Search results

 1. kivava

  Watengenezaji (repairs) wote iwe wa radio, tv, simu,computer na wa vifaa vya mawasiliano lazima wawe na leseni toka TCRA

  Nasikiliza Magic FM kipindi cha Sundowner jioni hii mara wanarusha tamshi la TCRA Kuanzia sasa wauzaji na watengenezaji (repairs) wote iwe wa radio,tv,simu,computer nk wa vifaa vya mawasiliano lazima pamoja na leseni ya biashara lazima wawe pia na leseni toka kwao. Haijalishi ni Machinga,au...
 2. kivava

  Marekani: Familia ya marehemu Valambhia yaifungulia kesi Serikali ya Tanzania. Dreamliner hatarini

  Familia ya hayati Devram Valambhia ineifungulia kesi serikali ya Tanzania kwenye mahakama ya District Court ya Columbia Marekani. Kesi hii ni ya serikali kushindwa kuilipa kampuni hiyo madai yake baada ya kuuza vifaa vya kijeshi. Mwanzo lilikuwa deni la $ 55098171.- lakini kutokana na riba na...
 3. kivava

  Ali Mufuruki on ITV: Kilimo kwanza kiliishia wapi? Viwanda vya Saruji kupata hasara si ishara nzuri

  Yupo vizuri sana Anahoji kilimo kwanza kiliishia wapi. Asema faida za benki zimepungua sana Viwanda vya saruji kupata hasara ni ishara mbaya Anasifia viongozi wa Africa wanaoenda nje kutafuta wawekezaji Amani na raslimali sio viegezo pekee cha kuvutia mitaji GDP ya Tanzania ni 5% ya mapato ya...
 4. kivava

  Shule za kata za JK na matokeo ya form four

  Uzembe na kutokuwajibika kwa serikali ya awamu ya nne kwenye elimu sasa ni dhahiri Ubabaishaji na uzembe katika uendeshaji wa shule za kata umejionyesha kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yalitotangazwa leo Ni madudu matupu Kukuru kakara za JK za ujenzi wa maabara zimeishia kwa aibu...
 5. kivava

  Sri Lanka wawafanyia maombi tembo wa Tanzania

  Wadau Leo saa sita BBC wamewaonyesha waumini wa dini ya Budhaa wakifanya maombi maalum kwa tembo wa Tanzania waliouwawa na meno ya kupelekwa kuuzwa kwao Pembe hizo zimepimwa DNA na kugundulika zimetoka Tanzania zimesagwa na kuchomwa moto. Ombi langu kwa Mtumbua Majipu re organize idara ya Mali...
 6. kivava

  Mwananyamala hospitali gharama ni juu mno kama private

  Kama unaenda hospital ya Mwananyamala kufuata unafuu wa serikali fikiria tena.Leo nimeenda mambo ni hivi. Kujiandikisha/ kadi 6000, Ultra sound 15000. Maabara kipimo cha damu,......38000- hakuna risiti. Dawa za kuanzia 10000- hakuna risiti dawa hizo zinauzwa mtaani kwangu 2500- nimejua baadae...
 7. kivava

  Mange atoswa na Vodacom

  Akiandika kwenye blogu take ya U turn Mange amedai amefutiwa udhamini uliodumu miaka mitano na kampuni ya simu ya Vodacom. Anadai Ni kutokana na kumshambulia Lowassa kwenye blogu na instagram
 8. kivava

  Kampeni za CCM

  Kama vile mfamaji heshi kutapatapa CCM wameamua kumtumia mama Maria Nyerere katika kampeni zake. Nadhani si sahihi,yeye ni kama mama wa taifa si vyema kumjengea uhasama na sehemu ya wa Tanzania. Wasimuharibie heshima yake.
 9. kivava

  Yametimia UVCCM Pwani

  Mwaka jana kwenye mkutano wake walisema RAIS AJAYE HATATOKA KASKAZINI na yametimia, nakuaminia "mtoto wa mfalme"
 10. kivava

  Dawa ya mbu

  Wanabodi leo Amana hospitali mdada akaja anauza dawa ya kuchoma kuua mbu nilinunua kidogo,ni ya kweli! nani anamjua?
Top Bottom