wilaya ya Moshi Vijijini katika juhudi zake za kujijenga kisasa kuelekea uchangui Mkuu 2020. Mbuge huyo yuko...
 14. fred mwakitundu

  Vigogo Benki ya Ushirika K'njaro wafutwa kazi kwa ufisadi

  Maofisa watano wa Benki ya Ushirika Mkoani Kilimanjaro(KCBL)wamefukuzwa kazi kutokana na tuhuma za ufisadi wa mabilioni ya fedha za benki hiyo. Waliofukuzwa kazi ni pamoja na aliyekuwa meneja Mkuu wa benki hiyo,Joseph Solomon Kingazi,Ombeni Andrea Masaidi,Asha Hamis Kisega,Ukundi Leornard...
 15. fred mwakitundu

  Kigogo CRDB na mtandao wa wizi wa magari

  Ofisi ya Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai(RCO) mkoa wa Kilimanjaro,inadaiwa kumlinda Kigogo mmoja wa benki ya CRDB tawi la Moshi(jina kapuni kwa sasa)anayedaiwa kumiliki magari ya wizi. Namba za magari hayo,yalipoibwa,gereji walipobadilishia rangi na waliponunulia nyaraka ili kughushi...
 16. fred mwakitundu

  Gazeti la RAi limepigwa stop kuuzwa leo

  Taarifa zilizozagaa mjini na kwingineko ni kwamba Gazeti la RAI Nguvu ya Hoja la leo Machi 14 limepigwa pini na wakubwa ndani ya chama cha mapinduzi lisiuzwe mitaani na kuna maagizo kuwa lichomwe moto mara moja ili habari hiyo 'chafu' isiendelee kutamalaki mitaani. Kama hujabahatika kuliona...
 17. fred mwakitundu

  Kampuni ya Gee General Ltd ilivyochota mamilioni Bodi ya kahawa

  Kampuni ya Gee General Ltd inayojihusisha na ununuzi na uuzaji wa kahawa ni miongoni mwa Kampuni sita zinazochunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa nchini(Takukuru) ikihusishwa na uchotwaji wa Mabilioni ya fedha kutoka Bodi ya Kahawa nchini(TBC) na hii imeibuka baada ya ukaguzi...
 18. fred mwakitundu

  Polisi K'njaro mkamateni huyu

  Miaka mitano imepita tangu atoroke akiwa nje ya dhamana Kamran Ahmed raia wa Pakistan ambaye alikamatwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)akisafrisha wanyama hai wenye thamani ya shilingi Milini 170.5 wakiwamo Twiga wanne kwenda Doha Qatqr Falme za kiarabu akitumia ndege ya...
 19. fred mwakitundu

  Walioifilisi Benki ya Ushirika kilimanjaro wapo mitaani,hawajakatwa

  BENKI ya Ushirika Mkoani Kilimanjaro(KCBL), 'imekufa',ndiyo ninasema imekufa kwa sababu mpaka sasa haitoi huduma,ukifika ndani ya benki hiyo unakutana na ukimya uliotanda,kuna wateja wasiopungua kumi hadi 20 wanaufuatilia fedha zao. Benki imekataa kutoa fedha za wateja,imewalazisha kugeuza...
 20. fred mwakitundu

  Takukuru K'njaro yafikisha vigogo mahakamani

  Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro,Judethadeus Mboya na aliyekuwa Mwanasheria wa Halmashauri hiyo,Andrew Gregory ,wamefikishwa mahakamani mjini Moshi wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia hasara Halmashauri hiyo ya...
Top Bottom