Search results

 1. HaMachiach

  Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

  Leta kitu mtu ya watu
 2. HaMachiach

  Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika bunge la Tanzania

  Rudi shule kwanza ujue kuandika usituletee usukuma wako hapa
 3. HaMachiach

  Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika bunge la Tanzania

  Gwajima ni smart Sana alafu amezoea bunge Kama amekaa miaka 10 kumbe ndio Mara ya kwanza keep going Gwajima
 4. HaMachiach

  Ndugu zanguni. Najiandaa kufumania kesho au keshokutwa. Nawaza adhabu mbalimbali za kutoa

  Mwanangu kwahiyo kumbe umekuja kujidai huku kuwa utanifumania na shemela? Isee hutaweza kwanza nishamfumua kitambo na game hiyo nitaipiga bila wewe kujua utaambulia manyoya tu
 5. HaMachiach

  Uchaguzi 2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

  Tuna video ya baba yako ya faragha na wewe mlivyo jirekodi tuiachie Nini?
 6. HaMachiach

  Uchaguzi 2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

  Mshikamano wenu na Nani? Acha kuwasemea watu wewe
 7. HaMachiach

  Gwajima Unaikumbuka hii? Sasa nawe Ukikerwa utasemaje?

  Umeishiwa hoja kijana jipange upya
 8. HaMachiach

  Uchaguzi 2020 Kampeni za Gwajima zatingisha Jimbo la Kawe, aenda kupiga kampeni kwa watoto wa chekechea darasani

  Bujibuji kijana wa kimara pia mzee usiye na adabu nakuona unavyo jichetua Gwajima sio size yako
 9. HaMachiach

  Uchaguzi 2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

  Tanzania inawahitaji watu Kama hawa naamini siku moja atakuja kuiongoza nchi na kutufikisha sehemu salama.
 10. HaMachiach

  Uchambuzi: Ugeni wa Gwajima na Makonda kwa Kardinali Pengo katika Ulimwengu wa kiroho unamaanisha tofauti kabisa na malengo yao

  Achana na fake hizi wewe mnatengeneza wenyewe then mnaleta hapa shubamiti kenge wewe
 11. HaMachiach

  Uchambuzi: Ugeni wa Gwajima na Makonda kwa Kardinali Pengo katika Ulimwengu wa kiroho unamaanisha tofauti kabisa na malengo yao

  Umekaa hapo kwa shemeji yako unaandika utumbo hivi unajua mazungumzo yaliyokuwepo hapo? Umekazana tu kuomba msamaha Mara Mambo ya rohoni unajua Mambo ya rohoni yanatambuliwaje? Hebu acha kujipigisha nyeto huku umeshika pilipili
 12. HaMachiach

  Uchambuzi: Ugeni wa Gwajima na Makonda kwa Kardinali Pengo katika Ulimwengu wa kiroho unamaanisha tofauti kabisa na malengo yao

  Kwani Nani alikuambia Gwajima ameenda kuomba msamaha? Mbona mnajitafutiaga captions ambazo hazipo nyie
 13. HaMachiach

  Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe na Halima Mdee wanavyomhujumu Tundu Lissu

  Atulie nini Sasa wakati amesema ukweli
 14. HaMachiach

  Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe na Halima Mdee wanavyomhujumu Tundu Lissu

  Nilitaka kushangaa kwanini hii picha imeingia mtaani kumbe ni hujuma? Alafu nashangaa kwanini mwenyekiti ndugu Freeman Mbowe hahudhulii mikutano ya Mgombea urais wa chama chake? Wana Chadema wenzangu Mgombea wetu anahujumiwa wazi wazi naona bado wanaleta ukanda kwasababu hajatokea njia za...
 15. HaMachiach

  Elimu ya Josephat Gwajima inatia mashaka

  Gwajima ni mtu mwenye elimu pia ana experience plus connection duniani huwezi mlinganisha Gwajima na Mbowe au Msigwa he is man himself na ni msomi acheni cheap politics vijana wa ufipa tafuteni hoja zenye mashiko ambazo zitafanya mkubalike
Top Bottom