Search results

 1. Miiku

  Kuwa na Marafiki wanaoeleweka

  Hello Guys, Katika maisha ya sasa (sijui huko nyuma) kuwa na marafiki wanaoleweka namaanisha wenye uchumi wa kati na wajuu kama wewe ni hohe hahe ni ngumu sana kujoin na watu kama hawa, utaishia kuwa na wa level ya chini ambao nao ukipata changamoto ya kifedha e.a hawawezi kukusaidia zaidi ya...
 2. Miiku

  Line ya airtel haisomi kwenye samsung A30

  Wadau nina simu aina ya Samsung A30 Kwenye data haifanyi kazi ila ya voda ina operate kawaida kwenye internet . Msaaada wadau nifanyeje
 3. Miiku

  Duka gani la simu aina ya Samsung Arusha

  Wadau nahitaji simu aina ya Samsung A20c naomba kujua bei yake kwa hapa Arusha na ni duka lipi linauza hizi simu org
 4. Miiku

  Jambazi Mako wa Kibosho Moshi

  .
 5. Miiku

  Tanzia: Mmiliki wa Kashai Co.Ltd Arusha afariki dunia

  Taarifa Mkurugenzi wa Kashai Group companies ya jijini Arusha. Kashai Security. Kashai Games Loliondo, Mwenye vitalu vya uwindaji Loliondo Bwana Kashai amefariki mapema Leo. Hakika kwake tutarejea, alikuwa mfanyabiashara mpenda haki na mcheshi kwa kila mtu. Innahlilah wainnahhlay rajioun Sent...
 6. Miiku

  Majirani , watu wanaofahamiana nao

  Hivi inakuwaje majirani na watu wanaokufahamu Kufurahia changamoto (shida yako)? Iko hivi kuna jamaa hapa jirani alikuja na gari ya polisi Jana akitokea kituoni na maandamano ya polisi kuja kumpekua Anako ishi na kurudi nae kifupi ni issue ya kampuni anayo Fanya kazi ya security . kuna wizi...
 7. Miiku

  Watu wanao heshima mitandaoni ni hawa?

  Hawapost hovyo wala hawaweki status kwenye mitandao Mara kwa Mara na hawaangalii status za watu na wako online anytime je haya yana ukweli wanajiheshimu/wanadharau? Na watu kama hawa mnawakabilije mtandaoni? N:b hawa ni wa WhatsApp, fb na Instagram #stayhome #coronaSent using Jamii Forums...
 8. Miiku

  Anapost status WhatsApp lakini hajibu text yako

  Duniani kuna mambo unamwandikia mtu jumbe kupitia wtsp hajibu unaona ana update status wtsp ukiona hivyo jua huna Thamani maishani kwake we futa tu namba Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Miiku

  Dontinatha Posh amefiwa na aliekuwa mumewe ambae alikuwa akiitwa Posh

  Ameandika Steven Mengere au Steven Nyerere kwenye Ac ya Instagram! Kuwa Dontinatha Posh Amempoteza aliyekuwa Mumewe Posh. Poleni wafiwa wote. Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Miiku

  Ifahamu asili ya jina Chuo kikuu cha Stephano Moshi

  BABA ASKOFU DR. STEFANO REUBEN MOSHI Ndiye Askofu Mkuu wa Kwanza wa KKKT Tanzania (1963 -1976). Ndiye Mwanzilishi wa Hospitali Ya Rufaa KCMC alikuwa na maono makubwa juu ya KCMC. Chuo Kikuu cha Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCO),hapo awali kilijulikana kwa jina la masoka...
 11. Miiku

  Afrika Kusini maambukizi ya Corona yafikia 700

  Waziri wa Afya nchini Afrika Kusini Dk Zweli Mkhize ametangaza kuwa idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini humo imeongezeka kutoka 554 jana na kufikia 709 leo asubuhi. Dk Mkhize amelieleza Shirika la Habari la Afrika Kusini (SABC) kuwa wanatarajia waathirika wa corona wataendelea...
 12. Miiku

