Search results

 1. youngkato

  Natafuta kitabu kinaitwa "The Complete Book of Baking"

  Mwenye link naomba msaada wa kukipata
 2. youngkato

  Je, sheria ya kutotembea na mwanafunzi inawahusu private candidates?

  Nina mchumba wangu ambaye alimaliza form four 2014, ila sasa ameamua kurudi darasani kama private candidate. Naomba kujua je sheria inayozuia wanafunzi wasibebe mimba na yeye pia inamuhusu? Nb ana miaka 23
 3. youngkato

  Msaada: Anayejua headphones nzuri na original anisaidie

  Wakuu, Nimekuwa kila nikinunua headphones hazidumu. Nyingi ninazokutana nazo hazina kiwango. Brand gani au headphones za aina gani zipo vizuri?
 4. youngkato

  VODACOM TANZANIA network yenu ni magumashi sana kuanzia leo nahama

  Tangu saa moja natuma meseji haziendi. Nikipiga watu hawapatikani. Better try another network
 5. youngkato

  To all graduate students: The secret behind any successful people

  The secret behind any successful People Start. Just get a job. Any job. Find an internship or an apprenticeship or shadow a professional. Serve people as a waiter or an usher; it might help you meet an event attendee who will change your life. Work as a farmhand in a rural area; you may see...
 6. youngkato

  Pale vyuma vinapokaza

 7. youngkato

  Tujikumbushe tulipotoka

 8. youngkato

  Yanayoendelea Stanford bridge

 9. youngkato

  Msaada wa haraka wa Gold detector machine

  Habari wakuu. Anyone who can help me with gold detector machine au exploration companies zinazokodisha mashine naomba tuwasiliane. Napatikana kanda ya ziwa.
 10. youngkato

  Expectations to young

 11. youngkato

  Today is my graduation ceremony

  Nakumbuka mara ya kwanza baada ya kumaliza form six niliilaza kutumia jami forums. Post yangu ya kwanza ilikuwa ni kuomba ushauri kozi nzuri ya kusoma. Nilibahatika kupata ushauri wa kutosha na baadhi ya marafiki nikawapata humu kama Jonatus na Avatar mok. Honestly i enjoyed collage life and i...
 12. youngkato

  CONFESSION: Movie ya friends with benefits ilivyonisaidia kuwapata wanawake niliowataka

  Nikili kwanza hapo mwanzo nilikuwa muoga wa kutongoza wanawake. Baada ya kuangalia hii movie "Friends with benefits" nilipata ujasiri sana. Ikawa kila nikimtongoza demu yeyote akikataa namuomba tuwe marafiki then namwambia atafute hii movie aangalie. Mademu wajanja wanajua jinsi ya kupata hizi...
 13. youngkato

  Tunaoishi kwa mashemeji zetu (MUME WA DADA) Tukutane hapa

  Binafsi mimi dada yangu aliolewa hapa mji kasoro bahari... Sasa baada ya kumaliza chuo akaniomba niende kumsaidia kumwangalizia kibanda chake wakati yeye akienda kwenye mishe nyingine. Sasa tabu kubwa ilikuwa ni vyumba vya kulala ni vichache sana, cha dada na shemeji, cha watoto na cha beki...
 14. youngkato

  Natafufa suppliers wa vyakula vya kuku kanda ya ziwa

  Nianze moja kwa moja. Nipo katika mpango wa kufungua maduka makubwa la kuuza vyakula vya kuku huku mkoani mwanza. Ofisi zangu zipo tayari kwa sasa natafuta sehemu ambayo naweza kupata mzigo wa kutosha. (especially mikoa karibu na mwanza) Kama kuna mtu unamfaham au unaweza kunisaidia naomba...
 15. youngkato

  When life isn't fair (Baba jesca)

  Pale unapochaguliwa kusoma graduate kabla matokeo ya undergraduate hayajatoka
 16. youngkato

  Msaada: Nyuki wamevamia nyumbani kwangu

  Wakati nafika nyumbani leo nimekuta NYUKI wamejikusanya kwenye paa la nyumba, Ni sehemu ya hatari maana kila mtu anapita. Naomba msaada nitumie njia gani kuwatoa maana nimeona kuwatoa kwa moto haiwezekani. Au kama kuna dawa ya kuwafukuza naomba msaada. Shukrani Private geologist
 17. youngkato

  Fundi tiles Anapatikana Dodoma

  Tuna uzoefu wa kutosha kuweka tiles za aina zote kwenye majengi makubwa na wadogo. Tumefanya kazi na baadhi ya wakandarasi wakubwa na wadogo kwa zaidi ya miaka mitano Tulianzia dar lakini sasa hivi tumeamia Dodoma. Tunapatikana kwa namba 0757915043 / 0712385672 Popote katika mkoa wa Dodoma...
 18. youngkato

  Natafuta vijana wenye mtaji tukafungue plant kanda ya ziwa

  Hii ni fursa ambayo imewatoa watu wengi sana, its risk but ukitoka umetoka. (gold processing plant) Lets join and try our lucky. Haijalishi we ni mtaalam au sio mtaalamu wa sayansi ya ardhi. Pm me for further information [emoji671] Private geologist
 19. youngkato

  Nataka kuapply degree, ila cheti cha diploma na academic transcript bado havijatoka

  Kama heading inavoeleza kufanya application lazima upitie nacte ambapo wanataka uwe na cheti au results transcript. Ila hivyo vyote havijatoka na deadline ni tarehe 20 mwezi huu. Kuna njia gani naweza kutumia kufanya application?
 20. youngkato

  Viatu vya kimasai bidhaa bora ya asili

  Soko la viatu vya kimasai linazidi kukua hada katika nchi za nje kutokana na ubora na ubunifu wa viatu vya aina hii Viatu hivi vinatengenezwa kwa wingi arusha na nchi ya jirani ya kenya Sisi tunajihusisha na usambazaji wa viatu kwa jumla na rejareja Viatu vya aina zote vya kiume na kike...
Top Bottom