Search results

 1. ipyax

  Quad bike zinaruhusiwa kisheria kutumika kwenye barabara za Tanzania

  Wadau naomba kuuliza kama quad bikes zinaruhusiwa kisheria kutumika kama chombo cha usafiri Tanzania.
 2. ipyax

  Namuangalia Ramaphosa Rais wa South Africa naishia kujiuliza Watanzania tumemkosea nini Magufuli!

  Wamepitisha bajeti ya dharura kwa sababu ya COVID19 yenye thamani ya dola bilioni 26. Toka nchi imeingia kwenye lockdown wiki 5 zilizopita wameunda kikosi kazi cha watu elfu kumi kwa ajili ya kupima COVID19 nchi nzima. Nyumba za ibada, cinemas, bars na mikusanyiko mikubwa bado itaendelea...
 3. ipyax

  CIA ilidhibiti kampuni ya kimataifa ya encryption kwa miongo kadhaa, inasema ripoti

  Serikali ya Uswizi imeamuru uchunguzi katika kampuni ya kimataifa ya encryption iliyoko Zug kufuatia ufunuo ilimilikiwa na kudhibitiwa kwa miongo kadhaa na akili ya Amerika na Ujerumani. Udhaifu wa usimbuaji ulioongezwa kwa bidhaa zilizouzwa na Crypto AG ziliruhusu CIA na mwenzake wa Ujerumani...
 4. ipyax

  Nicki Minaj to headline music festival in Saudi Arabia

  Nicki Minaj to headline music festival in Saudi Arabia Saudi government accused of hypocrisy for requiring women attending to wear full-length robe Associated Press Published:14:31 Wed 3 July 2019 Nicki Minaj will perform in Saudi Arabia, it was announced on Wednesday, as the...
 5. ipyax

  Nataka kuanza biashara ya kuleta mtindi Dar kutoka nyanda za juu kusini

  Kama heading inavyo sema ,katika harakati zangu za kusaka pesa nimepata wazo la kufanya hii biashara. Huku niliko maziwa yanapatikana kwa wingi sana kwa bei ya chini,mpango wangu ni kununua maziwa fresh na kuyagandisha mwenyewe kisha kusafirisha mpaka dar. Ningependa kupata maoni na ushauri...
 6. ipyax

  Data recovery kwenye simu ya Android

  Jamani naomba msaada kama kuna mtu anaweza nisaidia ku-recover deleted contacts ,photos kwenye Android phone (Galaxy mini) .Nipo tayari kugharamia kwani kuna mtu ame-delete kwa makusudi ili kupoteza ushahidi.
 7. ipyax

  Laptop inahitajika Mbeya

  Nahitaji laptop ambayo iko kwenye hali nzuri, budget yangu ni shida laki 3 tu.
 8. ipyax

  SUA wanatoa kozi ya ufugaji wa samaki kwa wajasiriamali

  Naomba kujuzwa kama chuo kikuu cha sokoine wanatoa kozi ya ufugaji wa samaki kwa wajasiriamali .Hii ni fursa ambayo naona inalipa sana lakini ningependa kupata ujuzi wa kutosha kabla sijaingia kazini. Asanteni sana
 9. ipyax

  Diblo Dibala Ok Madame

  Wahenga tukutane hapa, ngoma ya utoto wangu hii early to mid 90's.
 10. ipyax

  Body za Irizar i6 ni moto wa kuotea mbali

  Mimi ni msafiri wa mara kwa mara especially kwenye hizi nchi za kusini mwa Africa, katika hizi safari nimekuwa nikipanda basi za makampuni tofauti kama mchina (yutong, zhong tong, higer),marcopolo, Dar coach na master za Kenya. Bus zote hizo zina sifa tofauti lakini sijawahi wahi kuwa...
 11. ipyax

