Search results

 1. Maarifa

  Mlinzi wa Rais Malawi mmemuona?

  Huyu ametajwa kama mlinzi wa kutisha zaidi duniani!! maana katia gear zoote za kivita mwilini kumlinda mutharika wakati anaapishwa!! muscles za kijeshi ndio moango mzima! duhh Afrika tutafika kweli? The man was standing guard on top of a pick up truck as Malawi’s President Peter Mutharika...
 2. Maarifa

  Kibao temboni ukweli watu wanajua ndio kwa msuguri

  Wapendwa, Tanroads sasa warekebeshe hili, Muda mrefu watu wapeiga kelele lakini wapi!! ukiwa unatokea mikoani barabra ya Morogoro Ukishapita kibanda cha mjaa kituo kinachfuata kimeandikwa Temboni. Lakini hapo sio Temboni bali nui Kwa Msuguri! Hivyo watu wengi sana hushukia kwa msuguri...
 3. Maarifa

  Je kwa dalili hizi za ulevi wa umaskini tutafika?

  Ndugu wana jamvi, hebu pitia dalili hizi uone jinsi ambavyo watu wengi ni walevi wa UMASKINI. Je umeona wangapi? katika familia, majirani, makazini, mashuleni, vyuoni kila kona. ungeambiwa ufanye utafiti unadhani ungepata matokeo gani? LENGO TUONDOKANE NA ULEVI WA UMASKINI!! WEWE UMELEWA...
 4. Maarifa

  Elimu ya foundation ya chuo kikuu huria inatosheleza kumpeleka mtu chuo kikuu?

  Nimekuwa mdau wa Elimu muda wote Hivi karibuni tumekuwa tukishuhudia matamko na maelezo mengi tu kutoka kwa wadau mbalimbali wa elimu. Leo hoja yangu ni kuwa je Elimu ya FOUNDATION inatosha kumpeleke mtu kusoma degree? 1. Foundation hutolewa kwa muda wa mwaka mmoja 2. ili uqualify ibaidi uwe...
 5. Maarifa

  Shule ya msingi ya Asisi karibu na Kandoto sekondari; kama una mtoto hapo soma hii na chukua hatua

  Ninawasalimu wana jamvi wote wa JamiiForums, Ni majuzi tu nilibahatika kwenda Kandoto sekondari 19, Novemba 2016. kulikuwa na mahafali ya kidato cha nne. Wakati sherehe zikiendelea nikaona vitoto vidogovidogo vinazagaa pale nikauliza na hawa vipi? Majibu niliyopewa hata mengine kuandika humu...
 6. Maarifa

  Maswali ya kuuliza kwenye mahusiano - Ask your date these three questions if you want to know whethe

  Hii itawasaidia wale mnaoanza kutafuta wenzi wenu, ila ni ya Kiingereza humu wengi english mnaijua. jisomeeni wenyewe. Ask your date these three questions if you want to know whether they're relationship material When it comes to first dates, a lot of guys have a routine - a preferred...
 7. Maarifa

  Scholarships kwa wawanawake tu

  Hi kama una binti au mama at least kidato cha nne basi mwambie achangamkie hapo!! aweza kubahatika na maisha yakabadilika. ndo maana ya mtandao hii kupeana taarifa kama hizi. FUNGUA ATTACHAMENTS 2 KWA MAELEZO ZAIDI TANGAZO LA KOZI NA UDHAMINI Nafasi Opportunity Society (NOS) ni taasisi...
 8. Maarifa

  Mashine ya kutotolea vifaranga

  jamani wana jamvi, nilinunua kuku wa kienyeji kama 40 hivi kijijini. Sasa wameanza kutanga kwa fujo kweli. Lengo niwe na kuku wengi , shida kila anayetaka kuatamia wengine wanamfanyia fujo. Nimesikia kuna mashine za kutotolea vifaranga mwenye taarifa kamili please pm me asap. Mbarikiwe sana
 9. Maarifa

  Mbwembwe za muungano, nini maana yake?

