Search results

 1. Saharavoice

  Je, Nusrat ana makosa au hana? Fikiria, labda alisaini vitu asivyovijua

  Ila mwamba ni kiboko, keshawatuliza nyumbu
 2. Saharavoice

  News Alert: Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

  Issue ya mgao inawezekana, lakini hisia zangu kubwa ni namna ya kukiendesha Chama kupitia ruzuku. Vinginevyo mzigo unaweza kuwaelemea wachache. Wapiga kelele wengi siyo Wa kuwategemea sana ingawa impact yao iko kwenye kukifanya Chama kiishi. Ila lazima mahesabu yalifanyika vizuri
 3. Saharavoice

  News Alert: Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

  Mimi bado naamini Mdee na wenzake hawajajipeleka wenyewe. Huu mchezo ni highly calculated. Haya yanayotokea yalishafahamika. Tafuteni pesa mtengeneze future zenu. Msiwekeze miili na mioyo yenu kwa wanasiasa.
 4. Saharavoice

  Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

  Hii ni Harufu ya mgogoro Mkubwa. Ndani ya Chama hicho hicho wapo wanaounga mkono viti maalumu na wapo wanaopinga. Makundi yote mawili yana viongozi wakubwa nyuma yake. Lile lenye nguvu ndilo litashinda na maisha yataendelea.
 5. Saharavoice

  Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

  Wengi humu mnalalamika tu, hivi mnadhani Mbowe atakiendeshaje Chama. Hao wengine wamekimbia wamemwachia mzigo Wa Chama. Hongera Mbowe kwa kuujua mchezo Wa siasa vizuri.
 6. Saharavoice

  Uingereza yapunguza bajeti Tanzania

  Mambo ya 2011 Robert aluhusikaje?
 7. Saharavoice

  Mnapohangaika 'Kumsifia' Mchezaji wenu Faisal Salum kumbukeni pia bila 'pande' la John Boko leo 'mngenuna' tu

  Kuna mahali Kama Taifa tunakosea kwenye kuteua wachezaji wa Timu ya Taifa. Kwa Sasa timu ya Taifa ni combination ya Simba na Yanga. Ndio maana haya yanatokea.
 8. Saharavoice

  Robert Amsterdam analipwa na nani kuwatetea Tundu Lissu na CHADEMA?

  Toka enzi za Yohana mbatizaji waliambiwa ufalme wa mbinguni umekaribia. Chadema nao wanatuambia ukombozi umekaribia. Tuendelee kuusubiri huo ukombozi kupitia kwa wakoloni mambo leo mpaka Yesu arudi.
 9. Saharavoice

  Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

  Na Kuna mgogoro Ethiopia, mkubwa kuliko wetu. Mwisho wa siku minor issues Kama za kwetu zitawekwa pembeni
 10. Saharavoice

  Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

  Nado sijui anakuwaga na papara za nini
 11. Saharavoice

  Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

  Kocha anatoa wazima Anaingiza wagonjwa
 12. Saharavoice

  Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

  Adam Adam anaonekana kukosa uzoefu
 13. Saharavoice

  Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

  Unadhani ni kweli Profesa Kabudi amewahi kuishi Jalalani? Hizi tungo Tata tuwaachie waliosoma Ligha. Inawezekana siku upinzani ukishika nchi, huku waliko sasa kutakuwa Jalalani na itakuwa halali kwao kuwashukuru wananchi kwa kuwatoa Jalalani. Tujadili vitu vya maana badala ya Kuokoteza misemo...
 14. Saharavoice

  Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

  Ni kwa vile humu vijana ni wengi. Tangu baada ya uchaguzi wa vyama vingi mawaziri wakuu wote walipita bila kupingwa. 2000 sumaye alipita bila kupingwa 2005 Lowassa alipita bila kupingwa 2010 Pinda alipita bila kupingwa 2020 Kassim kapita bila kupingwa
 15. Saharavoice

  Kwa mpira wa jana (TAIFA STARS VS TUNISIA); Kuna haja ya mabadiliko makubwa katika soka letu

  Kuna haja pia kuangalia wachezaji kutoka timu zingine ambao kwenye timu zao wanacheza katika mechi zote. Naamini wapo wachezaji mtibwa, kmc, polisi Tanzania nk. Ambao ni wazuri. Hii kasumba ya kuchezesha wachezaji wa simba, yanga na Azam pekee ambao wengi uwezo wao unaonekana kwa sababu ya...
 16. Saharavoice

  Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

  Feisal in Mkude out
 17. Saharavoice

  Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

  Hivi Nado mbona aruka ruka tu
Top Bottom