Search results

 1. Mwanamalundi

  World Bank economist Paul Romer quits after Chile comments

  WASHINGTON (Reuters) - Paul Romer stepped down as the World Bank’s chief economist on Wednesday after he came under fire for saying that Chile’s rankings in a closely watched “Doing Business” report may have been deliberately skewed under socialist President Michelle Bachelet. Romer’s...
 2. Mwanamalundi

  Wanawake wenye miguu minene, umbile namba 8 na makalio makubwa yanayotikisika

  Hivi ni kwa nini wanaume wakikutana na wanawake wenye miguu minene, umbile namba 8 na makalio makubwa yanayotikisika, mara nyingi huwa wanachanganyikiwa? Mara nyingi wanaume wa desing hii, wakitembea mbele hatua tano, lazima wageuke nyuma kuangalia makalio yanavyotikisika? Wanawake mliojaliwa...
 3. Mwanamalundi

  Arobaini maana yake ni nini hasa?

  1. Mtoto anapozaliwa anafanyiwa sherehe baada ya siku arobaini 2. Binadam anapofariki anafanyiwa sherehe baada ya siku arobaini 3. Yesu alifunga kwa siku arobani 3. Wana wa israeil walikaa jangwani kwa miaka arobaini 4. Za mwizi ni arobaini Nini maana ya arobaini. Naomba kuelimishwa. Nakushukuruni.
 4. Mwanamalundi

  Chami, Mkulo, Mponda, Ngeleja na Maige walionewa!

  Yes. Hawa mawaziri walionewa. Mbona hatujasikia wafanyakazi wa ngazi za chini waliofanya yale madudu wameshughulikiwa. Dr.Kigoda yeye ali "deal" na ekelege tu, halafu santuri ya muziki ikazimika. Balozi Kagasheki tumeona kidogo, japo haitoshi. Warning. Mawaziri mliokabidhiwa Wizara zilizokuwa...
 5. Mwanamalundi

  Dr. Hilderbrand Shayo: Mhadhiri Mwandamizi Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

  Habari zilizojiri jijini Dar es salaam ni kwamba Dr.Shayo ameanza rasmi kumwaga lecture kama mhadhiri mwandamizi wa uchumi, chuo kikuu huria cha tanzania. Hongera sana Dr.Shayo. Nchi inahitaji wazalendo wenye moyo kama wewe. Tunakutakia kila jema, katika majukumu yako ya kuelimisha taifa letu...
Top Bottom