Search results

 1. R.B

  Chato inafaa kujengwa Ikulu kubwa baada ya Dar es Salaam

  Chato ni eneo zuri ki ulinzi kwa kiongozi ikibidi zaidi ya Dar es salaam na Dodoma 1. Kiusalama imezungukwa na ziwa Lina visiwa zaidi ya 60; Ni rahisi kuondoshwa kupitia njia ya Maji 2. Ulinzi : Kuna vikosi vikubwa vinne . Biharamulo,Ngara, Rwamishenye,Kaboya na Kwa Mbali Mwanza . Kiulinzi...
 2. R.B

  Mbuga ya Akagera Rwanda nao wapandikiza Faru watano baada ya Serikali kupandikiza Ukoo wa simba Burigi

  Five critically endangered eastern black rhinos have been flown from Europe to Akagera National Park in Rwanda. The rhinos come from the European Association of Zoos and Aquaria (EAZA) breeding program and will add vitally needed fresh genetics into Rwanda's fledgling population, made up of...
 3. R.B

  Rusumo, Ngara: Watu 8 wanashikkiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuiba mafuta baada ya lori la mafuta kuanguka

  Jana kuna picha wa wananchi wa wilaya Ngara wakichota mafuta baada ya gari la mafuta kuanguka. Mkuu wa mkoa amemuagiza kamanda wa polisi mkoa Kagera kuwakamata wote waliochota mafuta na kuwapeleka kwenye vyombo vya sheria. *** Watu nane Wilayani Ngara wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za wizi...
 4. R.B

  Utaratibu mpya wa mabenki kukwanza mihamala- Sahihi lazima ifanane na ya Kitambulisho cha kura au uraia

  Benki kuu imetoa maelekezo kwa mabenki ; kuwa mtu asitoe wala kutuma pesa kama sahihi yake ya kutoa au kutuma pesa haifanani ya Kitambulisho cha KURA au URAIA. Baadhi wateja wamechindwa kufanya miamala benki za CRDB kwa sheria hiyo. Nilitegemea kwa maagizo hayo. 1.Mabenki yaitishe utiwaji wa...
 5. R.B

  Serikali ongeza , maoni haya ya wadau; mazungumzo mapya ujenzi wa Bagamoyo port

  Nimepata taarifa China wanataka mazungumzo na serikali kuhusu ujenzi wa Bandari Mpya ; Serikali waongeze masuala haya kwenye mazungumzo yao. 1.FEEDER SHIP- zisiruhusiwe ku berth bandari ya Bagamoyo. Hizi meli zipark bandari ya Dar es salaam, Tanga na Mtwara. Feeder ship maana yake- Meli kubwa...
 6. R.B

  Waziri Mkuu abadili gia Angani; afanya mkutano wa hadhara wilayani Biharamulo bila ratiba ya mkoa

  Mkoa na wananchi wa Mkoa Kagera wana Vilio vikubwa . ambavyo wanalia kama samaki Bharini. Moja wapo Mitandao ya Mkoa Kagera imepigwa Stop mwezi mmoja kabla ya ziara ya waziri Mkuu. Ikiwemo facebook, blogs zote zimebaki domant. na sababu kubwa ni matatizo na changa moto za mkoa Kagera. kwa mara...
 7. R.B

  What’s the Difference Between a Certificate Program and a Certification?

  What’s the Difference Between a Certificate Program and a Certification? Certifications covers a broad body of knowledge – often an entire field. Certificates, in contrast, usually cover a focused or specialized body of...
 8. R.B

  KCU-KAGERA yashidwa kulipa wakulima wa kahawa bilioni 4.2 , Sababu kuporomoka kwa bei ya kahawa Mnada wa Moshi

  Uongozi wa chama cha ushirika Mkoa Kagera KCU umewaomba radhi wakulima baada ya kushindwa kuwalipa bei ya shillingi 1000 kwa kilo , Toka wakulima waanze kukusanya miezi 4. Sababu kuu ni kuporomoka kwa bei ya kahawa , na KCU kushindwa kulipa deni la bilioni 4.2 mpaka sasa, hayo yamesemwa na...
 9. R.B

  Kianzishe kikosi cha kuzuia magendo (KMKM-Kagera) kulinda vyama vya ushirika KCU, KDCU-makusanyo ya kahawa ni hafifu

  KIANZISHE KIKOSI CHA KUZUIA MAGENDO (KMKM -KAGERA) KULINDA VYAMA VYA USHIRIKA KCU, KDCU-MAKUSANYO YA KAHAWA NI HAFIFU. Serikali kupitia waziri Mkuu wamekuja na mpango kazi wa kuinua vyama vya ushirika nchini . Lakini kwa Mkoa Kagera imekuwa Tofauti , Msimu wa kuvuna kahawa unayoyoma lakii...
 10. R.B

  Viongozi wa Mkoa Kagera RC , DC Misenyi , Karagwe wanyimwa Mwaliko ujio wa Mseveni

