Search results

 1. Saharavoice

  Ajali basi na Lori babarabara ya Igunga Shelui

  Kuna ajali ya basi la MJS Safaris na Lori Semi trela yamegongana uso kwa uso na kuna vifo na majeruhi pia. Mvua inanyesha sana maeneo haya. ====== Singida: Ajali ya Basi Kampuni ya MJS na Lori la Mizigo Kampuni ya Azam, imetokea leo Sherui na kusababisha majeruhi 6. Sababu ya ajali ni Lori...
 2. Saharavoice

  Lissu na Chadema Nendeni Mahakamani mkadai Haki yenu

  Kumekuwepo na malalamiko mbalimbali yaliyotolewa na mheshimiwa Lissu, Chama chake na wakati fulani ndugu wa mh. Lissu kuhusu suala la fedha ya matibabu. Mara nyingi nimemsikia mh. Lissu akisema suala la matibabu yake lipo kisheria. swali ninalojiuliza ni kwa nini haki hii isiombwe mahakamani...
 3. Saharavoice

  Shamba la ekari 5 linauzwa wilayani hai - Kilimanjaro

  Shamba liko Masama rundugai kijiji cha Longoi. Lina miundombinu ya umwagiliaji (siyo pori) Bei ni 30ml lakini negotiable PM kwa maelezo zaidi
 4. Saharavoice

  Simon Msuva aendelea kung'ara Morocco

  Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Simon Msuva Jana aliendelea kung'ara katika klabu yake ya Difaa El Jadidi wakati ilipoifunga Olympique Khouribga magoli 4-1 katika mchezo wa ligi kuu ya nchi hiyo BOTOLA. Simon Msuva alifunga goli la nne katika dakika ya 71 na magoli mengine matatu yakifungwa...
 5. Saharavoice

  Prof. Mark Mwandosya kutogombea tena ubunge,, sasa kugombea nafasi ya juu

  Katika kipindi cha jungu kuu TBC usiku huu, Prof. Mwandosya amewaaga rasmi wapiga kura wake na kuwaomba wamuunge mkono atakapochukua fomu kugombea nafasi ya juu. My take; Ujio wa Prof. Mwandosya unaweza kuwa threat kwa makundi mengine yanayowania ukuu wa nchi hasa Mh. Waziri mkuu na Edward...
 6. Saharavoice

  Viwanja vinauzwa Gezaulole (Surveyed)

  Viwanja vilivyopimwa zaidi ya 200 kwa ajili ya makazi, Taasisi na biashara vinauzwa. Viwanja viko Gezaulole - Kigamboni Dar es salaam Bei zinatofautiana kulingana ukubwa wa kiwanja. Kwa maelezo zaidi wasiliana na wahusika kwa namba zifuatazo; 0715 269 125 0756 732 884 0714 800 004
 7. Saharavoice

  My wife is not my relative

  Mke wangu siyo ndugu yangu, na angekuwa ndugu yangu nisingemuoa, na sasa utaoaje ndugu yako; na ingekuwa hivyo ingekuwa ngumu hata kuchiti, hivi kweli umchiti ndugu yako? kinyume chake nihivyo hivyo pia. Ndiyo maana huku watu wanachiti sana hadi usiku wa manane, halafu wengi wao...
 8. Saharavoice

  Nahitaji fremu ya biashara maeneo ya tegeta - dsm

  Wakuu, nahitaji fremu ya biashara maeneo ya Tegeta au njia panda ya Wazo. Si lazima chumba kiwe kikubwa sana lakini pia kisiwe kidogo sana. Sehemu isiwe imejificha.
 9. Saharavoice

  DR. Ernest Bai Koroma re=elected as the President of Sierra Leone

  Just half an hour ago, the National electoral commission for Sierra Leone has announced the results of presidential election after six days waiting. Dr. Ernest Bai Koroma of all peoples congress party has re=elected for a second term with over 58% votes defeating his arch rival SLPP candidate...
 10. Saharavoice

  Wananchi wa Sierra Leone kuchagua Rais, Wabunge, Madiwani na Mameya leo

  Leo ni siku ya uchaguzi nchini Sierra Leone ambapo wananchi wanatarajiwa kupiga kura za urais, ubunge, udiwani pamoja na mameya wa miji. inakadiriwa kuwa vyama zaidi ya kumi vinashiriki katika uchaguzi huo, ingawa ni vyama viwili yaani All peoples' congress (APC) chama tawala, na Sierra leone...
 11. Saharavoice

