Search results

 1. No Escape

  Naomba kujuzwa Garage ya uhakika Bagamoyo Road

  Habari za "Usiku huu wa Manane" Naomba msaada wa garage makini na ya uhakika iliyopo barabara ya Bagamoyo ambayo naweza kufanya service kubwa ya gari langu nina safari ndefu next week. Ahsanteni.
 2. No Escape

  Tahadhari: Watu hawa wanaokuzunguka

  1. Kuna watu wanapenda kusikia taarifa zako mbaya kuliko njema. 2. Kuna watu wanakuwa wa kwanza kukupa taarifa mbaya kuliko njema. 3. Kuna watu Ukipata tatizo lolote wao ndio wa kwanza kukupigia simu wakati hujatoa taarifa popote. 4. Kuna watu kila unachokifanya wanakifatilia halafu wanacomments...
 3. No Escape

  Waganga wa Jadi: Vipi Mbona Hakuna tamko lolote kuhusu hili Janga?

  Au nyie wenzetu mna kinga zenu binafsi,Lakini huu si ndio muda mubashara wa kuonnesha uwezo wenu jamani na kujipiga promo. Mimi siamini km hii kitu mmekosa ufumbuzi au bado mpo maabara,aaaaah! Jamani hata br. Mshana umetuchunia kabisaaa,km haupo vile.
 4. No Escape

  Globalization spreads cov-19, Not Virus!

  Ndio ni kweli kabisaa! Nadhani hii ni matokeo ya utandawazi na katika mikakati ya wazungu kuanzisha utandawazi ili kushare majanga kama haya baada ya kuona yanatokea kwao Tu! Kuna member mwenzetu humu ameeleza vizuri kuhusu majanga km haya ya Corona kuwahi kutokea huko nyuma na Athari...
 5. No Escape

  Hasara na Faida za Corona

  Kila kitu hapa duniani kina faida na hasara yake hapa Duniani. Pamoja na madhara makubwa ya hili janga lakini pia kuna faida pia kuanzia ngazi ya Dunia nzima mpaka familia; 1. Binadamu sasa Tunamjua Mungu 2. At least Nidhamu inarudi na usawa,wote tunaongea lugha moja kwa sasa anaejaribu kujiona...
 6. No Escape

  Kwanini Expire Date huwa hazioneshi vizuri?

  Nimefanya uchunguzi wangu wa muda mrefu hapa kwetu nchini bidhaa nyingi hasa za vyakula, Expire date zake huwa kama zimefutika wakati jina la bidhaa linaonekana vizuri.. Hivi kuna sababu yeyote ya kibiashara kufanya hivi na je Sheria inasemaje?
 7. No Escape

  Hivi mshahara huwa unatosha kweli?

  Kwa kweli mi niseme ukweli sijawahi kutosheka na mshahara sijui kwa nini? Kipindi namaliza masomo unaanza na posho unaiona nyingi baada ya muda, haitoshi! Unafanikiwa kupata kazi mshahara mnono baada muda hautoshi! Unaongezwa mshahara kila baada ya muda fulani, lakini ukikaa baada ya muda...
 8. No Escape

  Huku kitaa: Utajiri ni nyumba na gari Tuu!...

  Usishangae Ukaanza kutengwa,kukopwa na Hata kurogwa kwa sababu huku kwetu tunaamini kabisa huwezi kuwa na hivyo vitu km wewe sio Tajiri na sie huku tuna Aleji na hao watu!!
 9. No Escape

  Msaada: Token ya LUKU imefutika!

  Wana JF wenzangu leo naomba msaada nipo serious jamani mliopo macho mida hii, nimenunua umeme kwenye simu hivi ninavyoongea wapangaji wenzangu nimewaongopea mtandao unasumbua ila kiukweli ile Token nimeifuta bahati mbaya!! Please please please JF
 10. No Escape

  Madereva: Habari za barabarani leo?