  Kesho Tarehe Tisa , Raisi Mseveni anakuja nchini na Ujumbe Mzito, Lakini cha kushangaza Viongozi wanaopkkana na Nchi ya Uganda . Mkoa Kagera hakuna ata Mmoja aliyealikwa aua kuunganishwa katika ujumbe wa Tanzania utakao ongea na mseveni . Mkoa Kagera unapitia katika shida nyingi ; UJENZI WA...
 11. R.B

  Halmashauri kuu CCM mkoa Kagera wa Muweka kitimoto Dr Tizeba , Sakata na sintofahamu biashara ya Kahawa

  Baada ya ziara ya Naibu waziri wa Kilimo Siku Mbili Mkoa Kagera , Waziri wakilimo pia naye ameenda mkoa kagera ili kuondoa sintofahamu ya Biashara ya zao la kahawa , kutokana na joto la kisiasa , kikao cha halmashauri kuu ya ccm waliomba mwaliko wa kukutana na Waziri wa kilimo ili aweze kuondoa...
 12. R.B

  Waziri Tizeba: Hakuna bei nzuri ya kahawa Uganda

  Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba akikisitiza jambo wakati akizungumza na wadau wa biashara ya Kahawa katika ukumbi wa Happiness Hoteli uliopo katika eneo la Mtukula Wilayani Misenyi, Leo 11 Julai 2018. (Picha zote Na Mathias Canal-WK) Wadau wa biashara ya Kahawa wakifatilia mkutano wa...
 13. R.B

  Wanafunzi Mkoa Kagera washindwa kureport Mashuleni, KCU na KDCU kushindwa kulipa Malipo ya Manunuzi ya Kahawa

  Mwezi wa saba ni mwezi wa shule kufunguliwa nchi nzima ; hali ni tofauti shule za serikali na Binafsi Mkoa Kagera , wanafunzi wengi wameshindwa kureport baada ya Chama cha ushirika KCU na KDCU kushindwa kulipa madeni ya Kahawa na Malipo ya Kahawa mpya. Mkuu wa Mkoa amewaomba wakuu wa shule...
 14. R.B

  Wakati KCU wananunua Kahawa ya Kagera kwa Tsh 1,000, Uganda wanainunua shillingi 3000-2500 kwa Magendo

  Kahawa ya mkoa Kagera , inathamani kubwa katika soko la uganda, ambapo kahawa ununuliwa mkoa kagera , Kahawa iliyoanikwa nzuri na kukomaa uuzwa kwa shilingi 3000 -2500 na kahawa changa 2000; ili hali chama cha ushirika kinakusanya baada ya muda unalipwa shiriki 1000 kwa kilo. Uganda imeshatafuta...
 15. R.B

  Biharamulo irejeshewe brigade JWTZ, Rada ya kisasa ili control Rwanda, Burundi, Uganda, S.Sudan & Congo

  Miaka ya Nyuma - wilaya ya Biharamulo ndo ilikuwa Engine wa Ukombozi Kumngoa Idd Amini- Rada iliyotumika ilisimikwa Ruziba . Inasemekana imezeeka inaweza lete madhara kutokana na Mionzi; wananchi wa kijiji cha Ruziba wameonja madhara ikiwemo kuzaa Albino na watoto wenye ulemavu. Biharamulo...
 16. R.B

  Pugu/Tazara: Trafiki wanavyohujumu mapato ya reli

  TRAFFIKI TAZARA WANAVYOUJUMU MAPATO YA RELI YA TAZARA ( PUGU-TAZARA) MKAKATI WA KUSABABISHA VIFO VYA WATANZANIA Serikali imeanzisha usafiri wa treni ili kusaidia Kupunguza foleni Jijini; Na ili wamelifanya kwa kuanzisha treni za Mjini TAZARA NA TRL. Makampuni aya yametengeneza ratiba ya...
 17. R.B

  TCRA NA WAZIRI-Kingamuzi cha Azam wanatupiga msimu wa mvua poor signal pesa tunaliwa kodi tunakatwa

  Watanzania hasa walaji : Hatuna mtetezi wa walaji , na hakuna chama cha watetezi wa walaji ; Ni miezi hivi vingamuzi avifanyi kazi msimu wa Mvua ; Cha kushangaza serikali inakata Kodi na tatizo wanaliona , Hakuna wa kumkemea mwenzake ; Mamlaka ya TCRA imekaa kimya ; Sijui hizi sheria za...
 18. R.B

  Mgogoro kati ya airtel na selcom wanaoumia ni wananchi , airtel wazima seva zao siku ya 10

  WAZIRI WA MAWASILIANO- MGOGORO KATI YA AIRTEL NA SELCOM WANAOUMIA NI WANANCHI , AIRTEL WAMZIMA SEVER ZAO siku ya 10. Baada ya serikali kuanzisha mfumo wa GePg (Gorvernment electronic Payment Gateway) ; Selcom na Airtel ,walikuwa wanashare transimission; Selcom Machine zilikuwa zinazotumia Line...
Top Bottom