Search results

 1. Mr Kiroboto

  Kenya: Almunusura mahututi wa COVID-19 azikwe hai

  Acha udini wewe Kwani uliambiwa anakamuliwa mtu aliye hai?
 2. Mr Kiroboto

  Nataka kujifunza kichina

  Ni PM naweza kujitolea kukufundisha free[emoji4] Sent from my iPhone using JamiiForums
 3. Mr Kiroboto

  Ziara ya Rais Magufuli mkoani Mbeya imenifanya nimtafakari mbunge Sugu kwa upya

  [emoji16][emoji16] Sent from my iPhone using JamiiForums
 4. Mr Kiroboto

  Watumishi waliokuwa masomoni wamekosa sifa ya kupandishwa vyeo

  Ukisoma vizuri utaona Mtymishi kama huyo hajapoteza sifa,atapanda tu.Hicho kipengere kinawahusu walioenda masomoni kabla kudumu kwenye cheo kimoja kwa miaka 4 (Zaman ilikua ni miaka 3) Sent from my iPhone using JamiiForums
 5. Mr Kiroboto

  Msaada: Sioni salary slip ya mwezi huu

  Mimi sioni ya Mwezi wowote,sasa sijui Mtandao au ?[emoji848] Sent from my iPhone using JamiiForums
 6. Mr Kiroboto

  Msaada: Sioni salary slip ya mwezi huu

  Salary haijatoka kwa baadhi ya Watumishi Mkuu Sent from my iPhone using JamiiForums
 7. Mr Kiroboto

  Hospitali ya Mkoa wa Tanga, Bombo: Kitengo cha Mapokezi wajirekebishe

  Kama yeye hapiti hapa uwenda wapo wakubwa zake au wanaomfahamu kama wewe,so atapata tu ujumbe. Sent from my iPhone using JamiiForums
 8. Mr Kiroboto

  Hospitali ya Mkoa wa Tanga, Bombo: Kitengo cha Mapokezi wajirekebishe

  Sijaona hoja yako ya Msingi.Kama unamfahamu ni vyema Mwambie ajirekebishe maana hata Mimi nilimueleza ukweli juu ya lugha yake chafu. Pia hii ni sehemu ya kusemea maana hata huyo Boss wake anapitia hapa. Sent from my iPhone using JamiiForums
 9. Mr Kiroboto

  Hospitali ya Mkoa wa Tanga, Bombo: Kitengo cha Mapokezi wajirekebishe

  Mkuu hapo Bombo hilo Tatizo la Lugha isiyo ya kuridhisha wanayotoa Wahudumu wa hapo Mapokezi ni la Muda mrefu,lakini hamna jitihada zozote zilizochukuliwa. Isitoshe hilo la Lugha Chafu kwa Wagonjwa siyo hao tu bali hata Kiongozi wao ambaye ni Mganga Mfawidhi wa hiyo Hospital hana lugha nzuri...
 10. Mr Kiroboto

  Je, wajua kwamba uchawi huvaliwa kama nguo?

  Maana kuna Jirani yangu alihisiwa ni Mchawi.Akaletewa Mtaalamu kumtoa Uchawi,cha kushangaza Mtaalamu hakukuta kitu. Lakini Watu wanahisi labda alificha uchawi,maana waliokutwa na mambo ya kishirikina wakienda kwa Waganga wanaambiwa huyo Bibi ni Mchawi,lakini wakifika kumtoa uchawi hawauoni...
 11. Mr Kiroboto

  Je, wajua kwamba uchawi huvaliwa kama nguo?

  Mshana Jr,Hivi Mchawi anaweza kuficha Uchawi wake hata kupelekea Waganga kuamini kuwa hana Uchawi? Kwanini Wachawi wengi wanaishi miaka mingi sana hapa Duniani? Sent from my iPhone using JamiiForums
 12. Mr Kiroboto

  Wangoni na wamatengo waogopeni

  Mkuu,hizo ni ndumba au kitu gani? Vipi Mambo kitandani wanayaweza? Sent from my iPhone using JamiiForums
 13. Mr Kiroboto

  Wangoni na wamatengo waogopeni

  Mwenye kuwafahamu mabinti wa kimanda(Manda tribe) naomba anipe uzoefu wake [emoji4] Sent from my iPhone using JamiiForums
 14. Mr Kiroboto

  Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

  Naona awamu ya Wafanyakazi imefika Watu wanahitaji kura zenu 2020. Wataambiwa watumie kikokotoo cha zamani mpaka muafaka upatikane. Wafanyakazi kupata nyoongeza ya Mishahara kuanzia mwakani. Jiwe amechanga karata zake vizuri tu,wapinzani wamepewa magalasa tu. Sent from my iPhone using...
 15. Mr Kiroboto

  Nimepoteza passport , Msaada jinsi ya kupata passport mpya

  Inategemea uharaka na viambatanisho vyako vya kuthibitisha. Mimi nilipatiwa within 48hours
 16. Mr Kiroboto

  JF members awards (no cash money) only recognition..!

  Kama Vigezo na Masharti vitazingatiwa basi namba 9 ni yangu tu 🤣🤣
Top Bottom