  Wapenzi wana jamvi wa jamii forums!! ninawasalim katika jina la Tanganyika maonesho ya jana ama hakika yameniacha na maswali mengi sana.; ingawa yalipendeza sana na kutuhakikishia ulinzi imara na kwelikweli!!! 1. sijawahi kuona maandalizi ya kijeshi kwa shughuli ya kushrehekea uhuru wa...
 10. Maarifa

  Scholarships available for tanzanians 2013-14

  Hi, Happy new year to all. This is my new year 2014 present. if it does reflect you then your friend or relatives or even colleague. SCHOLARSHIPS AVAILABLE FOR TANZANIANS 2014/15 ACADEMIC YEAR Current collection of scholarships and fellowships is for Tanzanian students who wish to improve...
 11. Maarifa

  Hope channel

  Wpendwa mie ni mshabiki sana wa hope channel. Natumia dish la kawaida. Sasa nina mpango wa kutumia dstv or any other tv providers inayokamata. Satr times wanyo ila huwa ikatika katika sana siyo stable. Au nawezatumia dstv na kuipata. Please wakuu wa digitali naomba msaada wenu hapa mbarikiwesana
 12. Maarifa

  The open university of tanzania vacancy announcement

  Wadau Mchongo huo wa kazi. Whoever is interested basi changamkia post hizo. THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA VACANCY ANNOUNCEMENT The Open University of Tanzania (OUT) is a public university, established by the Act of Parliament No 17 of 1992. Since 1st January, 2007, the University has been...
 13. Maarifa

  Je ungekuwa humo kama abiria ungefanyafanya nini?

  ASSUME IT IS YOU IN THAT PLANE WHAT WILL YOU DO? 1 plane, 8 toilets and 26 puking passengers equals worst flight ever 7 hrs ago...
 14. Maarifa

  Kinondoni mabomu yanarindima na helicopter juu inazunguka...

  Ninavyoandika Mabomu yanasikika kutoka msikiti wa Mtambani Kinondoni. Barabara ya Kawawa kupitia kinondoni Imefungwa kwa Muda Vijana wa Kamanda Kova wanarusha mabomu huku wengine wako juu wanazunguka. Taharuki ni kubwa hasa kwa wanonunua na kuuza sokoni na wagonjwa kwa Dr Mvungi!! TUTAFIKA ?
 15. Maarifa

  JENERALI ULIMWENGU PRESENTATION AT OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA - MORAL DECAY Tanzania

  Jamani naomba mpate wakati wa kusikiliza Jenerali akiwa Open University. Presentation ni ya Kiswahili. NIMEIPENDA SIKILIZA TAFADHALI Then toa maoni yako. KARIBU
 16. Maarifa

  New employment rules for serious companies. Je tanzania zitatufaa????

  New Employment Rules For serious Companies to adopt SICKDAYS We will no longer accept a doctor's certificate as proof of sickness. If you are able to get to the doctor, you are able to come to work. MARTENITY LEAVE Kort Kort pregnant is banned. You must first apply to your superiors and with...
 17. Maarifa

  Taa za barabarani - katika kituo kipya cha mabasi cha mbezi mwisho dar es salaam

  :A S embarassed:Jamani jana usiku nilikatiza katika kituo kipya cha mabasi kilichojengwa mbezi mwisho. Ilibidi nisimame kama dakika kumi hivi kutafakari kwa kile nilichokuwa nakiona. TAA zilizowekwa ni za barabarani NJANO ISIYONG'AAA!!! Mimi sio mhandisi lakini haichukui dakika moja kubaini uozo...
 18. Maarifa

  Assisting someone to die when, how and where. Is it ok or not?

  Cancer Victim: Why I Went Abroad To Die By Thomas Moore, health correspondent | Sky News A woman who travelled abroad to die has told Sky News that politicians denied her the dignity of ending her life in her own home. Geraldine McClelland, 61, had terminal cancer and chose not to suffer the...
 19. Maarifa

  Biashara ya ulanguzi kwa watoto na madanguro Tanzania

  :angry: Nimeona nitumie kiswahili ili aibu hii ya Biashara ya Ulanguzi kwa watoto na Biashara ya Madanguro tuisome na kuichangia kitanzaniatanzania Maana Kwa kiingereza nimeona nitakuwa nimejianika mno kwa walio nje na maono mema ya nchi hii. Nimefusatilia sana mjadala wa BBC kwa siku tatu na...
 20. Maarifa

  Naomba mwongozo wa maneno ya kiswahili sanifu

  Nimekuwa nikifuatilia kwa makini hotuba mbalimbali na watu mbalimbali wakiongea, Mfano ni leo bungeni kuna kamjamaa kalikuwa naona kanawasilisha mambo ya utumishi. Sasa hicho kiswahili kilinishinda nimeamua kubadilisha channel!! THELATHINI------SELASINI TATHMINI---------TASMINI...
Top Bottom