Search results

 1. Otterhound

  Mtu Mweusi ataendelea kuwa mtumwa wa Mabeberu, huu ndio ukweli wenyewe

  Habarini za mchana bandugu, natumaini nyote wazima wa afya telee. Nadhani mutakuwa mmeelewa head inavyosomeka. Kwanini, mtu mweusi hususani mtanzania hupenda kuongea kiswahili na kupitishia kiingereza, wakati anaeongeanae ni mtanzania mwenzie ama mswahili mwenzie!! Kwanini Mzungu anaongea...
 2. Otterhound

  Waafrika nani katuloga lakini?

  Hivi ni mimi tu pekeangu huwa najionea kwa hawa ndugu zangu weusi wakiwashangaa white people's! Akionekana muzungu anatembea iwe kwa miguu ama kwa gali wanamshangaa, akionekana mwarabu, mhindi ama mchina wanamshangaa ata kama wanaishi mji mmoja but watamshangaa tu,kana kwamba awajawai kuwaona...
 3. Otterhound

  Leo miamba ya soka kukutana uso kwa uso

  Leo miamba ya soka kukutana saa 4 kamili usiku, huku Sevila ikiwa na wachezaji hatari sana. Barnega, Ocampos, Munir El haddad na Suso.,,. Inter wao wakiwa na Lautaro na lukaku. LAUTARO MARTINEZ LUCAS OCAMPOS
 4. Otterhound

  Hii Nashidi nimeisikiliza mpaka mwili unasisimka ndugu zangu

  Zanzibar na Oman ♥♥♥♥♥♥ Katika historia ya Oman si rahisi kuielezea bila kuhusisha uhusiano wake na kisiwa cha Zanzibar na maeneo mengine ya Afrika Mashariki. Kuna kipindi katika historia Zanzibar ulikuwa mji mkuu wa himaya ya Oman. Tamaduni nyingi za Oman na Zanzibar zinafanana, kuanzia...
 5. Otterhound

  Naomba msaada ndugu zangu

  Mwenye link (livestream) ya mpira atupie hapa
 6. Otterhound

  Waafrika tuacheni unafiki dhidi ya Floyd

  Floyd kauawa imekuwa ishu kubwa na kupelekea baadhi ya nchi za kiafrika kuandamana, ni ulimbukeni tu! Ninyi mnaocomment humu na kupost mada zenu kuhusu kusikitishwa alichofanyiwa Floyd je, mlikuwa wapi Mzee wetu na kiongozi wetu wa Afrika Marehemu Gadafi siku anauawa dhidi ya Mjaluo na Mwafrika...
 7. Otterhound

  Tukio limetokea Marekani, wanaoumia na kuteseka ni watanzania

  Tukio limetokea Marekani, wanaoumia na kuteseka ni wabongo kisa mtu mweusi kuuawa. Hao wanaoandamana na kuvunja maduka na kuiba bidhaa zilizomo walikuwa wapi hawakuandamana kipindi Marekani amevamia na kuuwa "innocent people" bila kujali wazee, watoto na wajane, bila huruma yoyote! Nchi za...
 8. Otterhound

  Algeria ni majitu jamani, Mapande ya Mtu na sio vijitu kama Timu yetu n.k

  Kwa mtu aliefuatilia mechi kati ya Algeria na Senegal, Algeria ni mapande ya Mtu jamani yameshiba kisawasawa ukimpush tegemea kudondoka tu 😀😀 ,,inshort majamaa yana nguvu halafu marefu. Akina Sadio Mane na teamates wanaonekana kama akina Mudathir, Mwantika, Kessy, Ulimwengu 😂😂😂 Aise...
 9. Otterhound

  Sheikh Khaled bin Zaed wa Abu Dhabi, yuko ktk hatua ya mwisho kuinunua New Castle United

  Bilionea kutoka familia ya Kifalme Abu Dhabi, Sheikh Khaled Bin Zaed Al Nahyaan yuko katika hatua ya mwisho kuinunua New Castle United kwa kitita cha pauni Milioni 350. Sheikh Khaled yupo katika mazungumzo ya mwisho na Mike Ashley ambae ni mmiliki wa klabu hiyo Sheikh Khaled ni binamu wa...
 10. Otterhound

  Best Barcelona ever

 11. Otterhound

  Je! Ni yupi kati ya hawa ungependa aje aichezee timu yako?

