Search results

 1. NIMPENDENANI

  Nimeolewa ila huyu mkaka mbaya sana

  Unavyooona wewe sawa basi na sie tunaona sawa,manake si kwakutuvuruga huko.
 2. NIMPENDENANI

  Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?

  Bwana wewe usisahau hao wanawake ni Mama zako,ni Dada zako,ni mkeo, ni mwanao sasa ebu kwanza chuja au ongea lililo kutokea ili tukusaidie japo mawazo.
 3. NIMPENDENANI

  Napenda wanaume Umri mdogo lakini siwapati. Nifanyaje?

  Lol una tafuta stress isokua ya lazima, ivi huyo kijana mdogo hasa mnaongea nini cha mana? mwenyezi mungu asinijaalie hata kwenye ndoto wasinijie hawa waramba midomo, tulia tuu na mzee mwenzio lol mbona 40yrs sio uzee hapo ndio unaweza kujifaragua na age mate wako.
 4. NIMPENDENANI

  Msaada: Nimuambie mke wangu kama nina mtoto nje ya ndoa?

  Ivi wakati ule una zini hukujisikia vibaya wakati umesema hamkua na migogoro kama unavyosema,au uliamua tuu kutaka kuonja,pole ila result yake sio nzuri sana muombe sana mwenyezi mungu ampe mkeo subra na uwezo wa kuhimili kwani sio rahisi kujua hilo hasa mtu akiwa ana kuamini anakuheshimu.
 5. NIMPENDENANI

  Home boy kampa mimba shemeji yake

  Huyo mwanamke nae mtu analishwa na mumeo amewekwa na mumeo wakazi gani huyo kujishusha hadhi yakoo bure.
 6. NIMPENDENANI

  Ma bank teller

  Mbona unataka kumvunjia rizki mtoto wa mwenzio? hiyo ni kazi kama kazi nyengine,tabia ya mtu na malezi ndio ulitakiwa ujue zaidi kazi yake haiusiani na tabia yake.
 7. NIMPENDENANI

  Hapa nimebambikizwa au nimeibiwa mtoto?

  Mkuu nikuulize tafadhali, baada ya yoooote hayo bado unadhani una mtoto hapo? au kwani huna uwezo wakupata wengine? Mwanake asiku stress kwa mtoto kama alitaka mbegu umeshampa umejitahidi kujisogeza amegoma kwa sababu anazozijua yeye,kwa ufupi umejitahidi songe mbele mkuu yeye ata ji sort.
 8. NIMPENDENANI

  Msaada Dawa ya kuzuia kujampa

  Apana ikizidi tena ni mno au kama yeye ndio muhusika wa sababu ya hayo mashuzi sawa.
 9. NIMPENDENANI

  Msaada Dawa ya kuzuia kujampa

  Mkuu SAMAHANI kwanza simaanish kwa ubaya, kuna mchezo wowo mbaya unamfanyia au huko alikutoka au amejifungua hivi karibuni?
 10. NIMPENDENANI

  Msaada Dawa ya kuzuia kujampa

  Mmmh si kwa mishuzi hiyo mpaka mwenzio kasema ujue yameshamchosha.lol
 11. NIMPENDENANI

  Mapenzi hayajawahi kuniacha salama moyo wangu umejaa mapenzi ila nimeshaathirika kisaikolojia naogopa kupenda tena

  Pole sana, sijui amekutenda kiasi gani ila ukisema bakisha usimalize,huenda umri wako bado mdogo au unapokua kwnye mapenzi una jimaliza sana ila huu chezo hautaki hasira wala hautaki dharau, umeubwa na moyo sio chuma kama uhisi itafikia time utahitaji kupendwa na atakuja mwengine kukuonyesha...
 12. NIMPENDENANI

  WANANDOA ONLY

  Sawa mkuu nimekusikia na ntajitahidi.
 13. NIMPENDENANI

  Natafuta mpenzi

  Apana.
 14. NIMPENDENANI

  Natafuta mpenzi

  Inshallah mwenyezi mungu atakupa mwenye Kheir na wewe kama huchagui Dini.
 15. NIMPENDENANI

  Kuna siri gani kuhusu hawa wanawake wanaojifukiza udi?

  Nipo mkuu siunajua majukumu mengi.
Top Bottom