Search results

 1. Mushobozi

  Waziri Majaliwa apiga marufuku kilimo cha mkataba asema kinawanyonya wakulima

  Ningekuwa mimi ndo nafanya maamuzi ningeweka mazingira rafiki kwa wakulima na wafanyabiashara ili kusiwepo kunyonyana. Mfano kama mkulima amewekeza nguvu zake na ardhi na mfanya biashara akaleta utaalam wake na vitendea kazi kama tractors kwanini hii joint venture isiwe isikubaliwe. Kama...
 2. Mushobozi

  William Ngeleja arejesha fedha za mgao wa Escrow kiasi cha Tsh Milioni 40.4

  faida ya kutoka Toa msaada. heri uwe bairi hata ikilipuka unakuwa kivyako au unajitetea kivyako.
 3. Mushobozi

  Shule yako mna la kujivunia kutoka kwa watia nia?

  PINDA-MUSOMA HIGH SCHOOL a.k.a Musoma Tech a.k.a Musoma Alliance
 4. Mushobozi

  Kwa yanayotokea Burundi, Kuna haja ya kuwa na EAC?

  umeongea kwa hisia kali sana.
 5. Mushobozi

  Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

  huwezi kuthibitisha kesi bila jamhuri kuwa na ushahidi wa daktari. hata kama state attorney angeona ni lazima dr. angeturn hostile kwa nature ya kesi na inavyoattract public interest lazima state attorney asingekuwa na ujanja
 6. Mushobozi

  TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

  pengo mnafiki na mbinafsi ndio maana iliemekana kwa alizuia hata mtangulizi wake Lugambwa kuzikwa DAR. na wengine kutilia shaa namna alivyopata kardinali na namna ambavyoameendelea kuutunza.
 7. Mushobozi

  Ijue Sheria: Mke asiye wa Ndoa na Mtoto wa nje ya Ndoa hawarithi Kisheria

  mke asiye kwenye ndoa iwapo mwaume akifariki mke huyo anaweza kupata sehemu ya jasho lake kama atapata wakili mzuri na akatengeneza vizuri cause of action.
 8. Mushobozi

  Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa

  hivi chadema walishindwa nini kumuweka pembeni na oazi hiyo wakampa mtu ambaye wanamuamini au kumuadhibu kwa mjibu wa kamati za nidham kama ilivyokuwa kwa akina Mkumbo? Uongozi wa nchi unataka busara kuhandle mambo mazito muno. was it necessary to do all that to a single person after all...
 9. Mushobozi

  Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

  sikukukosoa. niliongezea pale ulipoishia. kama mahali palishatajwa na source ya kwanza basi wafaidikaji wa mchango wangu ni wale ambao hawakuona hiyo source. hata hivyo ulijihisi kuwa ninakukosoa. haikuwa hivyo. na zaidi hiyo picha inayotugonganisha vichwa hapa sio sehem yake. wakati tunachangia...
 10. Mushobozi

  Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

  wakati amesema jengo zuri hakuwa ametaja mahali lilipo nikajua anajua lilipo ilabwengine hawajui lilipo. au ilitakiwa aliyeweka picha ndio aulizwa na kujibu mwenyewe! Nini maana ya kukurupuka?right ningekuwa nimekosea lilipo ndio ningekuwa nimekurupuka.
 11. Mushobozi

  Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

  wakati amesema jengo zuri hakuwa ametaja mahali lilipo nikajua anajua lilipo ila wengine hawajui lilipo. au ilitakiwa aliyeweka picha ndio aulizwe na kujibu mwenyewe! Nini maana ya kukurupuka?right ningekuwa nimekosea lilipo ndio ningekuwa nimekurupuka. bado nasimama kusahihishwa
Top Bottom