  Uzi huu uwe maalum kwa madereva na wasafiri kujua hali ya barabara ni haki yenu kabla ya kuanza safari ya huko uendako.Tupashane yanayojiri ili tuweze kusaidia safari zetu. Unatarajia kuelekea wapi saa hizi, unahitaji kujua hali ya barabara kama labda kuna changamoto yeyote saa hizi ili kuepusha...
 11. No Escape

  Changamoto mtaa kwa mtaa

  Mitaa ni mingi sana huku duniani na kila mtaa kunaishi watu kutoka jamii mbalimbali ,changamoto za aina tofauti hujitokeza kutokana na utofauti wa malezi kila mtu alipolelewa. Changamoto mojawapo nionayo mimi mitaa tofauti niliyoishi ni watu kutumia muda mwingi kuwadiss watu wengine, mfano...
 12. No Escape

  Tafakuri: Kwanini wanyama wanatofautiana maumbo kutokana na jinsia?

  Mungu anatufundisha nini hapa sisi hapa binadam? kaweka wanyama au ndege kwa Asilimia kubwa kwa wa jinsia ya kiume kuwa na maumbo makubwa na na wa kike kuwa na maumbo madogo!! Utafiti wangu umeligundua hilo ingawa sio wote ila ni wengi wao wapo hivyo.
 13. No Escape

  Wadada wapole,Mungu awabariki!!

  Sio ule upole wa kutafuta mume,naongelea upole Asilia mliobarikiwa na Mungu....Yaani kumbe ni wakorofi hivi mnapokuwa chumbani,mnakuwa km watoto wa chekechea Aisee! Ila mkiwa barabarani mnajikausha km sio ninyi yaani serious Safi sana mbarikiwe na hongera sana.
 14. No Escape

  Ushawahi kukata tamaa? Ilikuwaje?

  Duniani huku kuna changamoto za kila aina, kuna wakati yanakukuta mpaka unahisi ni lako peke yako na kuathiri mfumo mzima wa maisha yako. Iliwahi kunitokea baada kupata maradhi ya ajabu miaka ya 2000 nilihangaika sana mahospitalini mpaka dawa za kienyeji sikupona, amini kilikuwa kipindi kigumu...
 15. No Escape

  Talaka: Tulioachwa na kuachika vipi kuna mabadiliko?

  Una mda gani tangu umeacha au kuachika vipi unajutia maamuzi yako au unajivunia kwa nini,mimi binafsi mabadiliko ni makubwa sana tena sana Tuuu! Yaani sijui nilichelewa wapi?
 16. No Escape

  Msaada: Nahitaji kuweka monthly expenses budget app kwenye computer

  Kwa watakaonielewa, huwa nina utaratibu nasave mapato na matumizi ya kila siku kwenye Hiyo App hapo juu ila huwa natumia simu. Sasa nahitaji kuhamisha huo utaratibu kwenye computer yangu. Sijui hata pa kuanzia huwa natumia simu tu.
 17. No Escape

  Wadada, eti sisi mabwana zenu tuvaaje?

  Mimi napenda nikiona binti amevaa skirt fulani black hivi na ile blauzi nyepesi rangi kama ya maziwa hivi au nyeupe halafu kwa ndani kuwe na ile naniliu yenye matundu matundu. Awe na kamsambwanda ka ushkaji, Weeeh hapo lazima nichomoe betri.
 18. No Escape

  Uzi maalum: Mrejesho,vikao vya mabaharia

  Katika vikao vyetu mbalimbali tunavyokaa huwa tunapitisha miswada mbalimbali ila bado naona kuna baadhi ya wenzetu wanatuangusha. Sasa miswada yetu tuliyokubaliana tutaiweka hapahapa ili haya mambo yasiwe yanajirudia: 1. Mwanaume kuomba ushauri baada ya kumfumania mwenza wako hii usituletee...
 19. No Escape

  Tupia namba ya matapeli ya miamala ya simu

  Watu bado wanatapeliwa jamani tuache masihara! Hali inatisha, mshikaji wangu jana imemtoka 120,000 hivi hivi eti kapigiwa simu kaambiwa kuna ofa yake mtandao fulani wa simu, ila aweke hicho kiasi cha pesa atumiwe ofa yake isiopungua 1 million. Muda muafaka wa hizi namba kwa nini tusi-share...
 20. No Escape

  Wasafiri: Tujuzane yanayojiri tuwapo safarini

  Kila siku watu tunasafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Safari zingine ni ndefu, kuna mambo mengi yanatokea unatamani kushare na wana JF wenzako. Tukutane hapa kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari. Nipo ndani ya basi natoka Mwanza kuelekea Dar, hapa kuna abiria wanagombania siti...
Top Bottom