Search results

 1. a.9784

  Karume Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano

  Kwa sababu Tanzania imekua nchi ya mtu kujifunza uongozi then Karume anaweza kuupata huo urais kama walivyopanga,CCM wakitaka kukiua chama wampe hiyo nafasi wakione cha mtema kuni. Na hii tabia ya kupokezana vijiti ife,tunahitaji mtu anayeweza kutuongoza na sio suala la kutoka bara au...
 2. a.9784

  Tuandamane mpaka ikulu tarehe 30 August 2008

  Tunaandamana juu ya nini?
 3. a.9784

  Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

  Kama JK anataka kuonyesha ubabe wake basi amrudishe Magufuli katika hiyo wizara,lakini kimsingi ni kwamba kwa hali ilivyo tete juu ya nyumba za serikali Magufuli hafai kupewa wizara hiyo na kama itawezekana wangemuondoa hata katika baraza la mawaziri. Magufuli asipewe hiyo wizara kwa sababu...
 4. a.9784

  Mh:makongoro kumfwata karamagi???????

  Shame at you Makongolo,kwa nini unawatukana wazazi wako jamani huoni wamekupa radhi na ndege hiyo haikuja.Na uwe makini sana na kauli zako unapotamka mbele az wakubwa zako.Au na wewe umeanza kulewa madaraka hayo ya kuja nakupita. Kwanza maneno aliyoyatumia Mh. hayaonyeshi kama yuko serious na...
 5. a.9784

  Serikali yatimua wanafunzi UDSM

  Ikumbukwe kwamba walioko mlimani ni intellectuals,tusiwahukumu jamani kwa mambo tusiyoyajua,mimi naamini kwamba watu hawa wana akili timamu,hawawezi kugoma kwa mambo ya kipuuzi,ombi langu wadau naomba tuwape support.Watu wa UDSM,mimi niko pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu.
 6. a.9784

  Hatimaye Wabunge Wafanya Kweli: Mkapa & Karamagi Nje!

  Ukisoma mwanahalisi ya wiki hii imeonyesha wazi kwamba Mkapa ndiye alihusika moja kwa moja na kuongezwa kwa mkataba huo wa kiuharamia.Yaani hawa mabwana wanajichulia tu madaraka kana kwamba nchi hii haiongozwi na sheria.Suala la TICTS ni kiini macho tu kwani kama TPA wataendelea na shughuli za...
 7. a.9784

  The Radar Scandal: Investigation & Progress

  Anaetakiwa kufuatiuwa kwa Chenge ni JK mwenyewe.Kwa nini anatuteulia viongozi wabovu?Mbaya zaidi amekua akilalamikiwa na wananchi lakini hasikii,kwa njia moja au nyingine JK analiingizia taifa hasara ya mabilioni kwa uteuzi wa viongozi wabovu,kwanini asiwajibishwe?Wabunge hili...
 8. a.9784

  The road towards 2010 Elections

  Muda wa Slaa kugombea urais bado,akipewa urais sawa na wabunge atawapata wapi jamani?Tusimhadae mpiganaji wetu.Lakini kwa ushauri wangu 2010 Mbowe akae pembeni Slaa akiwakilishe chama ktk nafasi ya urais.Hata kama hataupata urais.
 9. a.9784

  Ffu Wareje Tena Udsm

  Hao FFU kwa nini wasingepelekwa Comoro?Udsm kuna nini mpaka hao watu wapelekwe huko au ndio kwenda kuwatisha watoto wa watu.
 10. a.9784

  Ditople, Kalumuna wafariki!

  Unafiki juu ya kifo cha Ditto sitaki kabisa.Naamini kila mwanadamu atayaonja mauti na hili sina wasiwasi nalo.Nadhani Mungu sasa yuko upande wa watanzania wanaodhulumiwa haki za na baadhi ya watu wenye mamlaka ha TZ. Kesi ya mauaji iliyokua ikimkabili mheshimiwa huyu ilipindishwa na watu...
 11. a.9784

  Nimkubalie?

