Search results

 1. NI MTAZAMO TU

  Uchaguzi 2020 Wanachama wa CHADEMA zaidi ya 350 wanashikiliwa Magerezani na kwenye vituo vya Polisi nchini Tanzania kwa sababu za Uchaguzi wa 2020

  Mbona kina Mboye, Mnyika na Lissu yanaendelea kula BATA kitaa.au ndio walishakiza mbwa wao wakawahi kwenye TV kuangalia matukio tu.
 2. NI MTAZAMO TU

  Donald Trump ajitangaza mshindi kabla ya matokeo ya mwisho

  Mgombea Urais wa Marekani Donald Trump amesema amenusa viashiria vya mchezo mchafu (udanganyifu) kwenye matokeo ya uchaguzi yanayoendelea kutangazwa na kusema licha ya kwamba matokeo ya mwisho ya jumla hayajatoka yeye tayari ni Mshindi. "Kuna udanganyifu, hii ni aibu kwa Marekani, naenda...
 3. NI MTAZAMO TU

  Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

  Nimekuwa nikijiuliza hapa hivi nikiandamana ni kwaajili ya Mbowe na Genge lake wapate Mihela na mikuku, mm nafaidikaje hapo baada maadamano? Sasa mara pa mguu wangu au mkono he watakuja Mwimbili maana ugomvi na vyombo vya Dolla sio wa mchezo.
 4. NI MTAZAMO TU

  Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

   Mtazamo wa msomaji  China yataka uchaguzi wa Tanzania kutoingiliwa habarileo.co.tz10/22/2020 SERIKALI ya China imesisitiza msimamo wa nchi hiyo na kuyataka mataifa mengine kutoingilia masuala ya ndani ya nchi mbalimbali duniani, ikisema Tanzania ina uwezo mkubwa wa kusimamia...
 5. NI MTAZAMO TU

  Toa mchungaji ingiza Askofu

  Wananchi wameamua pakubwa sana ,wakaona wafanye juu chini waongeze nguvu ya maombi na upako mjengoni maana kusutana na vijembe viitawala sana Bunge lilopita. Watanzania walimtegemea na Mch Msigwa naye akawa bize kujenga chama akasahau kiliombea Mbunge, wananchi wakaona walifanya makosa makubwa...
 6. NI MTAZAMO TU

  Uchaguzi 2020 Mbeya na Kilimanjaro ni ngome za upinzani. Kwanini Magufuli alipiga magoti kuomba kura Mbeya, lakini hakufanya hivyo Kilimanjaro?

  Nyie Espora nyie msitufanyie hivyo wezenu bhna ,Bongo pazuri acheni kutugonganisha.
 7. NI MTAZAMO TU

  Halmashauri iliyotoa lessen kwa Wakala wa Cement Ubungo

  Tumewasoma ngoja tufanyie kazi ila hata jana na leo nimeambiwa ile issue ya unyanyasaji inaendelea lakini mbona vyombo husika haviendi fanyia kazi malalamiko ya wananchi au mpka mtu atolewe koo jaman ,wafike pale kama wateja wajiandae.
 8. NI MTAZAMO TU

  Halmashauri iliyotoa lessen kwa Wakala wa Cement Ubungo

  Kilichowakuta wafanya biashara na wachuuzi wa CEMENT pale DEPOT ya Ubungo, kimenikumbusha enzi za UKOLONI kabisa. Kisa chenyewe kiko hivi: Wajasili ya mali ,wachuuzi na wasakatonge kwa njia ya Uuzaji wa cement wamefika pale DEPOT kuanzia saa 9 alfajiri wakiwa na lengo la kuwahi namba ili wapate...
 9. NI MTAZAMO TU

  Uchaguzi 2020 Baada ya kufuatilia kwa muda huu mfupi, jamaa wamekuja na hizi

  Hii ndo tafsiri ya CHADEMA kuwekeza katika maendeleo ya watu na sio Vitu:- 1. Kuuza ndege zote zilizonunuliwa na Magufuli. 2. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa SGR 3. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Rufiji 4. Kuruhusu Uvuvi haramu. 5. Kuruhusu Uchungaji wa Mifugo kwenye hifadhi. 6...
 10. NI MTAZAMO TU

  Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

  Kwani haujasoma mihimili ya serikali Sky? Kila mhimili upo huru kabisa.hiyo ya kusema ilikuwa mikononi mwa Gaddafi ni maneno ya kitaa tu.
 11. NI MTAZAMO TU

  Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

  Kama walikuwa na ushahidi kuwa serikali ndio ilikuwa ikifanya hayo mbona hawakwenda kwenye mhimili mwingine ambao ni mahakama kushtaki
 12. NI MTAZAMO TU

  Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

  Baada ya kumuua na kutawanyisha serikali ya Gaddaffi tuambie matokeo yake sasa..walichokuwa wanakitaka wameshakipata. Au ndio wanakumbuka Misri sasa.kwamba Bora ya Misri ambako tulikula na Nyama.
 13. NI MTAZAMO TU

  Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

  Sasa unahoji mafuta ya nini wakati ukioa mahari unaenda kudrow account ya serikali na mshahara kwa jobless upo. Walitaka Roho yake tu.
 14. NI MTAZAMO TU

  Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

  Hivi Lusu ni kitu gani hicho?
 15. NI MTAZAMO TU

  Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

  Sisi waafirika bado sana .ipo haja ya kutawaliwa tena ndio akili itarudi kuwa mzungu au Beberu sio mtu ni mbuzi tu.
 16. NI MTAZAMO TU

  Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

  Kwanini useme wa Kiislam?
 17. NI MTAZAMO TU

  Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

  Asante ila kwanini kwa Sadam Hossen wala sio Zimbabwe ila taarifa zimehusu LIBYA? Mpaka hapo haujaona ukweli tu
 18. NI MTAZAMO TU

  Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

  Niambie matibu ya mgonjwa wa Moyo Nchini India alighalimiwa kiasi gani na nchi kipindi kile ?
 19. NI MTAZAMO TU

  Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

  Uliwahi kuishi pale Tripoli mkuu? Mm ni shuhuda wa yale maisha yao mazuri.ambaye aliwahi kusoma au seminar yyte pale atushuhudie. Nikiwa ni mgeni na sio Raia wa ile nchi niliona kabisa kuwa pale ni KANANI nchi ya maziwa na asali ijekuwa Raia halisi wa nchi.
Top Bottom