  Kama wewe ni shabiki haswaa wa Man City Barcelona Real Madrid Man United Chelsea Tottenham Arsenal n.k Nikimtoa LEO MESSI, waliobakia wote Je! Ni yupi kati ya hawa ungependa aje aichezee timu yako? Ángel Fabián Di María Hernández(Spanish pronunciation: [ˈaŋxel di maˈɾi.a]; born 14...
 12. Otterhound

  Paulo Dybala afunguka na kusema hivi juu ya Messi "Sio kwamba sipendi kufananishwa ila yeye ni lejendari".

  Paulo dybala amesema "MESSI amefanya makubwa katika historia ya soka". Messi ni king na ataendelea kuwa king wa soka,,, ndiomaana hata mchawi mdogo wa Kiargentina a.k.a Dybala amekubali huwezi kumlinganisha na Messi. Huyu dogo ana akili mnoo,,hiyo itamfanya kuwa player mkubwa sana hapo baadae...
 13. Otterhound

  Hatimae JORGE SAMPAOLI kukinoa kikosi cha Argentina

  Lisemwalo lipo,ikiwa halipo laja,,,hatimae aliyekua akiifundisha timu ya taifa ya chile na Raia wa Argentina JORGE SAMPAOLI ajiunga rasmi kukinoa kikosi cha nchi yake pendwa ARGENTINA,FANTASTICO'S Jorge Sampaoli anapata matokea dhidi ya brazil na Singapore katika mchezo wa pili tangu awe...
 14. Otterhound

  Madam kutoka Nchini Lebanoni auawa kwa kuchinjwa kinyama na housegirl wa ndani

  Jamani jamani Dunia imekwishaharibika wandugu 2nakoerekea aise Mungu anajua!!!!!! Madam amehinjwa kinyama na kuuawa kutoka kwa mufanyakazi wake wa ndani Raia wa ETHIOPIA .inadaiwa kuwa mfanyakaz huyo alimuonea wivu madam wake,,kisa na mkasa? kabeba mimba na ndipo akachukuwa uamuz wa...
 15. Otterhound

  Wakali wa soka katika bara la Amerika ya Kusini walikutana jana!!!

  Wakali wa soka nchini ARGENTINA na bara la AMERIKA YA KUSINI kati ya BOCA JUNIORS NICKNAME-LA BOMBONERA _____________na________________ CLUB ATLETICO RIVER PLATE NICKNAME- Los Millonarios (The Millionaires) La Banda (The Strip) El Campeón del Siglo XX (The Champions of the 20th Century) El Mas...
 16. Otterhound

  Korea Kaskazini 'kulipua bomu la nyuklia tena

  Korea Kaskazini 'kulipua bomu la nyuklia tena' 12 Septemba 2016 Maafisa wa korea kusini wametahadharisha kwamba huenda Korea Kaskazini ikafanya jaribio jingine la bomu la nyuklia wakati wowote, baada ya kutekeleza jaribio jingine la bomu la nyuklia Ijumaa. Jaribio hilo la Ijumaa lilikuwa kubwa...
 17. Otterhound

  Utalii: Wadau walalamikia kuongezwa kwa ushuru Tanzania

  Utalii: Wadau walalamikia kuongezwa kwa ushuru Tanzania 11 Septemba 2016 Watalii nchini Tanzania hivi sasa wanalipa gharama zaidi katika malazi na gharama zingine za kuingia mbugani baada ya ushuru mpya wa VAT kuwekwa. Tanzania inasema asilimia 18 ya ushuru huo wa VAT inahitajika kuiongezea...
 18. Otterhound

  Hodi wajameni,

  Natumai nyote wazima,mimi ni mgeni hapa! Say welcome Men, ahsante
Top Bottom