Search results

  1. Mdomo bakuli

    Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

    Ndugu wanajamvi leo asubuhi ya tarehe 5 nikiwa nimesindikiza abiria wangu anaesafiri kwenda Dar kwa kutumia basi la Dar Lux toka Mwanza nimeshuhudia mabasi yote mawili yakiwa na kasoro ambazo zimesababisha mabasi yote kuchelewa kuondoka katika muda muafaka!! Basi namba moja ambalo ni Higer...
  2. Mdomo bakuli

    TOFAUTI ya Andazi na Donati!

    Wakuu nimejikuta matatani baada ya Afande mmoja kuniagiza maandazi kama kitafunwa, sasa baada ya kukosa maandazi nikaamua nijiongeze mie mwenyewe kumchukulia Donati, kimbembe ni pale Afande alipokuja juu sana na kuniwakia Kwann nimemletea Donati badala ya Andazi! Nini tofauti kati ya vitafunwa...
Top Bottom