Search results

 1. WABALLA Inc

  JE NI KOSA KUMPA JIRANI MAJI YA IDARA YA MAJI?

  Habari wana jamvi? Kwa wale wenye uelewa na kanuni za Idara za Maji, ninatumia maji ya bomba kutoka Mamlaka ya Maji ya Mji mmoja. Ninavyojua kisheira hairuhusiwi kuuza maji bila idhini ya mamlaka husika. Nina jirani yangu amabye aliomba kutumia/ kuwa anachota maji. Kama mnavyojua jirani yako...
 2. WABALLA Inc

  NAFASI YA KAZI (PROJECT COORDINATOR VACANCY)

  Organization: Bunda Farmers Development Support Organization (BUFADESO) Role: SEMA Project Coordinator Project: Initiative for conservation of Mara-Serengeti Trans-boundary Ecosystem (SEMA) Duty Station: Mara, Tanzania Reports to: BUFADESO Project Coordinator. Contract Period: 1st of May...
 3. WABALLA Inc

  Tetesi: Radio One na EA Radio hampo hewani!!

  Kuna tatizo la kimitambo katika hizi redio mbili. Huwa napenda kusikiliza vipindi hasa MAZUNGUMZO YA FAMILIA radio one. Ila leo naona hawasikiki huku mara. Nimejaribu online pia siwapati. Tafadhali shughulikieni mitambo yenu!
 4. WABALLA Inc

  Namtafutia mdogo wangu kazi Mwanza

  Habari wakuu?! Kuna msemo kuwa "OMBA UTAPEWA" pia "BISHA HODI UTAFUNGULIWA" Nina jamaa yangu (jinsia ya Kike) anatafuta kazi ya kuuza dukani, supermarket, hotel, petrol station au yoyote inayofanana na hiyo. Kwa yeyote anayehitaji mfanyakazi katika maeneo tajwa hapo naomba tuwasiliane. Wasalaam
 5. WABALLA Inc

  Msaada kuhusu Kufunga Kesi Polisi

  Habari wakuu?! Mie sina uzoefu sana na masuala ya sheria naomba msaada. Kuna mtu nilikuwa namdai nikampeleka polisi. Polisi wakaomba hela ya kumkamata kuwa ni hela la mafuta. Nikatoa mdaiwa akakamatwa akawekwa lumande. Ndugu zake wakamdhamini na kuahidi kunilipa hela yangu. Siku ya malipo...
 6. WABALLA Inc

  Maana ya neno kuraghibisha

  Habari wakuu? Naomba kujuzwa maana ya neno KURAGHIBISHA nimekutana nalo sehemu katika sentensi "Kuraghibisha na kuboresha"
 7. WABALLA Inc

  Tangazo la nafasi ya ajira ya afisa mradi

  NAFASI YA KAZI: AFISA MRADI MWAJIRI: BUFADESO (Farmer based NGO) KITUO CHA KAZI: Wilaya ya Bunda MUDA WA KAZI: Mkataba wa mwaka mmoja. Muda wa mkataba wa ajira unaweza kuongezwa kutokana na utendaji wa mtumishi. MAJUKUMU YA AFISA MRADI: Afisa Mradi wa shirika la BUFADESO atatekeleza majukumu...
 8. WABALLA Inc

  Julius Mtatiro katika Mawazo Pevu ya TV1

  Katika kipindi cha MAWAZO pevu cha TV1 kinachoendeshwa na Muhksin Mambo ndugu Julius Mtatiro anaonyesha kukubaliana na baadhi ya taratibu za serikali ya JPM. Nafurahi pale wanasiasa wanapokuwa positive na Kukubali mazuri pamoja na kutoa ushauri pale wanapoona hapajakaa sawa. Hiyo ndio siasa sio...
 9. WABALLA Inc

  Naota mazingira haya mara kwa mara

  Habari wakuu? Naomba wanaojua tafsiri ya ndoto hii wanisaidie, maana nasikia ukiota ndoto inajirudiarudia inakuwa na maana fulani. Nimekuwa naota nipo shuleni mara nyingi shule ya msingi au sekondari. Mara zote ndoto ninazoota (nikiwa mazingira ya shule) nakuwa mazingira /sehemu mbaya mfano...
 10. WABALLA Inc

  Uwanja wa Ali Hassan Tabora utafaa kuswaliwa Eid baada ya Fiesta?

