Search results

 1. Augustoons

  Masharti haya ya ajira yana nia njema kweli kwa waomba kazi? Yana ulazima?

  Duuh! Siku Hizi Kuna Kila Namna ya Kubana Ajira kwa Kuweka Masharti Magumu kwa Waombaji wa Kazi.......Kaazi kweli kweli vi. FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY NOT ACCEPTED vii. Testimonials, Partial transcripts and results slips will not be accepted. viii. Presentation of forged...
 2. Augustoons

  Ni haki tra kuwalazimisha watu wanapolipia road licence kulipia na sticker ya fire?

  Hivi Jamani Nisaidieni,Kwamba ndio njia ya kulazimisha Kujipatia Pesa au ndio staili gani? Wabunge Wetu,Mnasemaje kwenye hili mbona mko kimya? Ni Hivi sasa hivi kumezuka utaratibu mtu ukienda TRA kurenew Road Licence aka Motor Vehicle, kwanza inachukua hadi siku tatu ili uipate tofauti na awali...
 3. Augustoons

  Nakala ya hukumu ya kesi ya zombe hii hapa

  IN THE HIGH COURT OF TANZANIA AT DAR ES SALAAM CRIMINAL SESSIONS CASE NO.26 OF 2006 REPUBLIC VERSUS ACP. ABDALLAH ZOMBE AND 12 OTHERS JUDGMENT MASSATI, JK: (rtd) (1) EPHRAIM SABINUS CHIGUMBI, (2) SABINUS CHIGUMBI @ JONGO, (3) JUMA NDUGU and (4) MATHIAS LUNKOMBE...
 4. Augustoons

  CCM ilihusika kifo cha Wangwe?

  Ndugu wadau, Hivi karibuni nimepata kupokea ujumbe huu kwenye inbox yangu toka kwa watu tofauti tofauti,nikatafakari yale yaliyomo na yale tunayojadili hapa jf,nikahisi kwamba labda kuna kuna uhalsia fulani au sio na hivyo bora uje hapa jamvini kuona kama kuna hoja yoyote inayoweza kujengwa au...
 5. Augustoons

  Mmmh!....HII SASA IMEZIDI; YAANI HATA IKULU INATUMIA "@YAHOO.COM" ??!!!

  Wakuu heshima mbele, Siku chache zilizopita kulikuwa na thread hapa ikijadili kuhusu mfuo wa mawasiliano wa ikulu na mtumizi ya website au barua pepe,suala hili pia lilipata kuibuliwa kule bungeni.Niliufatilia sana mjadala huu japo sikuweza kutoa maoni yoyote.Kwa hakika sasa nimethibitisha...
 6. Augustoons

  Tunatafakari athari za uamuzi wa kuwachulia hose na mwanyika kwa familia zao-ikulu.

  Richmond:Ikulu yatoa tamko hatima ya Dkt. Hosea, Mwanyika Na Timu ya Majira Jumapili SIKU chache baada ya Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda kuwasilisha Bungeni taarifa ya Serikali juu ya utekelezaji wa maazimio 23 ya Bunge kufuatia kashfa ya kampuni tata ya Richmond na kubainisha kuwa...
 7. Augustoons

  Jengo laanguka huko yemen

  Wakuu, Taarifa ya Reuters inasema jengo moja la ghorofa 4 limeanguka huko YEMEN.Wafanyakazi wa uokoaji wanajaribu kutafuta waliofunikwa na kifusi ambapo inakisiwa hadi sasa watu wawili wamefariki,watano kujeruhiwa na wengine wanne hawajulikani walipo.Jengo hilo limeanguka wakati mafundi...
 8. Augustoons

  Utatu usio mtakatifu: Siasa, dini na biashara

  KUNA namna mbili kwa mtu kusafisha chumba chake; unaweza kufagia chumba, ukazoa takataka na kuzitupa. Lakini waweza pia kuzifagilia takataka chini ya jamvi. Ukifanya hilo la mwisho bado atakayeingia chumbani kwako ataona chumba kimesafishwa. Huko ni kujidanganya kwa mwenye chumba. Akiendelea na...
 9. Augustoons

  Yuko Wapi Prince Bagenda Na Tumaini Lililorejea?

