Search results

 1. Maramla

  Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) na kisa cha asiyefanya kazi na asile

  Na Mwamba wa Kaskazini Nianze kwa kongole kwa Mbunge wangu kipenzi Halima Mdee na wenzake waliokubali kutimiza haki yao ya kikatiba leo kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) kwenye Bunge la JMT. Wabunge hao takribani 19 wa CHADEMA wameapishwa leo wakati mambo mawili...
 2. Maramla

  Kabendera: Lessons and New Juriprudence in Media Accountability

  By Johnson Kaliua, Dar es Salaam For any criminal defense lawyer charges relating to money laundering, cybercrimes and similar technology based felonies, you need to prepare your case in extra ordinary ways, and where possible, base your litigation strategy on technical issues such as...
 3. Maramla

  Tumeamua, sasa madini yanatema

  Dar miner records 36pc sales boost Williamson Diamond Mine in Tanzania has announced a 36 per cent increase in sales revenues and a 17 per cent increase in production in 2019. Majority shareholders Petra Diamonds said in its latest trading update that the improved figures were recorded even as...
 4. Maramla

  Katuni: Zitto Anavyowalamba Wazungu miguu

  Sent from my iPhone using JamiiForums
 5. Maramla

  Magufuli named the Most Educated African President 2020

  The educational qualification of African leaders in juxtaposition to their performances is an irony. Africa has the most educated leaders in the world, and the continent continues to experience plodding progress. Many critics and social commentators have attributed this to the high level of...
 6. Maramla

  Zitto Kabwe Vs Tundu Lissu

  Sent from my iPhone using JamiiForums
 7. Maramla

  Bosi BARRICK aendelea kufunguka makubaliano na Tanzania, asema ni mfumo bora Africa

  Wakati mnaenda kuichafua nchi kwa wazungu, mageuzi huku yanaendelea ---- TANZANIA “had a legitimate beef” in its dispute with Barrick Gold subsidiary Acacia Mining and the solution now reached “… would make Africa a very different place in ten years time if this formula could be migrated across...
 8. Maramla

  Tanzania Barrick Sign "Africa's Best Mining Implementation Deal"

  By Staff Writer, DAR ES SALAAM Finally the Governent of Tanzania and Barrick Gold, after months of speculations, have signed a total of 9 implementation agreements to end the mining row that persisted since 2017. The agreements follows a 3 years prolonged re-negotiation of a mining agreement...
 9. Maramla

  Kweli Zitto Kabwe wa Buzwagi akikutana na Zitto Kabwe huyu itakuwa ni vita ya 3 ya dunia

  Na Nathaniel Ndilito, DSM. Nimesoma andiko linalodaiwa kuandikwa na Zitto Kabwe akihoji kama Rais Magufuli amemtumbua Kangi Lugora kwa kusaini Mkataba ambao "haujapita Bungeni," mbona kuna mikataba mingi "haijapota Bungeni" na watu hawajachukuliwa hatua? Kama kawaida yake Zitto akataja mifano...
 10. Maramla

  Demokrasia yazidi kuadimika CHADEMA; Mbunge Zenji asakamwa kila kona!

  BREAKING NEWS!!!!!! DEMOKRASIA YAZIDI KUADIMIKA CHADEMA; MBUNGE ZENJI ASAKAMWA KILA KONA! Kama ilivyotabiriwa, siku chache tu baada ya kurejea madarakani, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameendelea na utawala wa kiimla ndani ya chama hicho. Kama mnavyojua leo Mbunge wa Chama hicho Mariam...
 11. Maramla

  Kigoma tumesikia, tumejipimia vifurushi vya Bima, sio kwa hii foleni

  Sent from my iPhone using JamiiForums
 12. Maramla

  Wanaharakati wa Tanzania wasitulazimishe kuwaona kuwa ni genge la wavunja sheria

  Anaandika Wakili Ally Hafidh Nimefuatilia baadhi ya hotuba katika kuuaga mwili aa Mama Kabendera Dar es Salaam, nikasikitika sana. Wakati ujumbe wa Kabendera mwenyewe kupitia kwa Wakili wake Msomi Jebra Kambole lakini mwanasiasa Zitto Kabwe akausoma ulikuwa wazi kuwa anamlilia Mama na...
 13. Maramla

