Search results

 1. Makirita Amani

  Leo Kampigie Kura Mtu Huyu Mmoja Na Atayabadili Kabisa Maisha Yako Kwa Miaka Mitano Ijayo

  “Miaka mitano ijayo utakuwa sawa na ulivyo leo, isipokuwa kwa watu utakaokutana nao na vitabu utakavyosoma.” ― Charlie Tremendous Jones Rafiki yangu mpendwa, Leo tarehe 28/10/2020 ni siku ya kipekee kwenye maisha ya kila Mtanzania, kwani tunapata nafasi ya kwenda kushiriki kuamua ni watu gani...
 2. Makirita Amani

  Sababu kuu tano (5) za kizazi cha sasa kupitia changamoto nyingi na jinsi ya kuondoka kwenye changamoto hizo

  Kitu pekee tunachojifunza kwenye historia ni kwamba hakuna tunachojifunza kwenye historia, hiyo ni kauli aliyowahi kuitoa Mwanafalsafa Hegel. Ni kauli nzito na inayopaswa kutufundisha mengi, lakini kama Hegel alivyoeleza, haitufundishi chochote. Iko hivi rafiki, hakuna kitu kipya kinachotokea...
 3. Makirita Amani

  Vitu vitatu (03) unavyohitaji ili unufaike na usomaji wa vitabu

  Wengi wa wanaosoma vitabu wanapoteza tu muda wao, wanakazana kusoma ili waweze kuwaambia wengine wamesoma vitabu vingapi, huku maisha yao yakiwa hayabadiliki kwa namna yoyote ile. Huu siyo tu upotevu wa muda, bali pia kuchafua akili, maana kama ambavyo Alexander Pope amewahi kusema, “Maarifa...
 4. Makirita Amani

  Jinsi ya kutumia Falsafa ya Ustoa Kukabiliana na janga la Corona

  Tangu mwishoni mwa mwaka 2019, dunia imekuwa inapitia janga kubwa la mlipuko wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona. Mlipuko huu ulianzia kwenye mji wa Wuhan nchini China na wengi hawakuupa uzito unaostahili. Mpaka kufikia mwezi Machi 2020, ugonjwa ulikuwa umesambaa kwenye...
 5. Makirita Amani

  Itikadi: Epuka kufuata mkumbo na fikiri kwa akili yako kama unataka kufanikiwa

  Umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mabishano huwa hayana manufaa yeyote kwa anayeshiriki kwenye mabishano hayo? Chukulia mabishano ya dini, siasa na michezo, maeneo ambayo watu wanakuwa na ubishani kila siku. Watu wanaweza kubishana sana kuhusu dini (mfano Ukristo na Uislamu), lakini mwisho...
 6. Makirita Amani

  Uchambuzi wa kitabu The Fountainhead (Jinsi ya Kuishi Maisha ya Ndoto Yako Licha ya Kupingwa na Jamii)

  Kila mtu huwa anakuwa na ndoto kubwa ya maisha yake katika hatua fulani ya maisha. Wengi hupata ndoto hizi kati ya miaka 7 mpaka kumi. Muulize mtoto yeyote kwenye umri huo na atakuambia wazi anataka kuwa nani akiwa mkubwa. Lakini mfuate mtoto huyo huyo miaka 10 baadaye na muulize anataka kuwa...
 7. Makirita Amani

  Mawimbi yanapotulia ndiyo tunajua nani anaogelea uchi (Hatua 10 za kuchukua ili kuizuia biashara yako isife kwa mlipuko wa Corona)

  Mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea sasa duniani (COVID - 19) una madhara kwenye kila eneo la maisha yetu. Madhara makubwa kabisa yako kwenye upande wa afya, siyo tu kwa mtu mmoja mmoja, bali kwa mfumo mzima wa afya. Kwa sababu uwezo wa mfumo huu ni mdogo ukilinganisha na uhitaji...
 8. Makirita Amani

  Mwongozo wa kufanyia kazi Nyumbani wakati huu wa Mlipuko wa Corona

  Kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea, moja ya njia kuu za kuzuia maambukizi ni watu kujitenga. Hivyo mataifa mbalimbali yanawataka watu wake kukaa nyumbani wakati huu wa mlipuko, ili kuepuka kuambikiwa au kuwaambukiza wengine. Kwa kuwa watu wengi wanakaa majumbani, kazi inabidi...
 9. Makirita Amani

  Wakati dunia inafungwa, wewe fungua vitabu (vitabu 12 vya kusoma wakati unajikinga na virusi vya Corona)

  Kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa mafua makali unaoendelea kwa sasa duniani, dunia imefungwa. Karibu kila nchi duniani imesitisha safari kati ya nchi moja na nyingine, hivyo watu wanaofanya kazi kwenye sekta za usafirishaji, malazi na utalii kwa sehemu...
 10. Makirita Amani

  Jiandae na magumu wakati mambo ni mazuri

  Karibu Mstoa kwenye makala yetu ya kuendelea kujifunza misingi ya ustoa na kuiweka kwenye maisha yetu, ili tuweze kuwa na maisha bora na tulivu. Wote tunajua kwamba wanajeshi huwa wanafanya mazoezi makali wakati wa Amani kama maandalizi ya kupambana wakati wa vita. Wanajeshi hawajiambii ya nini...
 11. Makirita Amani

