Search results

 1. Ficus

  Tofauti ya Suzuki Escudo na Suzuki Grand Vitara/Vitara

  Wadau habari za siku? Natumai mtakuwa vyema kwa wagonjwa na wenye matatizo poleni. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba kujua tofauti ya gari hizo hasa kuanzia models za kuanzia mwaka 2005 kupanda maana ukiangalia kimuonekano wa kiumbo hazina tofauti kabisa. Na model ipi ni...
 2. Ficus

  Natafuta kiwanja Arusha

  Husika na kichwa hapo juu natafuta kiwanja Arusha maeneo nayopenda hasa ni kwa Mromboo, ukubwa kuanzia mita 20/20 na kuendelea ni vyema kama ukaweka na bei yako kabisa hapa. Asanteni.
 3. Ficus

  Naomba msaada wa app ya kudowload video za youtube

  Habari zenu wakuu? Naomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa wa app yeyote ambayo inaweza kunisaidia kudownload videos kwenye youtube. Nb app kutoka apple store.
 4. Ficus

  Laptop ipi ni bora kati ya Macbook Air na Macbook Pro

  Habari zenu wadau wa hili jukwaa, Naomba kufahamishwa kati ya hizi laptop ipi ni bora in terms of performance and battery durability! Macbook Air na Macbook Pro.
 5. Ficus

  Kiwanja kinauzwa Iringa

  Nauza kiwanja changu Iringa kipo eneo la Mawelewele, kina ukubwa wa ekari moja, hati zote zipo. Bei milioni kumi na tano(15mil) kipo karibu na barabara kuu mita 150 kutoka barabara kuu na km 14. kutoka Iringa mjini. Karibuni.
 6. Ficus

  Vodacom acheni kutuibia walala hoi!

  Leo nimeweka vocha ya buku 1, nikanunua na kifurush cha 250 ambacho unapata sms 25 kwenda mtandao wowote,dak 5 za muda wa maongezi na mb 5 za internet. Nikampigia mtu ambapo nilitumia kama dak 3 na sek 14, nikatumia na sms 12 zingine zikagoma kwenda. Ikanibid niangalie salio cha ajabu nikakuta...
 7. Ficus

  Hodi hodi!!!

  Nikaribishen jaman mimi mgen humu.
Top Bottom