Search results

 1. Mkikuyu- Akili timamu

  Kenya Meat Commision Transfered from Agriculture Ministry to Ministry of Defence (KDF)

  Wakuu, Hawa wajinga wa kenya sasa wamepitiliza ujuha wao. Hivi kdf watafanyia nini mifugo? Wameshidwa kuchija alshabaab sasa wapige ngombe na mbuzi risasi ama nini? ======= Uhuru transfers Kenya Meat Commission to Ministry of Defence Agriculture Cabinet Secretary Peter Munya has directed...
 2. Mkikuyu- Akili timamu

  Kenya: How Corona Billions were "eaten" by corrupt cartels

  Wakuu, Mara nyingi tu nimesema humu kwamba nchi ikitaka kupigana na corona, kwanza ipigane na ufisadi. Wengi wanashangaa kwanini Tanzania corona ni historia, kumbe wao hawafahamu kwamba ufisadi pia ni historia. Lakushangaza ni kwamba, Zile barokoa zilizo peanwa bure na "Jack Ma" kwa wakenya...
 3. Mkikuyu- Akili timamu

  Hivi waziri wa uUchukuzi Bw. Macharia alitudanganya kuhusu KQ kurudishiwa kibali Tz?

  Wakuu, Nilimusikia macharia akisema mambo shwari sasa, hivi alikuwa anatulisha matango pori au nini? Ndege za KQ bado marufuku. Hakuna ilotua bongo.
 4. Mkikuyu- Akili timamu

  Kenya imefungua anga kwa mataifa 11

  Hivi sijui kama hawa watu wanajua Tz kuna ndege mpya 8. === The Government has announced that international flights will resume starting August 1 with China and Zimbabwe among countries allowed air travel to Kenya. According to Transport CS James Macharia, agreed protocol dictates that...
 5. Mkikuyu- Akili timamu

  Ukahaba Kenya: Licha ya Corona, Biashara inaendelea sasa mchana kweupe (Video)

  Wakenya humu huwa na tabia za kusingizia mataifa mengine eti wanawaletea Corona kumbe Nairobi wadau wanaendelea kunyanduana huku wakupumuliana na kumwagiliana Ute ulio jaa Corona. Lakushangaza ni kwamba hawa makahaba hautasikia serikali inawapima corona, Madereva wa kutoka nchi jirani eti ndio...
 6. Mkikuyu- Akili timamu

  Tetesi: Uganda wamekataa SGR ya Kenya na ardhi waliopewa bure huko Naivasha

  Wakuu, Ukajanja wa Kenyatta umekwisha. Hongera Museveni, wacha linchi la njaa na ukabila likule ujeuri wao. ======
 7. Mkikuyu- Akili timamu

  Uganda removes truck drivers from COVID-19 count, reduces national tally

  Hii ligi ya EAC inafurahisha sana! Museveni ameona ujinga wa wenzake na kama kawaida ameegemea upande wa Rais Wa Africa Mhe. John Pombe Magufuli Wenzetu tuendelee kujifukiza ================================= Uganda removes truck drivers from COVID-19 count, reduces national tally Kampala...
 8. Mkikuyu- Akili timamu

  Wavutaji Sigara wana kinga zaidi ya Corona kuliko wasiovuta - Jarida la "Economist"

  Wakuu, Hivi Mimi huwa na mashaka sana na taarifa za economist baada ya mwizi na mhujumu Uchumi(mwandishi wa economist na mchafuaji wa rais JPM) Kabendera kukiri makosa yake Sijui sasa wakenya walamba miguu za wakoloni muaze majaribio ya sigara? Tanzania tuendelee na kujifukiza. Tutayaona...
 9. Mkikuyu- Akili timamu

  Tetesi: Price of crude oil falls below zero to -$37. Kenya is still trucking its oil to Mombasa

  Wakuu.. Hivi Mikenya ina kwama wapi? Mafuta ghafi duniani sasa ni ya kumwaga..Wanunuzi wanalipwa $37 na wachimbaji agalau wawaondolee mafuta kwa matenki yao.. Nchi ya GDP wako bize kusafirisha mashehena ya mafuta kutoka turkana kwenda mombasa😂😂 Meanwhile...Nchi ya Tanzania inaendelea kunawili...
 10. Mkikuyu- Akili timamu

  Kenya abandons "Mass Testing"🤔

  Wakuu, Hivi liinchi hili ni la drama kweli. Juzi tuliambiwa kwamba wanaanza "mass testing" Leo wamesema hawafanyi tena. Yaani nchi inaendeshwa kwa hisia,mikwara na mikurupuko. ======== Ministry rules out mass testing in plan to curb Covid-19 Ads by Stop seeing this adWhy this ad? Not...
 11. Mkikuyu- Akili timamu