  Wadau, Kama mtakumbuka vizuri wakati wa kampeni na hata baaday ya uchaguzi kuna kitabu kilichapishwa nadhani na Prince Bagenda na nakala zake kuchapwa sana magazetini.Naam kitabu hiki kilitueleza matumaini mengi ambayo kwetu yalitafsiriwa kama mategemeo ya awamu ya nne.Kauli za kitabu hiki...
 10. Augustoons

  Masikini Ze Comedy Imekosa Legal Advice

  Ze Comedy yapigwa ‘Stop' TBC na Sarah Kassim Katika hali ya kusikitisha haya ndiyo yanayowapata vijana wetu kipenzi wa zecomedy sasa. Hii yote inatokana na uhasama wa tembo wawili wao ni nyasi tu hapa. Je tutaacha kundi hili life je, jf tunawasaidiaje? Maana kinachowapata wao ndio...
 11. Augustoons

  Ufisadi:mfumo Mpya Wa Maisha Ya Binadamu?

  Tunasoma katika historia ya mwanadamu kuwa amepitia katika vipindi vikuu vitano vya maisha vinavyoitwa mifumo au modes of production.Mfumo wa kwanza kabisa unaitwa primitive communalism(ujima) mfumo wa pili unaitwa ukabaila(feudalism) na mfumo wa tatu unaitwa utumwa(slavery) na mfumo wa nne...
 12. Augustoons

  Ni Kweli Rais Hafanyi Maamuzi Bila Kuunda Tume?

  Happiness Katabazi NI miaka miwili tangu Rais Jakaya Kikwete aingie Ikulu, na katika kipindi hicho, hajawahi kufanya maamuzi yoyote kuhusu kero zinazowagusa wananchi bila kuunda tume. Ni stahili nzuri ya uongozi unaojali misingi ya utawala bora na kuheshimu haki za binadamu, lakini si...
 13. Augustoons

  Walioandamana Kumpinga Dk.ngasongwa Kushtakiwa

  Jamani hivi hawa ndio viongozi wetu? hawa wanawakilisha maslahi ya nani? ndugu wadau,hebu tuangalie uhalali wa haya mambo na George Maziku WANANCHI walioandamana wilayani Ulanga, mkoani Morogoro kumpongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kumwacha Dk. Juma Ngasongwa katika uteuzi mpya wa Baraza...
 14. Augustoons

  Hapa Jk Alimaanisha Nini?

  Akiongea na wazee wa Dar-es-salaam pamoja na mambo mengine Rais alisema "Ni kweli kwamba kwa muda wa wiki nzima nchi yetu na hasa siasa na uongozi wa Taifa letu vimepata mtikisiko mkubwa. Ni hali ambayo hatukuitegemea. Imetustukiza, tumefanya maamuzi ambayo hatukuyapanga na kupata matokeo...
 15. Augustoons

  Namna Hii Kuna Haja Ya Serikali Kubanwa Zaidi Kueleza Aliko Balali,...tujue Zaidi

  Wakuu nimesoma habari hii ambayo inanifanya nishindwe kuelewa lipi ndio lipi na hasa inafaa kukaa wapi katika forum hii.Lakini hata hivyo nadhani serikali yetu inapaswa kubanwa zaidi kutueleza huyu jamaa aliko,tumrudishe nchini tupate kuondoa utata uliomo.Maanake kutorudi kwake ni kufunika...
 16. Augustoons

  Mwananzila: Tulikurupuka sekondari za kata

  Mwananzila: Tulikurupuka sekondari za kata na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Awamu ya Nne, imekiri kukurupuka katika ujenzi wa sekondari za kata ambazo kwa asilimia kubwa zimekosa sifa za kupokea wanafunzi, upungufu wa walimu na vitabu. Akizungumza wakati wa mahafali ya tatu ya...
 17. Augustoons

  Manzese Kubwa Kabisa Duniani-kumbe Sio Tz Tu

  CC Utadhani bongo peke yake lakini kwingineko duniani kumbe hali inatisha? DHARAVI SLUM INAKADIRIWA KUWA NI SLUM KUBWA KUPITA ZOTE DUNIANI WAKATI,KIBERA SLUM INAONEKANA KUWA NI SLUM KUBWA KUPITA ZOTE AFRIKA,SIJUI MANZESE NI YA NGAPI? NAAM DHARAVI SLUM IPO INDIA.Nchi hii ndiyo inayoongoza kwa...
Top Bottom