Search results

 1. nachid

  Nahitaji TV inayotumia DC

  Iwe chini ya 21 inches kama kuna mwenye uelewa aniambie ni brand gan nzuri, nyingi naona picture hazipo HD. Ukinipm itakua bora zaidi, huu umeme pasua kichwa, bei iwe ya kitanzania.
 2. nachid

  Basi la Gameti lapata ajali

  Lilikua linatoka mikoa ya kusini kuelekea Dar, nimelikuta limedondoka ukipita utete. Sikusimama kwa mwanaJF anaetoka Dar au Lindi anaweza kutupatia madhara yake.
 3. nachid

  #bringback our girls

  boko haram munadhalilisha uislam
 4. nachid

  Satelite za Australia zaona mabaki ya ndege yakielea

  Waziri mkuu wa Australia amekiri kuonwa kwa mabaki hayo ya ndege. Taarifa zaidi watazitoa wakiconfirm. Source bbc news
 5. nachid

  Stakabadhi ghalani ndio chanzo cha vurugu mikoa ya kusini

  Huu mfumo wa stakabadhi ghalani unatesa mikoa inayolima zao la korosho hasa Lindi na Mtwara. Ukifuatilia kwa makini utagundua hata mzunguko wa pesa ktk mikoa hiyo ni mgumu sana, miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000 kulikuwa na kitu wanaita MSIMU ambapo wafanyabiashara toka sehemu mbalimbali za nchi...
 6. nachid

  Angalia AFCON via TVM ya Mozambique

  kwa wenye madish inapatikana ktk Frequency 3655 Horizontal Symbol rate 5633 Bureeee!!!
 7. nachid

  Jamani jamani ndugu zangu wa darajani CHELSEA

  Leo naona vijana wa darajani mtabugia mengi kwelikweli coz mnautafuta mpira kwa tochi, KAZI MNAYO
 8. nachid

  Msaada wa htc dream

  nimenunua hiyo sm htc dream yenye os ya android wiki iliyopipa tatizo inahitaji google acount na kila ninapocreate inafail kwa kuandika temporary error contact customer service, sielewi nifanyeje niweze kuitumia hii sim
 9. nachid

  Halima Mchuka hatunae duniani

  Ni mtangazaji wa TBC Taifa amefariki alfajiri ya kuamkia leo saa 9 kwa presha. Source: TBC Taifa
 10. nachid

  WASAFIRI: Barabara ya Kibiti Lindi

  Barabara mbovu kuliko maelezo kuanzia maeneo ya Nyamwage baada ya kuvuka daraja la Mkapa, ina mashimo ya ajabu kama una wazo la kusafiri na gari dogo e.g opa, noah etc ondoa ilo wazo otherwise utaua gari yako
 11. nachid

  Nyie wanawake muda mwingine mnaboa sana

  Nimeenda home na mke wangu kwa mapumziko ya sikukuu, toka tuanze maisha hajawai kufika kwetu, tatizo tumekaa wiki moja tu amekasilika hataki hili wala lile hadi maza ananiuliza kulikoni? Nikimuuliza tatizo hataki kusema, sasa wadau hili limekaeje nikiamua kumpiga chini itakuwa kosa maana aibu...
 12. nachid

  Msaada wa kisheria wana JF

  Naenda moja kwa moja kwenye mada, mama yangu ana tuhuma za udanganyifu wa mtihani huu wa primary, yeye anadai hakukuwa na kitu chochote alichofanya ndani ya chumba cha mtihani. Sasa tatizo mkuu wao amedai atawapeleka mahakani, je kwa hili adhabu gani inaweza kutolewa? je nikimtafutia mwanasheria...
Top Bottom