  Marekani: Mahabusu rapa Suge Knight yameshamkuta kama yako

  Suge Knight's chances of getting out of jail to attend his mother's funeral have dwindled down to about zero ... because rules are rules. We spoke to the L.A. County Sheriff's Department who tells us Suge can't get his hands on a "get out of jail free" card to attend...
 14. Maramla

  Magufuli wa Mwaka 2019 ni Yuleyule wa 2020 Katika Miradi ya Maendeleo

  Na Kasambula Theonest, Kigoma Tanzania leo inaungana na mataifa mengine duniani kuuaga mwaka 2019. Kuna mengi mazuri ya kuusemea huu mwaka lakini makala hii inaongelea kazi nzuri aliyofanya Rais John Magufuli wa Tanzania katika mwaka huu wa 2019 na inayoendelea mwaka 2020. Kwanza nikiri kwanza...
 15. Maramla

  Yearender: Tanzania to conclude year of stability, reforms and deepened ties with China

  http://www.xinhuanet.com/english/2019-12/30/c_138667577.htm Sent from my iPhone using JamiiForums
 16. Maramla

  Tetesi: Ngurumo; Wakala wa Mabeberu, Chadema Anayemaliza Mwaka Vibaya

  Na Mwandishi Wetu Mamia ya Watanzania wamepinga upotoshaji wa mwandishi wa habari aliyegeuka mwanaharakati, mwanasiasa na zaidi wakala wa mabeberu, Ansbert Ngumrumo, ambaye kazi yake kubwa ni moja tu; kupotosha kila jema la nchi yake awe ndani au nje ya Tanzania na kusifia hata ujinga wa nchi...
 17. Maramla

  Kiko wapi, hivi wanaharakati mtajifunza lini Stratejia?

  Na Munis Swai, ARUSHA Jana niliandika kitu, wapo walioelewa na wapo walioponda, kama ulivyo uhuru wa maoni. Hoja zangu kubwa mbili zilikuwa: Mosi, wanaharakati wa nyakati hizi wanapotosha dhana ya harakati na kutumia tasnia hii kupigania maslahi yao ya kisiasa, kimapato na kitumbo (mkono uende...
 18. Maramla

  Unafiki wa wanaharakati unatuharibia sote. Wananchi wangapi hamuwatetei?

  Na Munis Swai, ARUSHA. Kuna jambo tunapoelekea Noeli ya Xmas na Mwaka mpya 2020 lazima turudi nyuma tujitakase. Hivi ninapoandika hapa tayari kwa Tanzania kuitwa wanaharakati ni doa kubwa, kwa nini? Kwanza, kuna wanaharakati uchwara wameivamia hii tasnia yenye malengo mema ya kufanya advocacy...
 19. Maramla

  DARUSO, hii ni Awamu tofauti, msijeshangaa Chuo kimetangazwa kuwa shamba la korosho

  Na Mwamba wa Kaskazini Juzi vijana wa Serikali ya wanafunzi wa UDSM (DARUSO), walieleza changamoto mbalimbali zinazowakabili . Nilipenda jinsi vijana walivyoeleza changamoto zile. Niliwaunga mkono 100 % ingawa kuna eneo walikosea; unaeleza changamoto ambayo hujui tiba yake then unatoa saa 72...
 20. Maramla

  Mwenyekiti wangu Mbowe miaka 20 na ukimya wa haya 10

  Na Johnson Swai, USA RIVER Mimi ni mwanachadema kindakindaki lakini siingia vikao vitukufu vya juu vya Chama hivyo leo nimeona nikuulize maswali haya 10 na wanachana wenzangu ili tuone kama wewe Mwenyekiti wetu unafaa uendelee tena au ndio chama chetu tuzidi kushindwa na CCM? 1. Miaka 20...
Top Bottom