Search results

 1. Kitia

  Naomba msaada kuunganisha TP Link router na Vodacom 4G Modem

  Naomba msaada wa kuunganisha router ya TP Link na modem ya 4G ya Vodacom. Nikiunganisha modem moja kwa moja kwenye laptop napata internet, ila nikiunganisha na router hakuna internet. Natanguliza shukrani.
 2. Kitia

  Taa ya Solar Wakawaka

  Kuna hii ya Solar ambayo nimeifanyia utafiti kwa muda wa mwaka mmoja na nimethibitisha kuwa hii taa ni madhubuti na inakidhi sifa ambazo watengenezaji wake wamezipa. Hii taa ni taa ndogo, mbadala wa kibatari. Ukichaji siku moja unaweza kutumia kwa siku 5 ndipo inafifia na kuzima kabisa. Kwa...
 3. Kitia

  Nafasi ya masomo: Master's degree programme in education and globalisation

  Nafasi ya kusoma Masters degree in Education and Globalisation, Finland. kwa taarifa zaidi nenda BestLife Africa.
 4. Kitia

  Picha zinakuwa ndogo

  Baada ya mabadiliko yaliyofanywa kwenye website hii, naona picha zingine ni ndogo (thumbnail) na nyingine ni kubwa zinaonekana vizuri. Hivi ni kwa njia gani mtu anaweza kuweka picha itokee kubwa na sio ndogo? Natamguliza shukrani.
 5. Kitia

  Mchina wa Botswana na kokolochi!

  Nimejaribu ku search ile post ya Mchina wa Botswana anayetaka kuua kokolochi bila mafanikio. Kuna uwezekano wa kui post tena? Natanguliza shukrani.
 6. Kitia

  Kingunge: More MPs to lose in 2010

  By Thobias Mwanakatwe 11th October 2009 Kingunge Ngomale-Mwiru. Veteran politician Kingunge Ngomale-Mwiru has blamed opposing groups and constant wrangles within Chama cha Mapinduzi (CCM) on selfish persons who would always want to be elected to parliament. He...
 7. Kitia

  New Post button

  Leo nimefungua ukurasa wa JF na kama kawaida yangu nikataka kutafuta posts mpya. Kwa bahati mbaya sikuiona button ya New Posts. Je mods mmeiondoa kwa makusudi au imepotea tu? Kama iliondolewa naomba irudishwe maana ndio inatuweka wengine uptodate.
 8. Kitia

  Obama awarded 2009 Nobel Peace Prize

  Latest news: Obama wins Nobel Peace prize. OSLO - President Barack Obama won the 2009 Nobel Peace Prize on Friday in a stunning decision designed to encourage his initiatives to reduce nuclear arms, ease tensions with the Muslim world and stress diplomacy and cooperation rather than...
 9. Kitia

  Hela

  Leo nimekumbuka pesa tulizokuwa tunatumia tulipokuwa watoto wadogo, sisi tulikuwa tunaita hela. Kwa mfano: Hela tano (senti kumi) uliweza kununua andazi moja au pipi gololi sita. Hela kumi (senti ishirini) Hela kumi na tano (senti thelathini) Hela ishirini (senti arobaini) Robo ya sumuni (senti...
 10. Kitia

  Computer freezes

  Naomba msaada. Computer yangu ina freeze saa zingine niki iwasha au hata nikiwa katikati ya kazi. Wataalam naomba msaada niweze kutatua tatizo hilo. Natanguliza shukrani.
 11. Kitia

  Chinese made phones might hinder TCRA move to burst crime`

  Chinese made phones might hinder TCRA move to burst crime` By Mgeta Mganga 28th May 2009 A Chinese Mobile Phone Stakeholders in telecommunications industry have welcomed the decision to register all mobile phones saying the move would help reduce the rampant...
 12. Kitia

  Investing in Tanzania

  Tuna kampuni yetu huku ughaibuni ambayo pia inataka kufanya biashara Tanzania. Je tunahitaji kusajili upya kampuni hiyo Tanzania? Tunaweza kuihamishia usajili wake wa awali huko Tanzania? Natanguliza shukrani.
 13. Kitia

  Je na sisi tupo kama hawa jamaa?

  Napenda kuuliza, je na sisi tupo kama hawa jamaa wanavyoonekana katika hii video?
 14. Kitia

  E mail tatanishi

  Nimefungua inbox yangu na nikakuta hii email. Baada ya hapo ilipelekwa moja kwa moja kwenye spam bin. Kama ukipata kama hii, tafadhali fanya hivyo hivyo: Hello dear new friend. Glad that I'm just browsing now in the Internet and found your profile and i was much feelings over it,I'm miss Rose...
 15. Kitia

  Baby Girl at Jay Leno Show...amazing

  Baby Girl on Jay Leno Show, Truly Astounding! Video by I MADE MY CHOICE TO BE OR NOT TO BE - MySpace...
 16. Kitia

  Gazeti lauliza maswali toka JF

  Nimesoma magazeti ya Tanzania kupitia Kennedy nikakumbana na maswali yaliyoulizwa humu jamvini. Nenda hapa.
 17. Kitia

  Labour MP suspended over expenses

  What lessons can Tanzania leaders learn from this? David Chaytor was paid thousands for a mortgage on a Westminster fl MP David Chaytor has been suspended...
 18. Kitia

  Going bananas for energy in Africa

  Got this off BBC website: Going bananas for energy in Africa...
 19. Kitia

  Accountability: What others do...

  Brown apologises for politicians' perks By Kate Kelland LONDON (Reuters) - Prime Minister Gordon Brown apologised on Monday for politicians' expenses, which included claims for dog food and...
 20. Kitia

  Ship commanded by Black woman admiral rescued Maersk Alabama captain

  (April 26, 2009) - While the facts surrounding the kidnapping and rescue of the Maersk Alabama Captain Richard Phillips have been widely reported, less well-known is that ship which saved him was commanded by a black woman, Rear Admiral Michelle Howard. Howard received the assignment of...
Top Bottom