Search results

 1. supermarket

  Njooni tukumbuke nyakati ngumu tulizowahi pitia

  Lecturer aliniwekea nia nifeli kwa namna yoyote ile semester ya kwanza akanipa F somo lake, nilipo appeal nikapata A hapo hasira zake ziliongezeka mara 2 zaidi. Semester ya pili akapangiwa kutufundisha tena kufundisha darasani, dah nilikosa furaha na amani kabisa nikijua tayari nimekwisha...
 2. supermarket

  Mama mkwe kuanika chupi zake hadharani, imekaaje hiyo?

  Ni aibu, sio heshma (ila usiliongelee hapo nyumbani, hili sio la kujadili). Mama mkwe ni mama yako.
 3. supermarket

  Bila kujiongeza maisha haya huwezi kumove on katika maisha kama kijana

  Kwanza usiwe na mtazamo wa kwamba hali ni mbaya, uchumi umeshuka, maisha ni magumu, kwa hali hii kutoboa ni vigumu, pesa hakuna.(programmed) Unatakiwa uwe na mtazamo wa kwamba pesa zipo, tena nyingi tu. Unatakiwa kutambua ni namna gani utapokea au utazipata kama wengine wanavyopokea fungu lao...
 4. supermarket

  Utachukua uamuzi gani ukigundua mpenzi wako alikusaliti?

  Kuna mambo mengi sana katika maisha
 5. supermarket

  Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

  Kila kitu pesa, pesa ikiwepo nipo tayari kufanya lolote ili niipate. "hakuna anaekataa pesa"
 6. supermarket

  Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

  "Umezidi kuwa na wivu" wakati step zake simuelewi kabisa
 7. supermarket

  Bila kujiongeza maisha haya huwezi kumove on katika maisha kama kijana

  Kujiongeza THAMANI yako ni msingi mzuri sana katika safari ya mafanikio. Pesa zipo nyingi tu, ni vizuri kujiongeza thamani yako ili na wewe uchukue/upokee fungu lako.
 8. supermarket

  Umewahi kukosea kutuma Meseji?[emoji53]

  Mimi nilimsevu demu jina baya kutokana na usumbufu na kero zake, sasa siku moja nimemtumia nyimbo zinachelewa kufika mtandao unasumbua. Wakati anaendelea kulalamika mbona simtumii, ikabidi ni-screenshot nimuonyeshe nyimbo zinakuja tatizo ni network. Bila kujua akapokea picha ya screenshot na...
 9. supermarket

  Nitajie sehemu moja Tanzania ambapo umeme huwa haukatiki au ukikatika ni mara chache tu

  City center mkuu umeme unakatika kama kawaida tu, hata wiki iliyoisha mara kadhaa umekatika. Hata leo mchana kuna muda umeme ulikatika. Uzuri majengo mengi tayari yana majenereta ya kisasa.
 10. supermarket

  Baba yangu ameparalyse upande mmoja na hawezi kuongea

  Mwaka jana, Mama wa staff mwezetu, alipata stroke amepona. Rafiki wa mjomba wangu, alipata stroke amepona. Naamini kwa baraka za Mungu, baba yako atapona "Amin".
 11. supermarket

  Wa mwisho ndio mshindi

  Brightly mkuu upo vizuri
 12. supermarket

  Anaweza kusoma Master's kwa GPA 3.1?

  Inawezekana kusoma masters ukiwa na lower second GPA bila wasiwasi, vyuo vingi tu na course nyingi tu.
 13. supermarket

  My confession: Hornet is Positive

  Kuugua sio Kufa. Mungu anakupenda.
 14. supermarket

  Hatari: Mabasi ya Mwendokasi V/s waenda kwa miguu

  Innalilllah wainna ilayh rajiun
 15. supermarket

  kwa kiwango hiki cha baridi tutaganda

  Positive effect ya corona duniani, baada ya viwanda vingi kuacha kuzalisha sumu kwa miezi kadhaa. Global air quality improved this year due to coronavirus lockdown.
 16. supermarket

  Duru za giza

  Kabla hujaanza kutumia bidhaa mbalimbali kuondoa duru za giza: Jitahidi uwe unapata usingizi wa kutosha, kidogo kidogo hiyo hali itaondoka
 17. supermarket

  Ukigundua rafiki yako anamtongoza mpenzi wako utafanyaje?

  Hakimu mzuri ni yule anaeangalia pande zote 2 kwa demu na rafiki. Kabla ya kumchukulia hatua huyo rafiki yako, jaribu kumchunguza huyo demu wako kuhusiana na huyo rafiki (inawezekana kuna kitu behind the scene anakuficha coz mwaka mmoja ni mkubwa kutunza msg, pia kutumiwa picha za uchi kunakuwa...
Top Bottom