Search results

 1. Mr Kiroboto

  Mtuhumiwa anaweza kupata dhamana kwa makosa mawili yanayofanana?

  Habari wana JF Mimi nataka kufahamu sheria inasemaje. Kuna mtuhumiwa alifikishwa polisi kwa kosa la utapeli, upelelezi haukukamilika, mtuhumiwa alitimiza masharti ya dhamana akawa nje, baada ya siku mbili akakamatwa tena kwa kosa lingine la utapeli. Je mtuhumiwa huyu anaweza kupata dhamana...
 2. Mr Kiroboto

  Tufahamishane magonjwa mbalimbali katika lugha ya kiswahili na kiingereza

  heshima mbele wakuu, AIDS=UKIMWI CHICKENPOX=TETEKUWANGA NA MAGONJWA YAFUATAYO YANAITWAJE KWA KIINGEREZA? (1)KIPANDA USO (2)PEPOPUNDA
 3. Mr Kiroboto

  Ushauri unahitajika hapa

  HESHIMA MBELE WAKUU Kuna kijana amenunuliwa laptop(lenovo),laptop hii ilikuwa tayari inatumia window vista,sasa kijana haitaji hii vista badala yake anahitaji window xp.Window xp anayo ila tatizo ni kwamba kila anapojaribu kuinstall huwa inagoma.Uanza vizuri ila kabla ya kumaliza kukopy...
 4. Mr Kiroboto

  Euro 2008 Ni Mwaka Wetu Italy

  HUU NI MWAKA WETU ITALI,nikianzia na hili kundi letu lina timu za netherland,roman na france.sijaona kikwazo cha sisi AZZURI kutotinga robo final,duh huu mwaka wetu
Top Bottom