Search results

 1. Countrywide

  Dharau za Ndugai kwa Watanzania zimepitiliza

  Mtoa mada hivi mawazo yako wewe unatakaje yawe ya watanzania?
 2. Countrywide

  Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

  Kijana wa form 5 dodoma awe na demu chuo kikuu tena Garissa? Hapana haiwezekani
 3. Countrywide

  Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

  Natamani nisiendelee kukujibu, ila ngoja Huyu dogo.inavyoonekana alijiunga na alshabaab muda mrefu tu, kwa kuwa hata alipokuwa shule huko dodoma wamasema alikuwa na pesa nyingi. Inayoonekana hiyo haikuwa mara yake ya kwanza kufika kenya
 4. Countrywide

  Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

  We jamaa bana hivi upo serious? Huyu alikuwa mwanafunzi wa kidato cha tano bihawana secondary huko dodoma. Na aliondoka hapo shuleni bila taarifa, ndio hadi anakuja kukutwa kwenye hilo tukio huko kenya. Wazazi wake walijua yupo shule.
 5. Countrywide

  Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

  Kesi yake ilikuwa ngumu sana kwake, alikuwa anasoma bihawana secondary dodoma, ila siku yanatokea mauaji chuo cha garissa kenya nae alikutwa humo chuoni kajificha. Sasa hapo tu hata ungekuwa wewe usingeweza kumuachia, maana maswali yangekuwa alifikaje kenya?? Alifikaje hiko chuo cha garissa?
 6. Countrywide

  Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

  Matusi yote yale aliyotukanwa na bavicha, simshauri
 7. Countrywide

  Plot4Sale Viwanja vyenye hati kinauzwa mbezi mwisho

  Ushauri: msiwe mnapima viwanja square. Hapo ilibidi iwe 25x16
 8. Countrywide

  Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

  Mihemko bado mnaendelea nayo. Bahati mbaya kabisa hamumjui ndio maana nikauliza kwanza, huyo hujui baada ya uchaguzi alikuwa na tuhuma za kushirikiana na ccm? Waulizeni viongozi wa chadema Tanga
 9. Countrywide

  Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

  Huyo dada aliyechuana na mwanafa hivi ana nini au uzuri wake upo wapi?
 10. Countrywide

  Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

  Anaweza akawa anafaa sana ila yule sio wa mitandaoni, na ndio maana huoni mtu akimtaja na hata wewe jina tu umemsahau. Chadema inaendeshwa kwa matukio na mihemko. Anaitwa Dr.Maryrose
 11. Countrywide

  CHADEMA vunjeni mfumo wenu wote wa Uongozi muanze upya "Mapenzi na Kazi ni Msiba"

  Light?? Speek?? Hii imetosha kuonyesha level ya elimu yako
 12. Countrywide

  Kura ya maoni ACT - Wazalendo kuamua Serikali ya Umoja

  Maamuzi yashafanyika na hapo walikuwa tu wanatafuta namna ya kuhalalisha.
 13. Countrywide

  Kura ya maoni ACT - Wazalendo kuamua Serikali ya Umoja

  Pole sana kamanda, naona jinsi unavyopata maumivu. Hawa kina ACT ndio walisema hawatakubali, leo hii wanajadili jambo ambalo walisema hawatakubali. Poleni sana washabiki wa siasa
 14. Countrywide

  CHADEMA huu Uchaguzi wa 2020 tukubali umepita

  2025 twende na amsterdam
 15. Countrywide

  CHADEMA huu Uchaguzi wa 2020 tukubali umepita

  Habari wanaJF, Poleni kwa majukumu Nimeona mijadala kuhusu uchaguzi wa mwaka huu 2020 ni kama inaelekea ukingoni na ukweli usio na shaka ni kuwa tumeshindwa Hadi sasa hatujui nini cha kufanya hadi sasa kwa maana yote tuliyopanga hakuna lililofanikiwa. Ninaomba viongozi wa chama wajikite...
 16. Countrywide

  Halima Mdee bado una nafasi ya kutubu, Heshima na tamaa havikai pamoja

  Ndio wanasiasa hao, katafute pia kauli,a mbowe na lissu kabla na baada ya kumpokea lowassa
 17. Countrywide

  Naomba kujibiwa maswali haya kuhusiana na CHADEMA

  Hivi unadhani uhusiano wake na bulaya ni tetesi?
 18. Countrywide

  Naomba kujibiwa maswali haya kuhusiana na CHADEMA

  Utaumia kichwa tu, viti maalum walio wengi ni wake wa viongozi chadema Anatropia - J Mrema Esther Matiko - Salum Mwalimu Hawa Bananga - Ali Bananga Na wengine ni tetesi tu mfano salome makamba
Top Bottom