Search results

 1. kkiwango

  Viongozi wa Tanzania are you serious????

  Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko kuwa vijana hawafanyi kazi, saa nne asubuhi wapo wanacheza pool. maswali yangu kwa viongozi wa nchi hii ni.... 1. Je mmetenegeza nafasi au kuhakikisha nafasi za hao vijana kufanya kazi zinapatikana? nitatoa mfano wa jinsi Uhamiaji na wizara ya kazi...
 2. kkiwango

  Machine ya kukamua alizeti Dar es salaam

  Wakuu habari ya leo. Nina gunia zangu za alizeti hapa Dar, natafuta sehemu kwenye mashine naweza kukamua mafuta. kuna mwenye kufahamu wapi naweza kupata huduma hiyo? Asante in advance
 3. kkiwango

  Msaada kuhusu kupatana dot com

  Wandugu naomba msaada kwa anayefahamu utaratibu wa kununua kitu toka kupatana dot com. Kuna kitu nimekipenda ila owner anasema nilipe kwanza ndio waniletee, na mimi nasisitiza kukiona kwanza ndio nilipe. Yeye anasema kupata watanicontact ili nifanye transactions nao. Niko changanyikiwa kidogo...
 4. kkiwango

  BMW Series 1, 3, 5

  Habarini wanandugu. Msaada tutani,ninataka kununua au niseme kuagiza gari aina ya BMW series 1 au3. Ninaomba ushauri kwa wenye uzoefu na magari haya yasiyo TOYOTA. Hizi gari zafaa huku kwetu spea je zapatikana? unanishauri nini. Ipi ni njia nzuri na ya usalama zaidi kuagiza gari na wapi...
 5. kkiwango

  What happened to kpwear.com?

  Leo nimejitutumua wenyewe ninunulie ndugu na jamaa nguo za christmas, nakuta site haipo online, nimetuma email naona kimya, vp tena kipanya?
 6. kkiwango

  Msaada kwenye internet

  wakuu, Nina tatizo kidogo na internet yangu, siwezi ku access baadhi ya sites kama google, gmail, blogspots, yahoo mail. Lakini naweza ku access nyingine kama hotmail, jamii forums na baadhi zisizo za kiswahili. Hii kitu imeanza kama siku mbili zilizopita, firefox wananiambia nicheck DSN...
 7. kkiwango

  Email address za Tumaini University Iringa

  Ndugu wapendwa, Naomba msaada wenu yeyote mwenye email address za Tumaini Univ, Iringa naomba anisaidie tafadhali, Kama ikipatikana ya VC itakuwa na msaada mkubwa zaidi. Natanguliza shukrani
 8. kkiwango

  Rais wangu Kikwete chagua bega au kwaheri ya kuonana

  Paschally Mayega RAIS wangu tumewafikisha wananchi wetu mahali wanapowaza zaidi ya nyuma kuliko ya mbele. Wananung’unikia yaliyopo na kuhofia yanayokuja. Wamejaa woga. Wasiwasi umetanda. Tumewaondolea furaha na kuwafutia matumaini. Tanzania isiyo na matumaini inamnufaisha nani? Msiba wa...
 9. kkiwango

  Vigogo waliomuua Amina Chifupa

  Mzee Chifupa: Bado tunachunguza vigogo waliomwua Amina na Prisca Nsemwa DUNIA imetakiwa kusimama imara na kwa nguvu ili kupinga dawa za kulevya kwa kuwa zina athari kubwa kwa jamii, hasa vijana. Katibu wa Mfuko wa Amina Chifupa ambaye pia ni baba wa Amina, Luteni Hamis Chifupa alisema...
 10. kkiwango

  Kenneth Simbaya President mpya wa UTPC

  Hongera kwake, Je ndio safari ya kuelekea kwenye jukwaa la siasa za Tanzania au itaishia hapo hapo??
Top Bottom