Search results

 1. Doctor Sebas

  Vyuo na programu zilivyozuiliwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

  Ndio inavyosemekana hata kusoma Pharmacy, nursing pia haruhusiwi yani course ambayo anaweza kusoma ni ENVIRONMENT HEALTH TU tofauti na hapo akasome Education sasa ndo sijajua Hiyo inshu ni kweli ama Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Doctor Sebas

  Vyuo na programu zilivyozuiliwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

  Inasemekana kwamba kuna tamko limetoka kwamba mtu aliyesoma CBG hawezi kusoma Nursing, pharmacy, Doctor wa mifugo yani kama akisoma ni ENVIRONMENT HEALTH TU ndo itahusika kwahiyo inabidi hasome Education ama vitu vingine lkn kwa Pharmacy, Nursing haruhusiwi kusoma ndo sijajua hapo kama kuna huo...
 3. Doctor Sebas

  Vyuo na programu zilivyozuiliwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

  Ndugu zangu Hivi Ni kweli kwamba Wale Wanaosoma comb ya CBG hawataruhusiwa Kusoma Course za Sayansi Chuo Kikuu ama hizi taarifa siyo za kweli!? #Ufafanuzi Jamani Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Doctor Sebas

  History

  #SOJOURNER__TRUTH Mtumwa aliyepigania haki za watu weusi nchini marekani. Binti aliyezaliwa kwenye familia ya utumwa- huko newyork miaka ya 1790's Akiitwa Isabella na baadaye kubadili jina na kujiita #sojourner_truth.
 5. Doctor Sebas

  Wape taarifa mwenye sifa fursa hiyo.

  Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Doctor Sebas

  Soma hii

  "Unajisi wa sheria hutokea pale ambapo mahakmu/majaji, hujiweka mikononi mwa watawala na kuamini watawala wana nguvu kuliko sheria" *Lamar_Smith* Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Doctor Sebas

  Hasara za pombe kiafya,kiuchumi na kijamii.

  Unywaji wa pombe ni suala la kihistoria,pombe imekuwa ikitumiwa katika jamii nyingi kote duniani toka karne na karne kama kinywaji na kiburudisho. Ukiachia kuburudisha pombe imekuwa na madhara mengi kwa binadamu kuliko faida zake ukiachia umaarufu na matumizi yake kuwa mkubwa sana. Pombe ina...
 8. Doctor Sebas

  Fahamu madhara ya uvutaji wa sigara.

  Wavutaji sigara hupata magonjwa ya macho mara nyingi kuliko wasiovuta. Sehemu ya macho inayopitisha mwangaza inaweza kufichwa kama vile wingu linavyoficha jua(yaani kwa ikimombo) na kusababisha upofu. Ugonjwa huu husababishwa kwa njia mbili. Kwanza moshi wa sigara huwasha macho na pili...
 9. Doctor Sebas

  Historia ya vita vya adwa

  *vita vya adwa* Hivi ni vita vilivopiganwa kati ya Ethiopia na Italia, mnamo mwaka 1896. Kwa wakati huo, ethiopia ilikuwa ikijulikana kama "Abyssinia" na ilikuwa ikiongozwa na mfalme menelik wa pili. *chanzo cha vita[emoji116]* Vita hivi vilisababishwa na utata uliojitokeza katika *mkataba wa...
 10. Doctor Sebas

  Pata maarifa

  UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASIKINI "Umasikini hauji kwa bahati mbaya, ni kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P) "Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa...
 11. Doctor Sebas

  Ukiwa na hizi tabia 9, jiandae kufa masikini

  UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASIKINI "Umasikini hauji kwa bahati mbaya, ni kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P) "Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa...
 12. Doctor Sebas

  Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe

  Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Doctor Sebas

  Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe

  Shukurani pia mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Doctor Sebas

  Wajulishe Form 6 waliomaliza

  Tzjobconnection tumekuwekea listi ya vyuo 14 vilivyoanza kupokea maombi ya masomo ya degree kwa mwaka 2017/18 wa masomo, soma admission requirements na download application form* bofya kwenye linki kuapply na usisahau kushea na wenzio[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Admission into...
 15. Doctor Sebas

  Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe

  Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe Hata Kama Mlizaliwa Mapacha Wa Kufanana Bado Wewe Utabaki Kuwa Wewe..Muda Mwingine Jifunze Kuheshimu Mawazo Yanayotoka Katika Moyo Wako Maana Hakuna Rafiki Mzuri Ulienae Akujuae Vzr Kama Nafsi Yako Mwenyewe Wengi Watakuambia Hauwezi Lakini...
 16. Doctor Sebas

  //

  Namaliza Mwaka 2019 Sent using Jamii Forums mobile app
 17. Doctor Sebas

  //

  Asante Sent using Jamii Forums mobile app
 18. Doctor Sebas

  Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe

  Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe Hata Kama Mlizaliwa Mapacha Wa Kufanana Bado Wewe Utabaki Kuwa Wewe..Muda Mwingine Jifunze Kuheshimu Mawazo Yanayotoka Katika Moyo Wako Maana Hakuna Rafiki Mzuri Ulienae Akujuae Vzr Kama Nafsi Yako Mwenyewe Wengi Watakuambia Hauwezi Lakini...
 19. Doctor Sebas

  Historia kidogo

  *KUANGUKA KWA ASSYRIAN EMPIRE* 616-605 BC Medes na Babylon ni miongoni mwa miji iliyokuwa chini ya utawala ya assyrian empire.. Ikatoea kwamba wanajamii wa Babylon wakaanzisha mapigano dhidi ya utawala wa Assyrian kutaka kujitawala..ndipo ikatokea MTU mmoja aliyeitwa *nabopolassar* kushinda...
 20. Doctor Sebas

  ///

  FAIDA ZA TANGO 1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoa kolesteroli mwilini. 2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B. 3. Kusaidia kutunza ngozi. 4. Kuongeza maji mwilini. 5. Kukata hangover. 6. Kuimarisha mmeng'enyo wa chakula mwilini. 7. Kuzuia saratani mwilini. 8. Kusaidia kupungua...
Top Bottom