  Habari wakuu? Kuna mtu kaniuliza swali la kizushi. Juzi Fiesta imefanyika Tabora. Kama tujuavyo kunakuwepo na mambo mengi ikiwepo kunywa pombe wengine kufanya mapenzi siku hiyo. Siku ya kesho uwanja huo huo utatumika kuswali swala ya Eid el Adha. Je ni sawa kufanya ibada eneo moja lililotumika...
 11. WABALLA Inc

  Kwa nini mabasi yasiachwe free kwenye mizani barabarani?

  Naweza kuwa na uelewa Mdogo kwenye hili, naona kama mabasi ya abiria yangetolewa kwenye zoezi la kupimwa barabarani. Mara nyingi kwenye maeneo haya kuna kuwa na foleni ndefu ambazo ni usumbufu. Pamoja na hilo nionavyo mabasi siku hizi hayabebi mizigo kabisa utakuta ni abiria wachache wenye...
 12. WABALLA Inc

  Hivi mpunga una mashudu?

  Huwa naona usukumani wakikoboa mpunga mabaki yale yamelundikwa bila kazi. Ila leo nimemsikia Waziri wa Kilimo akisema watu wasiuze nje ya nchi mpunga waukoboe ili wapeleke mchele na wabaki na mashudu.
 13. WABALLA Inc

  Jinsi ya kupiga hesabu ya 'arrears payment'

  Habari wakuu? Hivi huwa kuna official formula ya kumlipa mwajiriwa Arrears let say ya mwaka mmoja? Kuna muda niliona formula moja inatumiwa na kampuni fulani ila nimesahau. Mwenye uelewa na hili naomba msaada tafadhali.
 14. WABALLA Inc

  OLAS iko wazi!!

  Habari wakuu? Naona OLAS ipo wazi, je wanaruhusu maombi mapya kwa wanaotaka kutuma maombi ya mikopo au?
 15. WABALLA Inc

  Kuondoa Auto-Media Download kwenye whatsapp web

  Habari wakuu? Mungu ni mwema anatupatia uzima na afya ya kutuwezesha kufanya yetu. Naomba msaada katika hili: Nimeanza kutumia whatsapp web ila nashindwa na sioni sehemu itakayoniwezesha kuset ili picha, sauti na video zisiwe zinaji download automatically. Naomba msaada kwa hilo.
 16. WABALLA Inc

  Naweza kupata wapi karatasi hizi

  Habari ya majukumu wakuu? Naiamini jamii forums kwa ideas na michango ya hali na mali kutoka kwa wadau. Huwezi kukosa majibu ukiwa hapa jf. Naweza kupata wapi karatasi zenye material ya manila ambazo zipo coloured upande mmoja na colourless upande mwingine? Hizi huwa zinatumika sana kama cover...
 17. WABALLA Inc

  UPI MFUKO MZURI WA MAFAO KWA WAAJIRA WA SEKTA BINAFSI?

  Habari wana jukwaa? Naomba kujua ni upi mfuko mfuko mzuri wa mafao kwa waajiriwa wa sekta binafsi?
 18. WABALLA Inc

  Kuweka Tangazo(Ads) kwenye blog

  Habari Wakuu? Nimefungua blogspot mwaka jana. Nataka iweze kuwa na matangazo ya ads. Nimejaribu ila nimekwama kidogo naomba msaada.
 19. WABALLA Inc

  ANY LOGO DESIGNER registration keys

  Habari wana jukwaa! Naomba kama kuna mwenye registration keys ambazo ni freely za software inaitwa ANY LOGO DESIGNER
 20. WABALLA Inc

  Watangazaji wa kiume acheni kubana pua!

  Nakerwa na tabia za watangazaji wa redio ( hasa hawa wa sasa wanaochipukia) kutangaza/kuongea huku wanabana pua.Mnaweka mbwembwe kwenye sauti zenu mpaka mnaudhi. Badirikeni bhana!
Top Bottom