Search results

 1. Asa'rile

  Kuanzia leo mimi sio wa kawaida..

  Ok. But Hyassin, inawezekana umemiss kitu kimoja tu........having a True living GOD. ukimpata huyo.....aisee! uuuuwi !
 2. Asa'rile

  Umuhimu wa kukumbuka siku ya kuzaliwa (birthday)

  wakati unazaliwa, mama yako alinusurika kufa. So shukrani kwa wazazi, ni very important. After all, watu wenye tabia ya kukata keki na kulisha washikaji na mashosti, wakasahau kabisa tabu aliyoipata mzazi wakati yuki leba, huwa wana tabia zinazofanana, ..mbaya
 3. Asa'rile

  Kuna uhusiano gani wa chumvi ama mkaa kuzuia pesa zisipokwe na chuma ulete

  MALAKI 3:10....................................
 4. Asa'rile

  Magic FM na Salum Mkambala

  Mini naona kitu tofauti sana kwake. ninachoona ni uchangamfu alionao. pia his a gentleman.....
 5. Asa'rile

  Hii dhana ya SINGLE MOTHERHOOD, ni HILA za shetani, OGOPA

  jana nilikuwa kwenye ministry moja nje kidogo ya Dar, nikawaona wadada fulani (niseme ni Majahidina wa Kikristo) wanaponda usawa wa jinsia, wanaponda u-single mother hood, wanapinga usenge -usagaji, hata vazi la suruali kwa wanawakee !!!!!!!!! du nikaona kweli hawa ndo wapepiiiiitwa na wakati...
 6. Asa'rile

  Hii dhana ya SINGLE MOTHERHOOD, ni HILA za shetani, OGOPA

  utanifahamisha mkuu kitakachoendelea pliiiiz
 7. Asa'rile

  Hii dhana ya SINGLE MOTHERHOOD, ni HILA za shetani, OGOPA

  Karibu zaidi ya miezi miwili sasa, nimesikia kwenye vyombo vya habari (zaidi sana Redioni) matangazo ya kumtafuta Singlemother Bingwa au bora, jasiri, hodari ! ili aweze kutunukiwa tunu ama zawadi. Watanzania wengi hawajui nini maana yake hii kitu. Katika Spiritual view, Mwenyezi Mungu...
 8. Asa'rile

  Hujuma jengo TANESCO: Watu wachanganya maji na mafuta kwenye mtambo wa kushushia vitu vizito ili jengo lisibomolewe

  Kumbe, Morogoro Road, ziko Tatu !!!!!, ya kwanza, Kutoka Posta (siyo pale askari monument), ikapita kariakoo-kigogo , kwa shehe yahya huseni , Ubungo maziwa...nakuendelea. Ya PILI. kutoka posta centre - Faya magomeni mikumi (sio mapipa) mburahati, maziwa Ubungo mwisho na kuendelea, pale...
 9. Asa'rile

  Hujuma jengo TANESCO: Watu wachanganya maji na mafuta kwenye mtambo wa kushushia vitu vizito ili jengo lisibomolewe

  "Mhandisi Ndyamukama Julius, kuvunja sehemu (siyo sehemu tu....jengo zima) ya jengo la Tanesco na lile la Wizara ya Maji na Umwagiliaji, ili kupisha ujenzi wa barabara ya juu (flyover) ya Ubungo." Juzi, Mhandisi huyuhuyu baada ya kutambua kwamba alijikurupukia kutangaza bomoa ya ubungo...
 10. Asa'rile

  Suluhisho la kupunguza uzito na kitambi

  ndugu Mimi, shwari lakini? ...nahitaji sana kupata anuani kamili ya hawa KING, najua waweza kunisaidia. plz tell me in 0716 7 666 40 au 0754 942779
 11. Asa'rile

  Niletee sarafu za Nyerere za 1976,1979

  Natafuta sarafu za shilingi moja-moja, za Nyerere za mwaka 1976, 1979, upande wa nyuma wa sarafu hizo,una mkono ulioshikilia mwenge. Ntakupatia shilingi milioni moja hapo hapo. Pia nina sarafu ya kijerumani ya silver makuti, za mwaka 1944-89 0716 7 66 640
 12. Asa'rile

  Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

  1. Mh Rais, sitisha hili zoezi la bomoa bomoa kwa makazi na nyumba za wanadamu. Hakuna mtu anayependa kuishi kwa tabu na shida. Watu wamepoteza maisha tayari kwa kihoro, na mashinikizo ya damu; hasa wazee. Watanzania wasiku-reflect tena kuwa wewe ni muharibu wa makazi ya...
 13. Asa'rile

  Rais Magufuli amemteua Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

  Yaani, wala halikuingia ndani ya mioyo ya watu
 14. Asa'rile

  Rais Magufuli amemteua Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

  WOOOOOOOW !! UPANGA MWINGINE HUO , Hakuna aliyefikiria hilo japo kwa malio
 15. Asa'rile

  JPM tusaidie hii kero ya muziki wa juu katika ma-Baa yaliyoko katikati ya makazi ya watu

  Kwanza kabisa nakupongeza na kukuombea sana Ngosha, JPM,Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Tanzania- John Joseph Magufuli. Ile kasi aliyokujalia Mungu wako (maana kweli unamtegemea sana.) Watanzania tunaiona, hata wale wa upande wa pili wana kiri tu kweli. Mhesh. Rais wa awamu ya 5, tunakuomba...
 16. Asa'rile

  Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

  Hatua hii mweshimiwa, aliifanya Baba wa Taifa Kambarage alipokuwa kwenye nafasi uliyo nayo sasa. yeye nakumbuka kila alipoingia kwa ghafla katika maofisi ya watumishi wa Umma, pale Maofisa wengi wa Serikali walipokuwa wamelala mbele, Mwalimu Nyerere alibeba viti na kuyeya navyo. Kitendo hiki tu...
 17. Asa'rile

  Kwa anayefahamu madini ya Silcon na soko lake

  Kwa anayefahamu madini aina ya Silcon, pamoja na marketing yake ndani na nje nina kilogram zaidi ya 10 au anitwangie hapa 0716 7 6 640
 18. Asa'rile

  TB JOSHUA: Michael Jackson, na Rais wa Poland na Mkewe, wasingekufa kama wangenisikiliza

  Nabii TB JOSHUA. alitamka maneno yafuatayo, akiwa katikati ya Ibada:-. " I can see the spirit of death is upon the Pop star Michael Jackson right now, My son Michael, come over to me plz I wanna pray for you, plz come, come.. the you shall Live " TB JOSHUA alirudia statement hiyo mara tatu...
Top Bottom