Search results

 1. a.9784

  Uwakilishi bungeni 50/50

  Kupitia vyombo vya habari vya Chanel ten na ITV jana tarehe 11 April,2008,wanawake wameomba uwakilishi bungeni uwe ni asilimia hamsini kwa hamsini.Agenda hii ni miongoni mwa malengo yaliyomo katika ilani ya uchaguzi ya CCm ya mwaka 2005.Malengo hayo ni kwamba katika uchaguzi wa mwaka 2010 kama...
 2. a.9784

  JK anaichezea amani ya ZNZ

  JK amesema amesikitishwa sana na wana CUF kujitoa katika muafaka wa kisiasa visiwani ZNZ.Hivi ni kauli ambayo President alistaili kuitoa katika hotuba yake ya jana?Mimi nauliza hivi hiyo kamati ya muafaka JK alikua haijui?Big Up hatua mliyoichukua CUF kwani inaonyesha ni jinsi gani mmekereka na...
 3. a.9784

  Mahakama Tanzania Mnajidhalilisha

  Hivi wewe Jaji Kaijage na wewe ni fisadi au umelogwa,sasa ulichokifanya kumuachia mtoto wa Keenja ndio nini.Jamani mambo mengine ukisimuliwa katika mazingira ya kawaida huwezi kuamini kama binadamu wa kawaida anaweza akafanya hivyo.Sema huo ujaji ulipewa na mwenyekiti wa sisiem kwa hiyo unalipa...
Top Bottom