Search results

 1. marxlups

  Rais Hussein Mwinyi afanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa mitano

  Ningekuwa Mwinyi ningeweka mikoa miwili tu Unguja na Pemba Zanzibar - Wikipedia en.wikipedia.org › wiki › Zanzibar Tafsiri ukurasa huu Zanzibar is a semi-autonomous region of Tanzania. It is composed of the Zanzibar Archipelago ... 26 April 1964. Area. • Total. 2,462 km2 (951 sq mi)...
 2. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Umbali is not a serious issue, wanahitajika kuweka kituo kimoja cha kushusha na kupakia abiria katikati ya mji
 3. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Ueongea point nzuri sana, kama mamlaka husika zingekuwa zinawashirikisha wananchi kwa ujumla wao kutoa maoni kabla ya kutekeleza miradi inayowagusa wao moja kwa moja ingesaidia sana kuepuka maamuzi ya hovyo wanayofanya viongozi, maamuzi hayo ya hovyo yanafanywa kwakuwa wao wenyewe hawatumii...
 4. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Ulitangaza kuwa unajenga stand huko porini? Uliogopa nini kutangaza kabla hujaanza ujenzi?
 5. marxlups

  Hii ndo Zaburi ya 35 aliyotwambia tusome Halima Mdee

  Kumbe taarabu zilikuwepo tangu kale
 6. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Haitakuwa haki, fikiria wakizuia magari binafsi yasifike katikati ya mji yote yaegeshwe masika na fire, utajisikiaje kutembea kwa miguu mpaka ufike katikati ya mji
 7. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Au anaishi Lukobe anafanya kazi Kilakala, maana yake ashushwe Masika kisha atembee kwa miguu hadi mjini kati mwendo wa dakika 10++
 8. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Wangetoa miongozo kuwa daladala zipite njia gani kuelekea kwenye hiyo stand, ilivyo kwa sasa nyingi ya daladala za Tungi na Kihonda zinashushia abiria Masika ambako ni mbali katika kupata connection na route zingine kama Bigwa nk
 9. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Ni kweli lakini isiwe hukumu kwa wananchi wengine kwasababu tu madereva wa daladala walikuwa wankiuka sheria, iafutwe namna ya kuwashusha abiria katikati ya mji kabla daladala hazijaendelea na safari kwenda stand mpya.
 10. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Niliandika hivi "Ni jambo jema kuboresha huduma kwa jamii kutokana na kukua kwa mji, lakini viongozi wa jambo husika hawakaushirikisha mawazo ya wananchi katika kufikia maamuzi ya jambo walilofanya." Hapajawepo utaratibu wa kuwarahisishia wananchi kushuka katikati ya mji hasa wale watokao...
 11. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Msaada katika kuionyesha kwenye ramani tafadhali Ahyan
 12. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Upo sahihi, lakini kinacholalamikiwa ni utaratibu wa kuwafikisha abiria katikati ya mji ambako ndiko mahitaji muhimu yalipo, kwa mfano mtu anayetoka Msamvu kwenda Polisi, Hospital, anashushiwa Masika na ili apate bus la kwenda Msamvu ni lazima aende huko porini umbali sawa na Msamvu. Nashauri...
 13. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Imehamishiwa kwenye eneo la shamba la miti la SUA Barabara ya kwenda Iringa
 14. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Upo sahihi kabisa, kama wananchi wangekuwa wanashirikishwa katika maamuzi ingesaidia sana kupata mawazo mbadala lakini ni watu wachache hujifungia ndani na kutoa maamuzi, mbaya zaidi wanaotoa maamuzi hawatumii usafiri wa daladala, ni watu wanatumia usafiri wa serikali kwahiyo ni ngumu kuonja...
 15. marxlups

  Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

  Ndugu wanajamvi, Nimefika mjini Morogoro kwenye hekaheka zangu nikashangazwa na kitendo cha kuhamishia stand ya daladala kutoka katikati ya mji na kuipeleka karibu na Chuo Kikuu cha Sokoine umbali wa kama Km 2+. Ni jambo jema kuboresha huduma kwa jamii kutokana na kukua kwa mji, lakini...
 16. marxlups

  Je, ni Mambo gani yalikuwa ya kawaida sana miaka ya 1980s - 1990s ambayo Vijana wa sasa hawawezi kuyajua?

  Reverse call - Ilikuwa ni huduma ya Posta na Simu ambapo unaomba upige simu na gharama za upigaji wa simu zinalipwa na mopeaji wa simu husika TMO - Telegraphic Money Order - Hii ilikuwa ni njia ya kutuma pesa kupitia shirika la Posta na Simu, TMO ikija nakwenda kupanga foleni Posta na Simu ili...
 17. marxlups

  TANROADS na Manispaa ya Ubungo shughulikieni suala la foleni Mbezi

  Hilo eneo ilifaa lujengwe njia ya chini kwa kutumia hayo mabonde yaliyopo iwapo flyover itakuwa gharama
Top Bottom