Search results

 1. ISLETS

  Msaada: Namna ya kufika mji mpya wa serikali (Mtumba) jijini Dodoma

  Heshima kwenu. Kwa wenyeji wa Dodoma, mgeni nipo hapa. Naomba kufahamiswa namna ya kufika mji mpya wa serikali - Mtumba kutokea maeneo ya Sabasaba hapa, kujua umbali na aina ya usafiri ulio rahisi kufika. Pia nauliza kama Wizara zote zimehamia hayo maeneo au bado kuna Wizara zinafanyia kazi...
 2. ISLETS

  Kidato cha nne kutumia kikokotoo (calculator) kwenye mtihani wao wa mwisho ina mpango gani kwa taifa la baadae?

  Viva JF Nikiwa sijui kinachoendelea kwenye kwenye mitihani ya kidato cha nne iliyoanza hii wiki, nikawa nawasiliana na dogo mmoja finalist ananiambia wametangaziwa kuruhusiwa kuingia kwenye chumba cha mtihani na calculator hivyo wamefurahi sana. Nilijikuta nashangaa na kuchukia ghafla, kwamba...
 3. ISLETS

  Suala la kiongozi wa dini kuwa kiongozi wa familia yako ni upumbavu

  Igwee.. Kwanza samahani wa wanandoa(hasa wanaume) ulio kwenye huu upumbavu wa kutokutamba mipaka ya ndoa. Imetokea zaidi ya mara moja nimeona wanaume(wanaojiita baba wa familia) wanashindwa kutoa maamuzi ya mwisho juu ya mambo ya kifamilia kwa madai apaka akamuulize baba mchungaji mara mzee wa...
 4. ISLETS

  FORM 6 LEAVERS, PITA HAPA UJIFUNZE KUHUSU KU-APPLY CHUO KULIKO KUSUMBUA SUMBUA WATU.

  Kwanza niwapongeze wote mliofaulu, na nawaombea mfike mbali na elimu yenu. Pia si kwamba hatupendi usumbufu wenu, ni haki yenu kuuliza, ila sasa kila mtu akiuliza habari za uwezekano wa kwenda chuo najua kabisa hata wakutoa majibu watachoka kuwasaidia. Vitu vidogo kama hivi hakuna ulazima wa...
 5. ISLETS

  USHAURI WANGU KWA WIZARA YA ELIMU ILI TUWE NA WAHITIMU MAHIRI.

  Kutokana na janga la vijana wengi kumaliza vyuo na kukaa nyumbani bila ya ajira wala uwezo wa kujiajiri, tatizo kila mdau anasema tatizo ni mfumo wetu wa elimu. Mimi pia nakubaliana nao. Sasa basi, nimejaribu kuangalia kwani nchi nyingine wanafanyaje, kufupi kila nchi kuna tatizo la ajira...
 6. ISLETS

  Ninaomba ufafanuzi kidogo juu ya Vitambulisho kwa wajasiriamali, maana hali ni tete.

  Naimani weekend imeanza vyema kwenu. Najua Jf hakushindikani kitu, wapo watu wanaofahamu mambo tofauti fofauti na wanaweza kuwa msaada kwa wengine. Mwanzo niliipongeza sana serikali(kimoyomoyo) kwa kuleta hivi vitambulisho vya wajasiriamali wadogo nikaona itawaondolea kero na adha ya kodi TRA...
 7. ISLETS

  Vijana wa kiume punguzeni shobo kwa mabinti, mnazingua

  Eid Mubarak... Hii iwafikie vijana wote hasa ambao bado hawako stable kimaisha ila wanaendekeza shobo kwa watoto wa kike, huu ni ujinga. Unakuta dogo hata hela ya vocha hujitafutii wewe ila 24/7 ni shobo na mademu mitandaoni. Mwingine ndio anajitegemea ila kula kwake tu kwa mawazo, ila ndio...
 8. ISLETS

  Baadhi ya matumizi yasiyo rasmi wa mifuko ya plastiki yanayohitaji mbadala haraka iwezekanavyo

  Heshima kwa wazee wa jukwaa. Tukiwa kunaikaribia tarehe 1 June ambapo ndio sheria itaanza kufuatwa kwa wote watakaokutwa na hii bangi mpya kama sio madawa ya kulevya, kuna baadhi ya mambo tuyatafutie mbadala mapema ili kuendana na wakati. Ukiachilia mbali kubebea bidhaa, matumizi ya ziada...
 9. ISLETS

  HAPPY MOTHER'S DAY KWA KINA MAMA WOTE JF.

  Maalumu kwenu kina mama, haijalishi ni single mom au uko kwenye ndoa, haijalishi mtoto uliyenaye ni mzima, anaumwa au alliishatangulia, haijalishi mtoto/watoto umewapata kwa njia gani, wewe si wa kawaida, ile tu kutunza mimba mpaka kuja kujifungua iwe kawaida au kwa operation, ile kunyonyesha...
 10. ISLETS

  Wauzaji wa mbegu za maboga/tetele Dar

  Hello brothers and sisters, Naomba nijuzwa ni wapi naweza pata mbegu za maboga/tetele kwa Dar, au unga wake. Na bei kwa kilo ni kiasi gani kwa anayefahamu.
 11. ISLETS

  Line za uwakala, zinauzwa (Hii part 2).

