Search results

 1. frema120

  Nanunua Hela na Dollar mbovu

  Nikiwa kariakoo, nikajikuta nikipitiwa na kipaza sauti kikiimba wimbo huo, nikashituka sanaaaa. Kwani wanapeleka wapi hizo pesa, na inakuwaje wanunue pesa kwa pesa? sheria zinaruhusu kuchezewa hela kwa njia hii.
 2. frema120

  Happy Birthday Mzee Ally Hassan Mwinyi, Atimiza miaka 90

  Kwa pamoja tumpongeze na kumtakia heri na maisha marefu, mzee wetu na rais mstaafu wa Tz kwa kufikisha miaka 90 leo. Uwezi amini ukimuona, bado anadai sanaaa. Happy birthday Mzee mwinyi.
 3. frema120

  Hii kali: Foleni toka Tazara mpaka External Mabibo

  Nimepita toka Tazara mpaka nimemaliza hapa Mabibo hostel ni foleni ya maana, poleni wote mlio kwenye foleni hiyo. Askari saidieni tatizo hili, kama mataa ya Tabata hakuna maelewano.
 4. frema120

  Kesho madereva watagoma tena nchi nzima

  Kesho kutakuwa na mgomo wa madereva wote, pikipiki to magari makubwa,umoja umoja wa madereva umeeleza makubaliano walio anzimia na serikari Ubungo siku ya mgomo wa kwanza yamepuuzwa. Basi the daladala user's ni busara kuamka mapema, kwani mgomo huanza mara nyingi saa 12. Pia serikari ni busara...
 5. frema120

  Taasisi ya IPSOS na utafiti feki juu ya Cloud Fm

  IPSOS sijui ni Taasisi ya nini Tanzania, ilifanya shindano la kutafuta watangazaji bora katika segments mbalimbali na vipindi vywa radio bora katika radio mbalimbali pia. Sasa cha kunishangaza vipindi vyote cloud fm ni namba moja!!???, watangazaji wote wa radio ni namba moja!!??. (Source...
 6. frema120

  Gari la ACT Wazalendo, laua mtoto mdogo Tabora

  Katika hali ya kushangaza na kushitua gari la ACT wazalendo lilikuwa kasi na kugonga mama, na kusababisa kifo cha mtoto Tabora. RIP Mtoto wetu.
 7. frema120

  Utafiti mdogo: Foleni ya TAZARA na Matrafiki wetu

  Habari wakuu! Niliulizwa hivi " Hiv trafic wengi hususani waongoza magari wana akili au utashi?" sikupata jibu. UTAFITI MDOGO. 1. Kutokea Buguruni. -Njia hii inashida sana, unaweza kukaa ata masaa mawili ukiwa ujavuka mataa, lengo kuu ni kutengeneza hasira kwa madereva na kutanua...
 8. frema120

  Mlinzi mpya wa Dr. Slaa

  Habar wadau? Baada ya Kagenzi kufanya yake kwa mgombea atakayependekezwa kupitia UKAWA, sasa amepatiwa mlinzi mpya kijana Allan aliyelelewa na chama kupitia Jimbo la Ubungo kwa muda sana. Tumpe Moyo, tushirikiane naye na kusaidiana naye vizuri kama chama na wapenda haki. Mwisho Tusiache...
 9. frema120

  Mshauri wa Kamanda Kova masuala ya kipolisi

  Wakuu salama? Naomba kumjua mshauri wa kamanda huyu kikazi, kwasababu jana katika newz za ITV nilimuona akitumia nguvu nyingi sanaa kumtaka MD wa UDA Robert Kisena kwenda mara moja police kwa jaziba kali. Nikajiuliza maswali mengi sana 1. Kuna ulazima gani wa kutumia press kumuita...
 10. frema120

  Yaliovuma wiki hii na kusababisha kusahaulika kwa mambo ya msingi Kitaifa

  Habari wadau? Katika wiki hii yametokea mengi sana kama kuzuia maandamano ya CUF , sekeseke la Amboni Tanga ndio habari ya mjini sasa, Mh. Wassira kuvaa koti vibaya n.k ambayo kimsingi yamefunika issue kubwa za kitaifa, kama mahakama ya kadhi, katiba na maandamamo mbalimbali n.k Ili tuendelea...
 11. frema120

