Search results

 1. U

  Naombeni msaada katika hili

  Kopi ipo imeandikwa miaka 3/5.Hii ni kwa sababu kuna watumishi wa aina mbili.Wale wa miaka mitatu na wa miaka mitano
 2. U

  Naombeni msaada katika hili

  Nadhani hujanielewa!Katika ofisi ninayofanyia kazi kuna watumishi wa aina mbili yaani,wale ambao wana mkataba wa miaka 5 na wale wa miaka 3!Tatizo Mimi niko kwenye mkataba wa miaka 3!Isipokuwa mkataba kwa kuwa umeandikwa kiujumla unadai miaka mitatu Au mitano
 3. U

  Naombeni msaada katika hili

  Miaka 3 iliyopita nilipata ufadhili wa kusomeshwa huko Ulaya! Kabla sijaenda mwajiri alinitaka nimsainie mkataba kuwa nitakaporejea nitamtumikia kwa miaka mitatu kabla ya kuniruhusu nifanye mambo mengine! Ajabu nimerudi nimekuta yeye anadai nilisaini bond ya miaka mitano!Naombeni ufafanuzi...
 4. U

  Mliowahi kuepuka huu mlinganyo wa shetani, njooni mtoe ushuhuda, (kukosa ajira + biashara kufeli)

  Tatizo kubwa linaanzia kwenye elimu inayosisitiza kufaulu tu ikionyesha kufeli kuwa jambo baya!Cha msingi unapojaribu kazi Fulani elewa kuna kufanikiwa na kutofanikiwa!Cha msingi ni uvumilivu na kutotamani makuu wakati hali bado ngumu!Anza kufikiria kazi za kawaida za kukuingizia hata sh.10000/...
 5. U

  Naombeni utaratibu wa kubadili jina la mtoto kwenye cheti cha kuzaliwa

  Ndiyo!Tunaongeza herufi o,tu!Yaani badala ya Paul iwe Paulo
 6. U

  Naombeni utaratibu wa kubadili jina la mtoto kwenye cheti cha kuzaliwa

  Mmoja anacho na mwingine ana umri wa siku 14 amepewa cheti alipozaliwa wanakiita eti cha muda!
 7. U

  Naombeni utaratibu wa kubadili jina la mtoto kwenye cheti cha kuzaliwa

  Naomba mwenye kujua utaratibu huo anijuze mfano mtoto kwenye cheti ni Paul Kayuguyugu na Mimi ninataka aitwe Paulo Kayuguyugu.
 8. U

  Naomba kuelekezwa kusoma mita za maji

  Asante kwa ushauri!Nimekuja hapa jukwaani kwa sababu nilipokwenda waliniambia kuwa kwa kuwa ni maunganisho mapya niende kwenye ofisi moja pale wanitengenezee control number ambayo niliweka sh.5000/ Kama kianzio wakidai ni kwa muda huu bado nasubiria bill
 9. U

  Naomba kuelekezwa kusoma mita za maji

  Mita ni mpya, namaanisha ni eneo jipya kuwekewa maji. Ndiyo maana hata nilipokwenda walidai msomaji hajaleta bill za maunganisho mapya!
 10. U

  Naomba kuelekezwa kusoma mita za maji

  Maji ni ya mamlaka ya maji mkoani hapa, lengo la kuuliza ni kwamba mwezi uliopita sikupewa bill nilipokwenda kuidai ili nilipie wakadai msomaji wao bado hajapeleka ofisini alichosoma kwenye mita!Hadi sasa bado sijaletewa bill.
 11. U

  Naomba kuelekezwa kusoma mita za maji

  Ndugu wanaJF, Ninaomba mwenye ujuzi wa kusoma mita za maji anijuze. Yangu imeandika 13 mita za ujazo! Hivi gharama kwa mita moja ya ujazo ni shilingi ngapi? NINAOMBA MSAADA WENU WADAU
 12. U

  Shukrani kwenu wanaJF, niwemeza kutatua suala la umeme

  Uwanja nilinunua baada ya kujikusanya kwa muda mrefu
 13. U

  Shukrani kwenu wanaJF, niwemeza kutatua suala la umeme

  Niko na mke wangu naye uvumilivu umemshinda
 14. U

  Shukrani kwenu wanaJF, niwemeza kutatua suala la umeme

  Ni kweli ila haitoshi kwani nimepata kanyumba ka vyumba viwili na sebule kanakojitegemea kila kitu nje kidogo ya jiji kwa 100000/- kwa mwezi Mimi kananitosha kulingana na shughuli zangu!
 15. U

  Shukrani kwenu wanaJF, niwemeza kutatua suala la umeme

  Ni TV ,taa jagi la maji silitumii sana had I niwe na dharula!
 16. U

  Shukrani kwenu wanaJF, niwemeza kutatua suala la umeme

  Hapana Mimi nilianza kwanza kutafuta uwanja na kwa sasa nimepanga ili nikusanye vifaa vya ujenzi!Nimepanga nikianza ujenzi ukamilike ndani ya mwezi mmoja na nusu ili nihamie!
 17. U

  Shukrani kwenu wanaJF, niwemeza kutatua suala la umeme

  Hapana!Kuhusu kiwanja nilijikusanya kwa muda mrefu nikakipata!Nilipokuja hapa jukwaani nilisema ninachangamoto moja tu ni hiyo niliyokuwa ninachangishwa 30000/- ya umeme,kumbe baada ya hoja za wadau humu niligundua ninaibiwa!
 18. U

  Shukrani kwenu wanaJF, niwemeza kutatua suala la umeme

  Niko kwenye mchakato wa kuanza kukusanya vifaa vya ujenzi kwanza!
Top Bottom