  Nilipata mteja juzi juzi tu humu wa line zangu, ndio maana nimerudi na nyingine tena. Hizi hazijasajiliwa kwa jina langu. Zipo Njombe. Aliyezisajili yuko nje ya nchi (bado nina mawasiliano naye). Ndiye kaniruhusu kuziuza. Zipi line 4 (Mpesa, tigopesa, airtel money na halopesa). Kila moja offer...
 12. ISLETS

  Nauza line za uwakala/till za voda, airtel, tigo & halotel.

  Voda ni zile za double accounts (ya akiba na ya kazi). Siuzi moja moja, Nauza zote 4 kwa jumla bei 670000 (laki 6 na elfu sabini). Pia utapata offer ya simu 2 ndogo(hazina charger) za button bure kwa ajili ya kufanyia hiyo biashara, kila simu unaweka line mbili. Line zipo Mbeya. Zitafikq mkoa...
 13. ISLETS

  Wafanyabiashara jueni hii kero na kuwa huwa mnafukuza wateja.

  Salamu kwa wafanyabishara wote, aluta continua..... Kuna ishu moja binafsi imekuwa kero sana kwangu naona niiseme tu. Maeneo mengi ya biashara au ofisi za kazi mfano saluni, hotel/migahawa, dukani, nk kuna tatizo kubwa la kujazana watu wasio wateja, unakuta ni washkaji zako tu wamekaa kihasara...
 14. ISLETS

  MSAADA: TATIZO LA FLASH (external storage) KUJI'UNMOUNT KWENYE SIMU.

  Heshima yenu wakuu. Ni muda sasa nimekuwa natumia flash drive kama external storage kwenye simu(android) kwa kutumia OTG. Tatini ni kwamba huwa inatokea inaji'unmount yenyewe mara kwa mara mwanzo nilidhani huwa inatikisika ila baadaye nikagundua kuwa nikiweka Airplane mode on hilo tatizo...
 15. ISLETS

  MSAADA: TATIZO LA FLASH (external storage) KUJI'UNMOUNT KWENYE SIMU.

  Heshima yenu wakuu. Ni muda sasa nimekuwa natumia flash drive kama external storage kwenye simu(android) kwa kutumia OTG. Tatini ni kwamba huwa inatokea inaji'unmount yenyewe mara kwa mara mwanzo nilidhani huwa inatikisika ila baadaye nikagundua kuwa nikiweka Airplane mode on hilo tatizo...
 16. ISLETS

  MSAADA: TATIZO LA FLASH (external storage) KUJI'UNMOUNT KWENYE SIMU.

  Heshima yenu wakuu. Ni muda sasa nimekuwa natumia flash drive kama external storage kwenye simu(android) kwa kutumia OTG. Tatini ni kwamba huwa inatokea inaji'unmount yenyewe mara kwa mara mwanzo nilidhani huwa inatikisika ila baadaye nikagundua kuwa nikiweka Airplane mode on hilo tatizo...
 17. ISLETS

  MSAADA: TATIZO LA FLASH (external storage) KUJI'UNMOUNT KWENYE SIMU.

  Heshima yenu wakuu. Ni muda sasa nimekuwa natumia flash drive kama external storage kwenye simu(android) kwa kutumia OTG. Tatini ni kwamba huwa inatokea inaji'unmount yenyewe mara kwa mara mwanzo nilidhani huwa inatikisika ila baadaye nikagundua kuwa nikiweka Airplane mode on hilo tatizo...
 18. ISLETS

  Naomba kujua ada ya kusjili NGO na kama kuna malipo mengine

  Nadhani niko jukwaa husika, wakuu salamu kwenu. Naomba kufahamishwa ada ya kusajili shirika la hisani lisilo la kiserikali (NGO) kwa ngazi ya wilaya, mkoa, na taifa. Pia naomba kujua huyo ada kama ni kulipia mara moja tu, au ni malipo yanayojirudia labda kila mwaka. Asanteni.
 19. ISLETS

  Ni mamlaka ipi inahusika na majina ya vimbunga na huwa yana maana gani?

  Hakuna salamu. Mi nauliza tu mara nyingi ninaposikia habari za kutokea majanga ya vimbunga(upepo mkali), huwa yanatajwa kwa majina, mfano: kimbunga Nina(1975 china), kimbunga Katrina(2005 US), kimbunga Ike(2008 US), kimbunga Irene(2011 US), kimbunga Sandy(2012), kimbunga Haiyan (ufilipino)...
 20. ISLETS

  KWA WANAOTAFUTA KAZI HUMU.

  Salamu kwenu. Kwa vijana watafuta kazi wote, naomba niwakumbushe tu vitu vichache muhimu ambavyo naona threads nyingi havizingatiwi. 1. Personal details(taarifa binafsi), sema jina hata initial tu mfano "Melo", jinsia, umri ambapo si lazika uweke umri kamili kama hautaki kila mtu ajue mfano kama...
Top Bottom