Search results

 1. mbenge

  Uchaguzi 2020 Hamasa ya wananchi kuunga mkono upinzani

  Mwaka huu wa uchaguzi tunashuhudia kampeni za uchaguzi zikiendelea kushika kasi huku upande wa upinzani ukiwa na hoja imara zenye kukosoa sera za kimazoea za chama tawala. Nasema ni sera za kimazoea kwa kuwa CCM haina hoja mpya zaidi ya ile ile ya kuzungumzia kutimiza wajibu wa kawaida kwa...
 2. mbenge

  Uchaguzi 2020 Hakika Tundu Lissu ni "living miracle"

  Mengi yalisemwa kuhusu YEYE pale aliposhambuliwa kwa jaribio la kioga ili kuweza kupoteza maisha yake. Zilijengwa hoja hafifu ili kuhalalisha udhalimu ule, kumbe wabaya wake hawakutambua ili mbegu iote ni lazima ichimbiwe ardhini na kisha imee na hatimaye iweze kugeuka kuwa mche na baadaye mti...
 3. mbenge

  Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, sauti ya wale waliokosa Jukwaa la kuongelea matatizo yao

  Sote tu mashahidi ya kwamba cheche za hoja zenye mashiko ya nguvu na zikishadadishwa na mantiki za kimdahalo, na hata kuibua mijadala yenye tija ktk kuhamasisha na kuwalazimisha makada wa CCM walazimike kumjibu TAL. Hii ni kuashiria cha wazi ni YEYE ndiye mwenye kuwakilisha wapinzani makini wa...
 4. mbenge

  Uchaguzi 2020 Joto la Kampeni leo limeshuka chini mno

  Ule msisimko wa kampeni nzima za uchaguzi kwa kinyang'anyiro cha nafasi nyeti ya ofisi ya Rais leo haukuwepo kabisa, si tu katika mitandao maarufu ya kijamii, bali pia kutoka katika vyombo makini vya habari hapa nchini. Hii yote ni kwa sababu yule Rais Mtarajiwa, "the game changer" hakuwa na...
 5. mbenge

  The Breaking Point by Denise Robins

  Nakihitaji kitabu hiki. The Breaking Point Beautiful Christa came to Queen's Lacey, a Buckinghamshire farm, as a young bride. Deeply in love with her husband Anthony Chalford, who adored her, but who is saddy dominated by his mother, Julia, her cold mother-in-law.
 6. mbenge

  Naona kila dalili za kuletwa upya hoja ya tishio la COVID-19 nchini

  Ndani ya hofu kubwa ya hatima ya kisiasa ya CCM kote Tanzania Bara na Visiwani tuelekeapi uchaguzi mkuu wa mwaka huu, huku ikiwa hofu ikiwa imetanda ktk anga la Tanzania juu ya umaarufu wa wagombea wa CDM na ACT Wazalendo dhidi ya mgombea wa CCM. Jambo hili halikutegemewa kabisa kutokea ktk...
 7. mbenge

  Wazazi tunajisikia vibaya sana pale yanapotokea matamko ya kisiasa yenye kugusa afya za watoto wetu

  Nakumbuka siku ambayo tamko lilitolewa ambapi vyuo vya elimu ya juu vilifunguliwa na sambamba na kidato cha 6. Ijapokuwa wengine hatukuwa na vijana wenye kuguswa na uamuzi huo, kupitia ndugu, jamaa na marafiki tuliweza kuguswa na hisia za wenzetu juu ya usalama wa kiafya wa vijana wao kutokana...
 8. mbenge

  Udharura wa kuyatoa mabasi ya mwendokasi 200 yalikwama bandarini.