  Maandamano makubwa ya wanafunzi maeneo ya Tazara

  Wadau nimepita tazara to airport nimeona maandamano makubwa sanaa, ya wanafunzi yakielekea buguruni via Nyerere road to mandela. Niya nini sijui, naona vijana wamepaniki kweli
 12. frema120

  Jamali Malinzi, pakuajiri unateua na pakuteua unaajiri

  Habari wakuu? Tunaomba kumpima huyu Mh. sana, anavyoshangaza katika utendaji wake. Amekuwa na shutuna mbalimbali tangu aingie TFF, kama za kuhama ofisi, kuua ligi daraja la kwanza, kuajiri watu wanaopaswa kuteuliwa kama wajumbe wa kamati kuu na wenyeviti mbalimbali kwa kupewa masilahi ya...
 13. frema120

  Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

  Wakuu salamaa? Jana nimemsikikiza mh. Lema, akieleza juu ya sintofahamu ya kuvamiwa vituo vya police, kupigwa na kuporwa bunduki n.k Kwa mshangao mkubwa akasema, Kamanda Changoja haamini kama rais kaishafanya uteuzi wa IGP na sasa anafanya sabotage to a new IGP ili aonekane anamapungufu kwa...
 14. frema120

  Barabara ya kutoka kusini, upande wa kilwa road mzinga imeziba police nendeni hapo.

  Nimepata taarifa sasa, barabara hiyo imefunga kabisa, na police wote wapo mbagara stand wanagombana na madaladala tu.. Pls watu wa breakdown nendeni kilima cha mzinga, mkasaidie kutoa magari na kupata pesa kidogo. CHANZO; Dereva wa mabus.
 15. frema120

  Askari wetu tena, walipua mabomu na kuumiza watu uwanja wa taifa leo

  Wakati wa mpambano wa simba 1 na mbeya city 2, leo taifa, police walitumia akili ile kama ya jana, kwa kulipua mabomu hovyo kwa mashabiki ambao walikuwa wakibishana na kujadiliana juu ya team yao ya simba kufanya vibaya kishabiki, pasipo dalili za uvunjifu wa amani. Lakini chakushangaza...
 16. frema120

  Aliyepandika matangazo ya NIKON Magomeni, ashugulikiwe

  Habari? simba hoyeeeee, azam hoyeeeee. Ukipita toka magomeni mapipa to jangwani, kuna ukuta mzuri sana uliojengwa na Starbag unapendezesha sana sehem hiyo, katikati barabara, lakini coy ya kuuza camera za NIKON imejaza kuta zote mbili matangazo yake mpaka kutoa maana ya kuta zile. Naomba...
 17. frema120

  Mwenyekiti Mtaa wa Migombani, Segerea aapishwa rasmi

  Mornings peoplezzzz! Baada ya sinema iliochezwa migombani, segerea kwa kuzui haki ya wanamigombani kupata mwenyekiti wao halali, na kulazimisha kumuapisha wao kwa kutumia wakili wao. Hatimaye mwenyekiti aliyeaapishwa na wananchi hao, ameapishwa rasmi na mamlaka ya kiwilaya...
 18. frema120

  Kinana ampiga stop Mwigulu, amtaka asitishe ziara zake zote za Mikoani!

  Kinana ampiga stop mwiguru ----------------------------------------------- Katika hali ya kuendelea kuchokwa, kutumia vibaya pesa za umma, na mtu wake mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita bwana Msukuma anayemiliki chopa (Na sijui huyu jamaaa katoa wapi chopa, harakaharaka hivi wakat utajiri wake...
 19. frema120

  Mwigulu anusurika, apotea angani saa sita

  Ni jana muhezaTanga, kwenye ziara yake ya chama/serikari. Baada ya dereva wa chopa aliokodi kutoona pakutua, Tanga ni shideee, lakini story hii imefichwa sana na vyombo vingine, more story nipashe front page. Chanzo: Nipashe
 20. frema120

  Urais 2015: UKAWA waanza safari

  Ukawa waanza safari ya kutafuta mgombea wa urais, kukutana jumanne kuanza mikakati ya kupata mgombea wa kiti hicho, ubunge majimbo na udiwani kata zote. Tuwasaidie kwa hapa kuwapa mwanga, kwa kila sehemu husika. ==================== Chanzo: Mwananchi
Top Bottom