Search results

 1. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Naomba kujua jinsi ya kupata namba ya NIDA kupitia mitandao

  KWEMA humu nilijisajili mwaka jana mwezi wa kumi na moja lakini mpaka leo naambiwa namba bado haijatoka naomba kujua njia za kuipata asanteni.
 2. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Natokwa usaha sehemu ya haja ndogo. Nini tatizo wakuu?

  Siku ya pili leo uume unadondosha usaha tatizo msaada wakuu.
 3. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  FA CUP: NAMUNGO FC vs YANGA FC

  Yanga fc leo wanashuka dimbani katika uwanja wa majaliwa, lindi kikipiga na namungo fc katika mchezo wa kombe la FA, _______________ Kipindi cha kwanza kimeisha kwa dakika 46 uwanjani hakuna aliyeonyesha ubabe kwa mwenzie, _______________ HT NAMUNGO 0 vs YANGA 0 _______________ KIPINI CHA PILI...
 4. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Mbao vs Yanga

  Hatimaye baada ya kuchezea kichapo heavy kutoka kwa mnyama simba sport club, Timu ya Yanga fc leo almanusura ipoteze tena mbele ya wauza mbao wa jiji la mwanza Mbao fc baada ya kwenda mapumziko wakiwa nyuma kwa bao moja bila, Kipindi cha pili Yanga walijitahidi na kupata ushindi mwembamba wa...
 5. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Just for fun: Nimetoka mbinguni niulize swali lolote

  Just for fun, I com from heaven ask me any question
 6. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Baadhi ya Walokole na Wasabato tumekuwa na tabia za ajabu sana

  Habari za leo, Hizi dini kwa sasa zimekuwahazivutii kabisa tofauti na zamani hasa hawa wanaojiita walokole. Wamekuwa na vijitabia vya ajabu ajabu katika maisha yao ya kila siku sio wote ila wengi wao ni wanafiki, wachonganishi, wachoyo na wanapenda kujionesha kwa watu kuwa wao ni wema lakini...
 7. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Nimestaafu chaputa nahitaji mchumba wa kuishi nae

  Mko poa mapeople mim ni kijana natafuta mchumba wa kuanzisha mahusiano nae.
 8. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Nawapenda wote

  Nimewamisi
 9. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Tuzo ya mwana JF bora wa mwezi wa 8,ungependa apewe nani?

  Ungependa mwana jamiiforums yupi achukue tuzo ya mwana JF bora wa mwezi wa nane?
 10. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

  Kama umesoma shule moja/darasa moja au dawati moja na mtu maarufu hapa tanzania mtaje,
 11. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Neno la kwanza kumwambia mpenzi wako asubuhi baada ya kuamka ni lipi?

  Neno la kwanza ambalo huwa unamwambia mpenzi/mke/mume wako asubuhi kukikucha ni lipi?
 12. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Majina ya kike romantic

  Kuna majina ya kike ni romantic sana yaani ukitajiwa au ukisikia yule mdada anaitwa flani unajikuta hisia zina jiupload zenyewe tu,baadhi ni kama haya hapa, 1: Patricious 2: Rose 3: Hammisa 4: Loveness 5: Latifa 6: Catherine 7: Elisy unaweza kuongezea zaidi,
 13. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Taja tabia yako ujue nani ana tabia kama yako

  Kama nilivosema
 14. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Ulikuwa kichwa shuleni? Andika neno lenye herufi tatu lenye maana

  Mimi naanza 1: VUA 2: UZI unaweza endelea
 15. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Ukiambiwa umtengenezee mpenzi wako kitu kutokana na kazi unayoifanya utamtengenezea nini?

  Mimi nafanya kazi bank nitamtengenezea HELA wewe je?
 16. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Yupi kati ya hawa anaweza kukufanya ukaiona ndoa yako chungu, SHEMEJI/WIFI?

  Hamjambo,mambo vipi,shkamooni, Moja kwa moja kwenye #mada,eti katika #ndoa ukiwa na #mawifi au #mashemenga au #wote kwa kwa pamoja watakao kufanya uanze kuona #ndoa tamu kama #mwarobaini kwa #vichokanyoko vyao? nawasilisha #waheshimiwa.
 17. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Badala ya kumwambia moja kwa moja muuza duka NIPE COND*M,nimwambie anipe nini?

  Salam wakuu, kesho nina mpango wa kununua cond*m sasa nafikilia nitamwambiaje muuzaji kwa kutumia lugha rahisi badala ya kumwambia direct nahitaji cond%m,
 18. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Mwanamke kwa kilugha chenu anaitwaje?

  SISI KWETU ANAITWA MDALA, KIKWENU JE?
 19. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Mambo yaliyokuwa yanakuudhi nyumbani ulipokuwa mdogo...

  Mimi nilikuwa nakereka kwa mambo haya: 1: Kurudi home mchana nakuta madha anachambua mboga halafua ananiambia nikawashe jiko na inabidi nirudie shule, 2: Anapita home msichana tunayesoma naye darasa moja hata sijamwongelesha, madha anaongea kwa sauti ya juu 'We hivi leo si ndio zamu yako...
Top Bottom