  Nakubaliana kabisa na rai iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhusu kuondolewa kwa urasimu ktk masuala ya kikodi, na hatimaye mabasi ya mwendokasi yapatayo 200 yaruhusiwe kufanya biashara ili kukabiliana na gonjwa la COVID-19 na sharti la kiusalama la afya la "social distance" na kile...
 9. mbenge

  One term serving president

  Though it is least expected to many, but some positive parameters are start indicating such thing, and indeed both gossips at the corridors and hidden facts are inclined at an obtuse angle of such possibilities. Will it be the first time to experience such thing happen at our lovely country...
 10. mbenge

  Kifo cha Faru Fausta

  Faru Fausta akiwa na miaka 57, faru mweusi mwenye jinsia ya kike ameaga dunia siku ya tarehe 27-12-2019 muda mfupi kabla ya kuingia mwaka 2020. Faru huyu maarufu aliyepewa jina hilo, na anayetajwa kuwa alikuwa ni kikongwe zaidi ya faru wote duniani, alitunzwa kwa gharama kubwa na chini ya...
 11. mbenge

  Kiswahili kinatumia misamiati migumu mno ili kueleweka

  Leo nikiwa napitia jumbe mbalimbali zinazotumwa ktk mitandao ya kijamii, nimekutana na ujumbe mfupi uliotumwa ili kumfurahisha msomaji lkn ulikuwa hakika ni wenye kutafakarisha. Ujumbe wenyewe ulikuwa unasomeka, na nina unukuu kama ifuatavyo; "Wandugu nani ana maunzi laini *(software)* ya...
 12. mbenge

  Kinachoendelea kule Afrika Kusini na duniani kote

  Kuna misukumo yenye kuto kukamatika, yaani "unleashed drives" ambayo viongozi na watawala duniani kote hushindwa kukabiliana nayo. Hofu kubwa kwao ikiwa ni kutotaka kuwaudhi vijana ambao ndio mtaji mkubwa wa kisiasa wa kura ktk nyakati za uchaguzi. Wanasiasa wakiyatambua makundi ya vijana wenye...
 13. mbenge

  Tufanye tathimini sasa juu ya ubora wa elimu ya msingi itolewayo bure

  Ni muda upatao miaka minne sasa umepita toka pale serikali ya awamu ya tano ilipoanza kugharamia elimu ya msingi, hivyo kuifanya ipatikane bure kwa watoto wa Kitanzania, hasa wale wenye vipato vya chini. Nimegusia kuhusu vipato vya wananchi, kwa kuwa ni jambo lililokuwa wazi kwamba wale wenye...
 14. mbenge

  Majiji ya Tanzania yapangiliwe vyema kimakazi

  Maisha ya kawaida katika majiji yetu, ni yenye kuwakutanisha watu mbalimbali katika shughuli zao za kila siku za kibiashara, kidini, starehe na hata burudani. Shughuli hizo nyingi hufanyika katika makazi ya watu pasipo kujali makwazo, kero na hata athari zenye kuambatana nazo. Mathalani, katika...
 15. mbenge

  Pamoja na ukimya wa sasa wa RC wa DSM, lakini...

  Katika wakuu wa mkoa waliowahi kuongoza jiji la DSM, kijana wetu ndiye ambaye miongoni mwao anayeongoza kwa kuthibitisha na hata kuja mara kwa mara na mipango mingi ya muda mfupi katika kujaribu kutafuta suluhisho na ufumbuzi wa kero zinazowakabili wananchi anaowaongoza kwa uwazi kabisa...
 16. mbenge

  Ukusanyaji wa kodi katika biashara zenye mitaji midogo

  Leo nimejaribu kupita katika vichochoro vingi vya jiji la DSM. Lengo langu likiwa haswa ni kujaribu kujenga shahuku juu ya kupata taswira halisi ya uwepo wa wingi wa biashara ambazo ndogo na tena si rasmi. Nikiwa na maana ya kwamba hazitambuliwi na mamlaka husika za Kodi. Jicho la langu...
 17. mbenge

  Wigo wa kodi uendane na majibu ya kitafiti

  Leo nikiwa maktaba, nimebahatika kupitia "Organisation Chart" ya TRA. Pamoja na mambo mengine nilivutiwa na muundo wake katika sehemu ya "Department of Research & Policy". Niliweza kujifunza ya kwamba, Tafiti na Sera ni idara yenye kuwajibika zaidi katika uongozi wa juu na kujikita zaidi katika...
Top Bottom