  Tetesi: Closure of Tanzania border means supply of rice, cattle and maize is cut off

  Wakuu, Kumekucha, habari ndio hio.Tanzania ndio babalao. ====== FOOD INSECURITY! Prices of commodities rise in Migori amid dwindling supply Closure of Tanzania border means supply of rice, cattle and maize is cut off 'Most businesses have been affected, the few remaining ones are struggling...
 12. Mkikuyu- Akili timamu

  KQ protests as Kenya hands cargo deal to Ethiopian Airlines

  Wakuu, Yaani KQ, Shirika la taifa linanyimwa kandarasi ya kupeleka maua ya Kenya Ulaya😂😂😂 Hii nchi ni full confusion hadi raha😂😂 cc: joto la jiwe Geza Ulole ======== KQ protests as Kenya hands cargo deal to Ethiopian Airlines Kenya Airways is contesting a government deal allowing...
 13. Mkikuyu- Akili timamu

  We shall not buy maize from Kenyan farmers - Tamko la Waziri kwa wakulima wanaoendelea kuadhirika kiuchumi sababu ya Corona

  Wakuu, Kwanza niwapee update ya mechi inayoendelea enya. Sababu ya Vifo kwa sasa: Corona:- 4 Polisi wa corona-4 Inaonekana G.O.K hajaridhika na hii draw na ni muhimu ijumuishe wakulima kwa mchezo huu. Kufuatia kichwa cha badiko hili, Tanzania muwe tayari kuuza mabaki na grade 3 (chakula cha...
 14. Mkikuyu- Akili timamu

  Corona: Waliokufa kwa maradhi Kenya -2 Waliopigwa na Polisi wa Corona wakafariki -2

  Huu mchezo unasisimua kweli kweli Vifo Kwa sasa: Corona -2 Polisi -2 Dakika ni ya 2' mchezo bado 90'
 15. Mkikuyu- Akili timamu

  KQ sasa inapiga Route za daladala - wanasema hazina pesa za kukidhi mishahara na madeni

  Wakenya hapa walisema eti kununua ndege cash kama ATCL ni maamuzi mabaya. Sasa wanalia nini na mlikejeli ATCL kuanzisha biashara na routi za ndani? Mjifunze. ======= KQ applies for State bailout to avoid collapse Kenya Airways has sought a multi-billion shilling government bailout after the...
 16. Mkikuyu- Akili timamu

  Tetesi: Coronavirus: Ksh.119.6B wiped out at NSE as markets tumble

  Effects of Corona virus on economies where "Mzungu" investors own 70% of Stock Exchange 👇👇 ============= Coronavirus: Ksh.119.6B wiped out at NSE as markets tumble - Citizentv.co.ke
 17. Mkikuyu- Akili timamu

  DCI probing how blood donated by Kenyans is illegally sold in Somalia

  Wakuu, Hata kama kenya ina shida za ufisadi, Kuna mambo mengine ya kiajabu ajabu..Hivi haingii akilini KDF wanamwaga damu za alshabaab halafu fisadi anaiba damu ambazo wakenya wametoa bure kusaidia wagonjwa kenya anauza somalia.. ===== DCI probing how blood donated by Kenyans is illegally...
 18. Mkikuyu- Akili timamu

  Mikataba Mibovu: Tullow shocks Government with Sh204bn Turkana oil bill

  Wakuu, Mara nyingi nisema hapa wakenya wanafaa kujifunza kutoka kwa Rais Magufuli kwa mengi tu sio swala la uchimbaji madini pekee. Serikali ya kenya sasa inasema ipo "Shocked" kwamba beberu wa tullow oil anahitaji $2bn. Sasa mnashtuka nini na mlipo ona Magu ana vuja mikataba ya kinyonyaji...
 19. Mkikuyu- Akili timamu

  59% Girls in Kenya are not in school

  Dada mwanamuziki wa marekani Selena Gomez ametoa tetesi ya dhati kwamba Rais Kenyatta awache watoto wa kike waende shule. Aibu sana middle income kuwa asilimia 59% ya watoto wa kike hawana masomo😢😢 Hongera Tanzania, Rais Magufuli Kwa hili la masomo amejikakamua vilivyo, mabeberu wamebakia...
 20. Mkikuyu- Akili timamu

  Mkenya aliyechukua Video ya Ndege ya China iliyo shukiwa kubeba virusi vya Corona asimamishwa kazi

  Wakuu, Nakumbuka mwaka jana Mtanzania alichukua video ya bombadier ya ATCL ikisukumwa..ingawa ni hatia kuchukua video ukiwa "airside" ya uwanja wa ndege, Magufuli hakumkamata sababu yeye anaheshimu uhuru wa kujieleza.. Kenya ni tofauti sana..Jamaa tayari ni "Terrorist" apambane na kesi yake Why...
Top Bottom