  Ukikutana na mtu aliyekuzidi akili, fedha au mafanikio, muulize swali hili moja kama unataka kufika viwango vyake

  Haijalishi umepiga hatua gani kwenye maisha yako, kuna mtu ambaye amepiga hatua zaidi kwenye eneo hilo. Na uwepo wa watu ambao wamepiga hatua zaidi yako ni kiashiria kwamba hata wewe unaweza kupiga hatua zaidi ya hapo ulipo sasa. Lakini je tunawezaje kupiga hatua kubwa kama ambazo wamepiga...
 12. Makirita Amani

  Hivi ndivyo teknolojia mpya zinavyoua biashara kubwa na jinsi ya kuzuia biashara yako isife kwa mabadiliko ya teknolojia

  Maendeleo ya teknolojia yanatokea kwa kasi kubwa sana. Lakini kasi hii ya maendeleo na ukuaji wa teknolojia, pamoja na kuwa na manufaa kwa watumiaji wake wa mwisho, yamekuwa na maumivu makubwa kwa makampuni makubwa yaliyo kwenye sekta ambayo teknolojia mpya inaingia. Kuna mifano mingi sana...
 13. Makirita Amani

  Kitu pekee kisichokuwa na ubaguzi duniani ni fedha

  Duniani kuna ubaguzi wa aina nyingi, Kuna ubaguzi mkubwa kwenye rangi kwa baadhi ya maeneo. Kuna ubaguzi wa dini pia. Upo ubaguzi wa jinsia, kabila, elimu, na mengine. Lakini kuna kitu kimoja ambacho hakina ubaguzi. Kitu hicho ni FEDHA, Hakuna mahali ambapo fedha inabaguliwa duniani. Nenda...
 14. Makirita Amani

  USHAURI: Kama umehitimu shahada na huna kazi, fanya mambo haya matano

  Karibu rafiki kwenye makala yetu ya ushauri wa changamoto inayokuzuia kufikia mafanikio makubwa uliyopanga kufikia. Hakuna mtu asiye na changamoto, wale unaowaona wamefanikiwa sana, siyo kwamba hawana changamoto, ila wanakabiliana nazo na kuzivuka. Hivyo usiombe kutokuwa na changamoto, bali...
 15. Makirita Amani

  Sababu 10 kwanini unapaswa kusoma vitabu kila siku

  Siyo siri kwamba usomaji wa vitabu umeshuka sana kwa walio wengi. Watu wanatumia muda mwingi kwenye simu zao, kwenye mitandao ya kijamii na kwenye kufuatilia habari kuliko kusoma. Na hili ndiyo chanzo kikuu cha matatizo na changamoto ambazo watu wengi wanazipitia kwenye maisha yao. Ipo kauli...
 16. Makirita Amani

  Taoism: Falsafa ya kale ya China inayokupa nguvu ya kufanya bila kutenda

  Sisi binadamu huwa tunapenda kutumia nguvu kwenye kila jambo, kitu ambacho hakitupi matokeo mazuri mara zote. Lakini kupitia falsafa mbalimbali, tunajifunza hekima ambayo tukiweza kuitumia, tunaweza kufanya makubwa bila ya kutumia nguvu sana. Moja ya falsafa inayoweza kutupa nguvu ya aina hii...
 17. Makirita Amani

  Ngazi tano za mahitaji unazopaswa kuzitumia ili kutoa motisha kwa wengine

  Rafiki yangu mpendwa, Kama unajihusisha na watu, iwe umewaajiri, unawasimamia, unawaongoza au kuwafundisha, motisha au hamasa ni kitu muhimu sana unachopaswa kukitumia. Mara nyingi watu huwa hawafanyi kile wanachopaswa kufanya mpaka kuwe na kitu cha kuwahamasisha kufanya kitu hicho. Unaweza...
 18. Makirita Amani

  Wakishakulipa, wanakupangia cha kufanya, na hapo ndipo unapoteza uhuru wako

  Rafiki yangu mpendwa, leo tunakwenda kuuongelea uhuru kwa mapana yake, kwa namna ambayo hujawahi kuuangalia ili wewe mwenyewe uone ni jinsi gani umekuwa unachagua kupoteza uhuru wako. Kuna mambo unafanya, ambayo unaona ni ya kawaida kabisa lakini ndiyo yanakunyima uhuru wako. Kabla hatujaingia...
 19. Makirita Amani

  Njia mbili za kuongeza uzalishaji na ufanisi wako au wa wafanyakazi wako

  Rafiki yangu mpendwa, Kama umekuwa mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea duniani, hasa kwenye upande wa sayansi na teknolojia, utakuwa unapata taarifa mbalimbali kwenye eneo la kazi. Taarifa kubwa na ambazo ni nyingi kwa sasa ni uwezo wa maroboti (Artificial Intelligence) kufanya kazi ambazo...
 20. Makirita Amani

  Kama Hujasoma Mamia Ya Vitabu, Wewe ni Mjinga

  James Norman Mattis (kuzaliwa Septemba 8, 1950) ni jenerali mstaafu wa jeshi la maji na anga la Marekani. Katika maisha yake ya uanajeshi na uongozi aliweza kushiriki kwenye vita mbalimbali, ikiwepo vita kubwa kama Vita ya Persian Gulf, vita ya Afghanistan, na vita ya Iraq. Pia amewahi kupata...
Top Bottom