Search results

  1. Gasper mapile

    Tunatoa till za tigo pesa kwa waliopo iringa

    Pata till y'a tigo pesa ukiwa na reseni ya biashara, tin no, kitambulisho cha taïfa ukiiwa interested nichek humu 0756962295
  2. Gasper mapile

    Naomba kufahamu process za kupata vyeti vilivyopotea

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu nimepoteza Vyeti vyangu vya kidato cha nne na Sita sikumbuki nimevipoteza wapi nimegundua leo hii baada ya kuwa na uhitaji navyo naomba Msaada kwa anaye jua process za ufuatiliaji ili niweze kupata vyeti vingine nitashukuru km nitapata msaada huo...
Top Bottom