  Usalama wa pesa yangu PayPal

  Habari za leo ndugu zangu wa jamii forums, nina changamoto inayonikabili kuhusu matumizi ya PayPal. Kuna mzigo wa thamani kubwa kidogo nataka kuagiza toka Thailand na muuzaji amependekeza nilipe kwa kupitia PayPal. Naomba kujuzwa je usalama pesa yangu unakuaje? Endapo mzigo hautafika baada...
 12. ipyax

  Chupa za plastic kwa ajili ya juice

  Habari wapendwa wa jamii forums, nina hitaji chupa za plastic kwa ajili ya juice za size kama ya chupa za azam energy, MO chungwa nk. Kama kuna mtu anaweza nishauri sehemu ya kuzipata au anauza itakua msaada mkubwa sana kwangu.
 13. ipyax

  Hospitali ya rufaa Mwananyamala ni uwanja wa kifo?

  Tarehe 4 mwezi huu mdogo wangu alipata ajali ya pikipiki eneo biafra akapelekwa mwananyamala hospitali ili apate matibabu. Niliyoyaona pale kwa kweli yanaumiza, sikitisha na kukatisha tamaa. Mdogo wangu alifikishwa pale saa nne asubuhi na mimi nikafika saa tano na nusu, nimekuta mdogo wangu...
 14. ipyax

  Nahitaji maziwa fresh ya ng'ombe kijitonyama dar

  Habari za asubuhi wakuu, nina hitaji maziwa fresh kati ya lita 5 hadi 10 kwa siku. Demand itaongezeka kadri siku zinavyo kwenda.
 15. ipyax

  Sofa inauzwa

  Sofa set inauzwa jamani laki 5 na 50,, malipo on collection. Moja ya kukaa watu watatu, Moja ya kukaa wawili na single zipo 2 kimara.
 16. ipyax

  Malalamiko ya kuyumba kwa uchumi yanatolewa na wapiga dili tu?

  Malalamiko ya kuyumba kwa uchumi yanatolewa na wapiga dili tu? Watu wengi wamekua wakilalamika kuhusu mkwamo wa kiuchumi uliopo sasahuku pia baadhi ya watu wengine wakiwaponda hao walalamikaji kwamba walikua wapiga dili tu toka utawala uliopita,sasa mirija ya dili imezibwa ndiyo maana wana...
 17. ipyax

  Usajili wa bidhaa TFDA

  Habari za kazi wapendwa wa JamiiForums, nimepost hii mada kwa ajili ya kutafuta mtu ambaye ana uzoefu wa kuomba vibali vya import mamlaka ya chakula na dawa. Kuna bidhaa ya matumizi ya kawaida lakini TFDA wameiweka katika kundi la vifaa tiba (medical equipment), nahitaji kuiombea import permit...
 18. ipyax

  Mrejesho: Kuagiza rice combine harvester toka China

  Mnamo mwezi wa kwanza mwaka huu nilianzisha mada hapa jukwaani nikiomba ushauri wa kuagiza mashine toka China. Ishu ilikua niende China au niagize kwa mtandao kupitia Alibaba. Nilipata ushauri wa kutosha tu huku wengine wakiniasa kwamba Alibaba nita tapeliwa hela bora tu niende China. Bahati...
 19. ipyax

  Kulipia bidhaa toka China kwa T/T

  Nimekua nikitaka kununua mashine kwa ajili ya kilimo toka China kwenye mtandao wa Alibaba lakini makampuni yote niliyo wasiliana nayo wanapokea malipo kwa T/T pekee. Hawataki kutumia PayPal au secure payment (zamani escrow) ya Alibaba. Hii ime niogopesha kwa sababu nikilipia kwa T/T nakosa...
 20. ipyax

  Combine harvester- kubota dc 60,dc 70

  Nahitaji combine harvester kwa ajili ya kuvunia mpunga ya aina niliyo itaja hapo juu.Nime ulizia hapa bongo bei yake ni kati ya milioni 75-85 kupitia kwa agent wao na sellers wengine wa mashine za kilimo.Pia nime ona za kichina kwenye mtandao ambazo zina fanana na hizo kwa design,size na...
Top Bottom