  Haji Manara na mchuchu

  My friend Haji Manara haya mambo mwachie Le Mutuz, mzee wa rangi ya mtume Usituletee tu corona Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Miiku

  Tumechoshwa na wanaume kulaumiwa pindi mambo yanapoharibika

  Kumekuwepo na dhana wanaume ndio wanaotekeleza mimba, watoto na wanawake! Tuhuma ni nyingi kila kona "eti" wanaume wana roho mbaya, watu hawachunguzi nini chanzo mpaka kikapelekea mwanaume kuondoka (kutekeleza) wakati mwingne mwanamke ni mjeuri, mshari, mgubu hasikilizi, hashauriki na kawaida...
 14. Miiku

  Naomba mwenye uzoefu na gari aina ya Starlet anifahamishe ubora wake

  Ndugu wana JF, naomba kutaka kujua nahitaji gari ndogo atleast Starlet nimetenga bajeti ya 3.5 mpaka 4 million. Naomba mwenye uzoefu na hii gari afunguke mfano ulaji wa mafuta, uimara wake, ustahimilivu wa barabara zetu hizi. Na uwezo wake. Sent using Jamii Forums mobile app
 15. Miiku

  TCRA iimulike Airtel wa jicho la tatu

  Natumia line ya airtel ya chuo najiunga na vifurushi vya Un ukiweka 2000 wanakupa 1gb na dakika 225 kwa wiki. Cha ajabu hiyo GB moja haikai angalau 24hrs. Nimejiunga nimeangalia video mbili za dk8 _8 ghafla MB zikaisha! Na hii si Mara moja mb kuisha haraka. Tafadhali nawaombeni TCRA mulikeni...
 16. Miiku

  Kazi ya udalali: Changamoto na namna bora ya kufanya kazi hii

  Hello wanaJF, Ninataka kuanza kazi za udalali wa nyumba za kupanga, kuuza na viwanja hapa Arusha, ila nataka zaidi nijikite kwenye nyumba za kupanga! Nipeni uzoefu, changamoto na namna bora za kufanya kazi hii. Kazi ikiwa nzuri na mpango wa kufungua ofisi physically ya kupatikana. Niwe na...
 17. Miiku

  Vijana kutia nia ya kugombea uongozi wa kisiasa CCM imekuwa changamoto

  Ndugu wanaJF, Hasa vijana, sisi kama vijana nafasi zetu kuomba kugombea uongozi wa kisiasa wa kuwatumikia wananchi. Imekuwa changamoto ndani ya chama, chama cha mapinduzi pindi tukutanapo na wazee Kwa "hoja" kwamba wana title mtaani. Je, kwetu sisi vijana tufanyeje au tufanye shughuli gani ili...
 18. Miiku

  Kila tunapoianza siku basi ni vyema kukiri na kujitakia baraka

  Kumekucha ni siku nyingine tena na tunamshukuru Mungu kwa zawadi hii. Nikwambie tu ipo nguvu kubwa katika maneno yako.Kila tunapoianza siku basi ni vyema kukiri na kujitakia baraka. Embu jikubali kuwa umebarikiwa sana, una afya na nguvu, una neema, una vipaji, kadri unavyokiri baraka ndivyo...
 19. Miiku

  Familia ya Balali yamwangukia Dr Magufuli

  Familia ya Marehemu Daudi Balali imemuomba Rais Magufuli kuisaidia kuokoa mali za Gavana huyo wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ambazo inadai zimechukuliwa na Wajanja wa Mjini. _ Balali aliyeripotowa kufariki Dunia Marekani Mei 16, 2008 alikuwa Gavana wa BOT katika Utawala wa Serikali ya...
 20. Miiku

  Naomba kujua namna ya kuhifadhi namba za simu na documents nyingine kwenye email

  Ndugu wana Jf, nimefungua account ya email kwenye simu yangu. Naomba kuelekezwa namna ya kutunza namba za simu na documents mbalimbali kupitia email ili ikitokea simu nimebadilisha pindi nikinunua nyingine, majina ya namba niyapate yote kadhalika picha. Anayejua atujuze.
Top Bottom