Search results

 1. jiwe angavu

  Uchaguzi 2020 Hutokaa usikie neno HAKI kutoka kwa wagombea wa CCM

  Baada ya kuona upepo unazidi kua mbaya na mgombea wa upinzani akisisitiza kulinda kura ili wahuni wasichakachue..na endapo wakichakachua basi raia wataingia barabarani. Wagombea wa CCM wamekazana sana kudai na kulinda Amani ya nchi..Niwakumbushe tu hakuna Amani mahali pasipo na HAKI..tendeni...
 2. jiwe angavu

  Ni wakati muafaka wa kubadili Sera ya Elimu

  Mpaka leo hii nchi yetu haina sera mahususi inayo elezea matumizi ya lugha ya kufundishia kwa wanafungu katika ngazi mbalimbali za kielimu hapa nchini. Hii hupelekea watoto wengi sana hasa wanaopitia shule za umma kutokua na msingi mzuri wa kielimu na kifikra..hii ni kutokana na kua na lugha...
 3. jiwe angavu

  Uchaguzi 2020 Mkihubiri amani msisahau kuhubiri haki ambayo ndiyo Msingi Mkuu wa Amani

  Kumekua na kauli nyingi sana hasa kipindi hichi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020 kutoka kwa watu mbalimbali, taasisi za kiraia na kidini, chama na vyombo vya dola pia vikihubiri na kusisitiza amani. Hili ni suala la msingi sana hakuna asiyependa amani. Ila kumbukeni amani bila haki haiwezi kuwa...
 4. jiwe angavu

  Ushauri: Wizara ya Elimu sitisheni udahili wa kozi za Ualimu wa masomo ya Sanaa Vyuoni

  Moja kwa moja kwenye mada husika. Kutokana na ongezeko kubwa la walimu waliohitimu masomo yao kuwa kubwa mtaani Ikiwa wengi wao hawana ajira na kuendelea kuhangaika mtaani ambapo mwajiri mkuu serikali ya awamu ya tano kusitisha ajira zao hasa walimu wa masomo ya sanaa, ambao ni wengi sana hadi...
 5. jiwe angavu

  Wapinzani, Lengo lenu ni lipi Hasa?

  Habari wanaJF. Nimekua nikijiuliza na kutafakari hivi lengo hasa la Chadema na vyama vingine vya upinzani ni lipi hasa kwa waTanzania..? Je lengo lenu ni kushika dola..? Je lengo lenu ni Maridhiano na Seikali ya CCM..? Je lengo lenu ni kuuaminisha umma kuwa ninyi ni chama chenye sera...
 6. jiwe angavu

  Mjadala huru: Je, ni nini imekikumba Chama Cha Mapinduzi?

  Wakuu Habari ya jioni. Napenda kuwakaribisha katika mjadala huru,ili kufahamu hasa nini kinachoendelea ndani ya chama kongwe Afrika. Nimejaribu kujiuliza maswali na wala sipati jibu.. Je ni nini imekikumba cha cha mapinduzi mara baada ya mwenyekiti taifa JPM kuchukua uongozi.. Mana ukitazama...
 7. jiwe angavu

  Taratibu za kuoa Binti wa Kingoni.

  Wakuu habari ya leo. Ni mwaka sasa tangu moyo wangu umemdondokea huyu binti mrembo,cheusi mangara mwenye figa ya kibanyu halisi. Na nmeona sasa iwe vyema kupanda levo ya juu na kumweka awe mke wangu wa ndoa. Hivyo kwa wajuvi wa mmbo au mlina uzoefu na taratibu za kutoa mahali kwa mabinti wa...
 8. jiwe angavu

  Uzi maalum kwa shoo zilizo gonga mwamba, wazee wa mission impossible.