  CCM wagawa Kanga na fedha kijijini Maweni, hata hivyo Kinamama waapa kutowapa Kura

  Tukiwa njiani na Crashwise kuelekea katika mkutano wa kampeni wa CDM katika kijiji cha Shambalai (Mbuguni), Gari yetu ilipata mushkeri ktk kijiji cha Maweni. wakati tunasuburi msaada tukapata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya wenyeji wa kijiji cha Maweni. Tumekutana na vijana wenye mwamko...
 12. Saharavoice

  Dawa ya majipu (Msaada please)

  Wakuu heshima kwenu, Nina vijana wangu huku porini wanaugua majipu. mmoja anasema ni miaka mitatu sasa yanamsumbua, likisha moja linakuja lingine. Msaada please wa dozi ili yaishe.
 13. Saharavoice

  Machungu ya Kuishi mbali na familia

  Ndugu zangu mlio mbali na familia zenu kwa sababu moja au nyingine tuungane hapa angalau tujiliwaze wakati tunaingia katika week end nyingine huku tukiwa wapweke. Leo nimepata uchungu sana nilipoongea na mwanangu kwa simu halafu akaniuliza “Baba utarudi lini” halafu akaanza kulia Najua wengine...
 14. Saharavoice

  Malaria Sugu ni dawa ya stress

  Siku ukijisikia una ma stress yako mengi, au umechoka sana, ingia humu kabla ya kulala, tafuta thread yoyote ya Malaria Sugu isome, hakika stress zako zote zinaisha na unalala unono. nimeshajaribu mara nyingi, it works.
 15. Saharavoice

  Timu ya Taifa ya "TAEKWONDO" kushiriki mashindano ya Afrika Maputo. Serikali yaitelekeza.

  Timu ya Taifa ya Taekwondo inatarajiwa kuondoka siku ya Ijumaa tarehe 9 Sept 2011 kuelekea maputo Msumbiji kushiriki kwenye michezo ya Afrika. habari kutoka ndani ya kambi hiyo zinadokeza kwamba licha ya juhudi kubwa zinazofanywa na wakufunzi na wachezaji kuhakikisha wanaiwakilisha vyema nchi...
 16. Saharavoice

  Ukiwinda Mwanamke muda mrefu mara nyingi huishia kuwa Disappointed

  Kwa wale ambao ni so experienced kwenye masuala ya uwindaji, hebu tugawane haya mauzoefu. Mara nyingi mwanamke akikusumbua sana kukupa uroda, siku akija kukupa Unakuta sicho ulichotarajia kukikuta ukilinganisha na usumbufu uliopata na hiyo hupelekea mapenzi yasidumu hata kwa sekunde moja. Ina...
 17. Saharavoice

  Bei ya Mafuta ya petrol/diesel vipi?

  Leo ni tarehe moja ambayo serikali iliahidi mafuta yatashuka bei, asubuhi nimepitia petrol station moja, nikaona bei ni ile ile (juu) vipi wadau huko mnakopita bei zimeshuka? au ndo usanii unaendelea?
 18. Saharavoice

  Mh. Mnyika, January, Ngeleja na Lema address this issue ASAP (Power rationing Arusha)

  Pamoja na kwamba bushbaby, Mvumbuzi na Mo-TOWN wameandika threads tofauti kuhusu power rationing hapa Arusha, naomba nami kwa mtiririko huo huo niwaombe waheshimiwa tajwa hapo juu kwa nafasi zao walishughulikie suala hili kabla hali haijawa tete hapa jijini. Ndugu zangu waheshimiwa, Mgawo wa...
 19. Saharavoice

  Kutafuta umaarufu; Kauli inayonikera

  Wana jamvi, kuna hii kauli ambayo sasa imezoeleka na wanasiasa hasa wa chama tawala kuwasema wenzao hasa wa CDM kwamba wanatafuta umaarufu. Nabaki najiuliza kwa mfano, hivi kati ya Januari makamba na Zitto kabwe, nani anatafuta umaarufu? hivi Tanzania ya leo nani asiyemjua Zitto, Slaa, Mbowe nk...
 20. Saharavoice

  Felician kabuga ashitakiwa bila yeye kuwepo mahakamani (hajakamatwa)

  Special Disposition Proceedings Commence in the Kabuga Case The United Nations International Criminal Tribunal for Rwanda on Monday 23 May 2011 commenced conducting special deposition proceedings in the case of Félicien Kabuga, who is yet to be arrested, in order to preserve the prosecution’s...
Top Bottom