Search results

 1. Isaack Kyando

  Jinsi ya kupakua (kudownload) movies subtitles kwenye simu

  Me natumia media player iliokuja na simu ya samsung. Movie nilioplay inaitwa Polar 2019 kama inavyo onekana.
 2. Isaack Kyando

  Jinsi ya kupakua (kudownload) movies subtitles kwenye simu

  Utafanya hivyo hivyo utaweka movie na subtitle kwenye folder moja kama kwenye flash disk au external hard disk... kisha utaiplay hio movie kwenye TV yako. TV nyingi huwa zina button ya subtitle kwenye remote ya tv... utaibonyeza hio button kisha browse location yenye subtitle na kui click hio...
 3. Isaack Kyando

  Jinsi ya kupakua (kudownload) movies subtitles kwenye simu

  Baada ya ku extract hilo file ikopi hilo subtitle kaiweke sehemu moja na movie ilipo. Then utaiplay hio video ya movie kupitia media player yako utaenda sehemu ya option au subtitle utaiunganisha hapo hapo kwenye media player. NB: Utaiunganisha subtitle na media player ya movie kwa kuingia...
 4. Isaack Kyando

  Ushauri wa Laptop nzuri kwa ajili ya graphics design

  Brand Name au Model sio issue sana... bali unatakiwa uzingatie Graphics Card ya Pc, RAM na aina ya Processor. Nakushauri fanya window shopping waambie wauzaji wa laptop watakukidhi hitaji lako. Mcheki jamaa instagram anaitwa computerbeipoa yupo Karia Koo karibu na Mnazi Mmoja...
 5. Isaack Kyando

  Jinsi ya kupakua (kudownload) movies subtitles kwenye simu

  Ingia google andika mfano Jina la movie Engish Subtitle (Extraction 2020 English Subtitle) then utaingia website zitakazo kuja na kudownload hilo file. Au tumia hii link www.tvsubtitles.net
 6. Isaack Kyando

  Naombeni mnieleweshe

  Pongezi kwa mtoa mada na kila mshiriki... CHEERS [emoji482]
 7. Isaack Kyando

  Nazidi kuthibitisha mwanamke bikra ndiye Mke bora

  Napenda kujifunza [emoji4]
 8. Isaack Kyando

  Msaidizi wa ofisi anahitajika

  Na ndomana watu walikuwa wanaibiwa brightermonday hivi hivi... ukiwaza kupata mshahara kwenye kuomba kazi ni rahisi kuibiwa ikiwa hautazingatia vitu vya muhumu kama contact na address ya kampuni husika koz at the end utaambiwa tuma kiasi fulani cha pesa na ww utatuma si kwa kuwa unashida na kazi.
 9. Isaack Kyando

  Msaidizi wa ofisi anahitajika

  Mbona email ina jina la mtu na sio kampuni? (tryphonefrank@gmail.com)
 10. Isaack Kyando

  Je Dawa ya Meno (Toothpaste) inaweza kutumika kama Thermal paste ya Pc's Processor?

  Wadau naombeni uhakika kwasababu kuna post nilisoma net wamesema "Toothpaste is also an excellent substitute for thermal paste" Kwa anayejua naomba anithibitishie.
 11. Isaack Kyando

  Msaada wa kuzuia kupigiwa simu kutoka namba yoyote

  Hio namba katikati naweka ya namba yangu sio ndio?
 12. Isaack Kyando

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Ww haujui sababu ya Peter kurudi sio kama kipa hatuna bali kuongeza idadi ya makipa kwa sababu ya kiafya inayoweza athiriwa na COVID 19
 13. Isaack Kyando

  Consuption ya 100 watts ina hitaji bettri ya volt ngapi ili itumike zaidi ya masaa 72

  I like that [emoji109] you are the best bro thank you alot.
 14. Isaack Kyando

  Consuption ya 100 watts ina hitaji bettri ya volt ngapi ili itumike zaidi ya masaa 72

  Nahitaji kujua betri lenye ukubwa gani litaweza kukaa na chaji masaa 72... ikiwa matumizi ya kifaa changu kina watt 100.
 15. Isaack Kyando

  Consuption ya 100 watts ina hitaji bettri ya volt ngapi ili itumike zaidi ya masaa 72

  Wadau habari zenu naomba msaada kwa anae jua umeme wa bettri lolote la maji au kavu. Nahitaji kujua volt ngap inahitajika ili bettri liweze kukaa na chaji hata siku 3 ikiwa jumla ya matumizi ya vyombo vyangu ni watts 100.
 16. Isaack Kyando

  Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

  Sasa si ungemuuliza huyo dada akutajie! Lakini anyway jaribu kufika TAESA nenda na vyeti na kopi zako watakusajili then utasubiria call au text siku ikifika ya training then utafanya interview.
Top Bottom