  Mwambie mkapime ngoma kama mambo yatakua mazuri wewe zuka nae.
 12. a.9784

  Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

  wewe anna makinda kwanini umetunyima huo utamu?ungemuacha ajikanyagekanyage kwanza,sasa utasababisha ajidai.So what next about Rostam
 13. a.9784

  TICTS: The inside story

  The CAG said the contract extension process was in breach of Section 69 (1) of the Public Procurement Act of 2004, which states that a procurement contract shall not be altered or amended in any way after it has been signed by both parties, unless such alteration or amendment is to benefit the...
 14. a.9784

  TICTS: The inside story

  Mzee mwanakjj,suala la wataalamu mimi naamini tunao tena wengi waliobobea katika fani za sheria katika nyanja za mikataba.Kilichopo ni kwamba Serikali haiwashirikishi wataaluma hao kwa sababu zisizo julikana.Vichwa tunavyo lakini kwa sababu mikataba hiyo inaingiwa kwa maslahi binafsi wataalamu...
 15. a.9784

  TID Behaves Badly in Dubai

  Shoo Yake Iliendeshwa Kwa Hasara Ndio Maana Ametoroka Madeni.sasa Kila Sehemu Kama Atakua Na Madeni Ipo Siku Atakosa Sehemu Za Kufanyia Shoo Zake.wasanii Kuweni Makini Na Kazi Zenu,acheni Ubishoo Mnapokua Ugenini.fanyeni Kazi Zilizo Wapeleka Then Rudini Nyumbani Kwenu Mtanue.mtakuja Funwa...
 16. a.9784

  The Radar Scandal: Investigation & Progress

  Huyo ndio chenge,anakiburi nafikiri tanzania nzima hakuna.Na kama ni uchawi basi mganga wake hayupo TZ.Tabaka la viongozi tulionao kwa kiasi kikubwa wamejawa na ujeuri.Hili lipo hadi kwa JK.Viongozi wetu wamejawa na fikra potofu kwamba wao ndio wanayo haki ya kumiliki TZ na wanauwezo wa kufanya...
 17. a.9784

  Wabunge Wataka Gongo Ihalalishwe!

  Nakumbuka kampeni za uchaguzi wa mwaka 1995 Mrema kama kawaida yake akiwa mgombea wa kiti cha urais kupitia NCCR Mageuzi,akiwa Bukoba aliwambia kwamba akichaguliwa kuwa rais wa TZ ataruhusu gongo kiwe kinywaji halali.Alishangiliwa kwa nguvu na wananchi hao. Mimi nakubaliana na wabunge kwa...
 18. a.9784

  Posta yatimua wakurugenzi.. kisa JF!

  Kimsingi kutoa taarifa za kampuni yoyote bila ya kufuata utaratibu uliowekwa na kampuni ni kosa kubwa ktk Kampuni.Kama kweli walifanya hivyo wanastail kuadhibiwa.Lakini kama wanaona wameonewa pale tawini kwao wawasiliane na chama cha wafanyakazi kama sio wanachama waende mahakani wakatetee ulaji...
 19. a.9784

  Uwakilishi bungeni 50/50

  Kupitia vyombo vya habari vya Chanel ten na ITV jana tarehe 11 April,2008,wanawake wameomba uwakilishi bungeni uwe ni asilimia hamsini kwa hamsini.Agenda hii ni miongoni mwa malengo yaliyomo katika ilani ya uchaguzi ya CCm ya mwaka 2005.Malengo hayo ni kwamba katika uchaguzi wa mwaka 2010 kama...
 20. a.9784

  Nishauri Kwa nini Nirudi Kuishi Tanzania?

  Mimi nakushauri urudi nyumbani kwa sababu TZ ndio nyumbani kwenu.Kwa nini taaluama yako ikawanufaishe watu wengine wakati watz bado tunakuhitaji? Njoo tupambane na uozo uliopo TZ.
Top Bottom