Search results

 1. rushanju

  Adhabu ya usaliti tayari, Vipi kuhusu jinai?

  Kwamba hiyo kesi itaamriwa na nani? Hakuna udikteta mbaya kama pale mahakama zote zinakumbatiwa.
 2. rushanju

  Kwanini DSTV hawaoneshi channels za ndani?

  Walikuwa wanaonesha wakachimbiwa mkwara mkali na TISIARAEI
 3. rushanju

  Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

  Nimekutana na watu wawili wameharibikiwa na Engine za magari hayo na wanasema tatixo lilisnzia kwenye mfumo wa upozaji. Mmoja alisema mfuniko ulikuwa haurudishi maji kwenye radiator na nyingine iliharibika thermostats.
 4. rushanju

  Gari kutetemeka ukiwa speed 70-80

  Hilo ni tatizo la Tie Road au Ball Joint
 5. rushanju

  Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

  Yombo zote siku hizi ni lami, kijichi iko Temeke. Vema ukakaa Tandika kwako kuliko Sinza kupanga.
 6. rushanju

  Askari wetu wa barabarani waone aibu!

  Halafu takukuru jioni wanarudi nyumbani eti hakuna aliyepokea rushwa. Wao kila kukicha wanaamkia mahakamani utadhani ni wafanyakazi wa mahakama
 7. rushanju

  Uchaguzi 2020 Tahadhari kuhusu Uwepo wa Vituo Feki/ Bubu/ Hewa vya Kupigia Kura

  Yaani haya mambo ya wizi yanaratibiwa na serikali kweli? Naona kama muujiza kabisa.
 8. rushanju

  Uchaguzi 2020 Wizara ya Mambo ya Ndani yawataka Viongozi wa Dini kutofanya kampeni

  Huyo Simbachawene kaandika hiyo barua kama nani. Je ana uhakika wa kushinda? Alipaswa kutulia kama alivyo rafiki yangu Mwakyembe
 9. rushanju

  Droni zawapa changamoto kubwa waongoza ndege

  Kujijweza na kutafuta sababu na visingizio tu. Nani mwenye drone yenye uwezo was kupaa mpaka ndege zinakipita huko juu. Hata hivyo hapa hatuna air traffic kubwa sana mpaka drone zionekane tishio. Pia hatuna done nyingi za kuleta madhara
 10. rushanju

  Yuko wapi Bernard Membe?

  Ukimpata umguse uone kama hanuki
 11. rushanju

  Watu waliosoma Urusi kwanini wakirudi nchini wanakuwa na kasoro fulani?

  Inatemea intake gani. Kwa mfano mimi nimesoma kule miaka ya tisini, mbona sina tatizo lolote. Mfano sasa hivi NIKO SEBLENI NIMEKAA JUU YA TV NAANGALIA MAKOCHI YANGU sina tatizo na yoyote.
 12. rushanju

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Nimehama Dar es Salaam nimekuja kukaa Dodoma Maisha yangu yote

  Alisema akiachia madaraka atakaa Bukoba Kagera. Naona anatumia makazi yake ya baadae kuwa sehemu ya kampeini
 13. rushanju

  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dotto James: Hatukurupuki, miradi na fedha/mikopo Bunge linahusika kisheria

  Feza, lizaa zamana. Huyu mtu anashindwa kujua mambo madogo ya kawaida. Sasa tutajuaje kama magumu ya kifedha anayaelewa? Hapa naona tumepigwa mapemaaa
 14. rushanju

  Picha: Kwa uzembe kabisa Serikali isivyojali mitambo yake!

  Nenda ofisi za serikali au nenda CCM mkoa pale Lumumba ndo utaona magari mazuri yanavyoozea hapo. Mengi yao yalifikishwa pale kwa matatizo madogo tu kama kuharibika AC nk. Hawawezi hata kuuza angalau kurudisha nusu hasara. Wanasubiri yanachakaa mpaka yanaoza. Huu ni zaidi ya UPUMBAVU
 15. rushanju

  Tanzania yapinga ripoti ya UN ya Tume ya Haki za Binadamu

  Bila shaka aliongea akiwa anafoka na kumtisha katibu mkuu wa UN. Tanzania buana.
 16. rushanju

  Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

  Ninayo NISSAN X-TRAIL tangu mwaka 2011 hadi leo iko barabarani. Nimebadikisha fan belt mara moja na ball joint mara mbili. Stabilizer link ndo mara nyingi. Lkn sijaona tatizo hiyo gari kabisa. Ni nzuri kwa masafa marefu. Uwe makini na mfumo wake wa upozaji.
Top Bottom