  Habari zenu wakuu. Naweka uzi maalum kwajili ya kukumbushana visa mbali mbali vilivyotukia katika harakati za kutafuna papuchi mwisho wa siku unashindwa kupiga shoo..hii inaitwa mission impossible baada ya harakati zote kugonga mwamba pale unapoingia na demu ndani ya 6 kwa 6. Naanza na hii...
 9. jiwe angavu

  Wale wanaouza na kununua vitu vya ndani tukutane hapa

  Habari wakuu na tumai mko salama.. Naomba niende moja kwamoja kwenye uzi husika..Huu utakua uzi husika kwajili ya wanao nunua na kuuza vitu vyao binafsi..bila kupitia madalali.. Usawa huu vyuma vimekaza unaweza kutapatwa na shida ya ghafla ukahitaji kuuza kitu au vitu vyako vya ndani kama...
 10. jiwe angavu

  Ombi: HESLB ongezeni muda wa kuomba mkopo

  Habari za asubuhi wakuu. Naomba niende moja kwa moja kwenye dukuduku langu. Katika kufuatilia na kufanya michakato mbalimbali katika uombaji wa mkopo nimekumbana na changamoto nyingi ambazo naamini wengi wetu waliofanya huu mchakato wamekutana nazo. Kupitia mfumo mpya wa uombaji mkopo kwa...
 11. jiwe angavu

  TBC kuna nini.?Mnatuangusha watanzania

  Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Kusema ukweli hii television ya taifa inatia aibu hata kama hamko ki biashara ila hata ubunifu mnakosa. Jaribuni kuwa wabunifu japo kidogo hata kama mnategemea rudhuku ya serikali kujiendesha. Msimamizi wa vipindi sijui hili halioni vipindi vingi na...
 12. jiwe angavu

  Ushauri: Next move ya JPM iwe katiba mpya

  Mhola mhola.. Natumai mko salama mkitafakari na kujadili kwa umakini ripoti iliyotolewa leo juu ya makinikia, iliyolenga zaidi masuala ya kiuchomi na kisheria. Moja kati ya mapendekezo ya kamati nikuhakikisha wote walio husika katika suala la mikataba hii iliyolitia hasara taifa, waweze...
 13. jiwe angavu

  Ni wazi sasa uchumi wa nchi unapumulia mashine

  Madelo Gawiza. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika..hali ya uchumi ya nchi yetu iko taabani..hili limejidhihirisha wazi kabisa kupitia hotuba ya leo ya Rais wetu katika uzinduzi wa ulipaji kodi kwa njia ya kielekitroniki. Ukiisikiliza kwa umakini hotuba ya JPM zile Mbwembwe na...
 14. jiwe angavu

  Utamu uliojificha

  Madelo gawiza........? Napenda kuleta matokea ya utafiti huu mdogo nilio ufanya katika harakati zangu za kusaka mgegedo..naomba niweke wazi hizi harakati sio kama za pimbi au lodilofa..hizi ni harakati zilizokua na mtazamo wa kipekee sana. Tangu nimeingia kwenye ulingo huu wa...
 15. jiwe angavu

  Hivi ni kweli CHADEMA (UKAWA) hakuna wazee?

  Wakuu habari ya leo.? Muda si mrefu nimemsikia rais mstaafu wa awamu ya nne JK akisema wale wenzetu hawana hata wazee. hii kauli ina maana gani hasa?
 16. jiwe angavu

  Msaada kuhusu digrii ya Health Information Systems

  Wakuu ningependa kufahamishwa kwa undani kuhusu hii kozi hususani; ◇vyuo vinavyotoa kwa hapa Tanzania. ◇hitaji lake katika soko la ajira. Pia kwa anaye soma kozi hii au aliyemaliza anipatie uzoefu wake na changamoto zake katika hii kozi.
 17. jiwe angavu

  Public Health in Kenya

  Nahitaji kusoma bachelor of public health nchini kenya. Naomba ushauri katika mambo yafuatayo; 1. Vyuo vizuri vinavyotoa kozi hiyo. 2. Gharama na Jinsi ya kujiunga kwa Foreigner. 3. Mwaka wa kuanza masomo unanza lini.
Top Bottom