Search results

 1. chapaa

  Wakali wa jokes mko wapi?

  jukwaa hili kwa sasa limekimbiwa na wale wakali wa kutoa thread za kuondoa stress,tunawaombeni mrudi bana watu tuongeze cku za kuishi maana haya maisha full of stress. nawasilisha
 2. chapaa

  Habari zenu ndugu zangu

  Baada ya kuwa kimya mda mrefu na pilika za maisha japo tulikuwa pamoja kwa namna moja ama nyingine naomba niwape pole kwa ndugu zangu wote walio kutana na wakati mgumu mpaka kufikia kukata tamaa na kwa wale walio fanikisha matarajio yao pia nawapa hongera.NDUGU ZANGU NIMERUDI NA TUKO PAMOJA.
 3. chapaa

  Dancing floor,stage,back stage.

  Waungwana kuna kitu hapa kinanitatiza inawezekana uelewa wangu ukawa mdogo,hivyo bac ningeomba wana jamii tukaelimishana kidogo kati ya vitu nilivyo taja hapo juu na ni wakati gani vinatumika?thankx
 4. chapaa

  Hiphop summit iko wapi?

  Kwa kumbukumbu zangu nikiwa kama mwana harakati mshkaji ali toa bonge la anounce kwamba kutakuwa kukifanyika na bonge la bash kila mwaka likienda kwa jina la HIPHOP SUMMIT na muongelea mr.II aka sugu kwa maana naona kimya 2years tangia ilivyofanyika au ndo tuseme mshikaji yuko bize ama ilikuwa...
 5. chapaa

  Man united hongereni.

  Japo hako kakombe ka league mmechukua na penalty ya kupewa mtakiona cha moto moscow,THE BLUES lazima wawe mabingwa wa champions league.
 6. chapaa

  Hii maana yake nini?

  Jamaa kamuaga my wife wake anasafiri kibiashara(mnunuzi wa mazao) na angerudi baada yasiku 3,huku nyuma wapambe wakampasha mkewe kwamba jamaa kaone kana gesti na kimanzi wakijivinjari mke kusikia hivyo akapanic pasipo kufanya uchunguzi yakinifu akaamua kuwatelekeza wanae 2 na kusema kwamba "dawa...
Top Bottom