Search results

 1. Injinia

  UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

  Yaani mimi katika vitu vinavyosumbua akili yangu ni hii habari ya mashoga na 'gay rights' Kwa sasa niko kwenye mji wa San Diego, California. Kila unapoenda hawa watu wamejaa, ndio wanaofanya kazi kwenye mabenki, mahoteli na kila mahali, kiasi kwamba unaweza kudhani kuwa idadi yao ni kubwa...
 2. Injinia

  Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

  Because these 2 are very common. Unfortunately
 3. Injinia

  Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

  We hebu toa kutokujiamini kwako hapa. Nchi ina lugha 2 za taifa.
 4. Injinia

  Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

  This might very easily be a simple CRYPTOCOCCAL MENINGITIS or CEREBRAL TOXOPLASMOSIS. I hope the doctors at Muhimbili are sharp enough to do a fundoscopy and lumbar puncture then start the guy on the meds as required. Ni wakati wa kutooneana aibu, no matter how big a politician the guy is
 5. Injinia

  Wahariri wa Vyombo Vya Habari wafukuzwa Malaika Hotel Mwanza?

  Ya Dodoma yametoka wapi?
 6. Injinia

  ITV: Mh. Mengi adai Manji amerudisha fedha za kifisadi

  Sikujua Mengi ni 'mheshimiwa'. Kumbe ukiwa na hela tu unapewa hiyo title ya mheshimiwa?
 7. Injinia

  Mkulo for crisis meeting as inflation nears 17pc

  We need to stop the limitless and meaningless importation of goods such as useless plastics that are brought into the country by the ton as well as other items that are either non-essential or can be manufactured within Tanzania. And there will be some morons even within the 'crisis meeting'...
 8. Injinia

  Siasa zaingia rasmi katika afya

  Nonsense. It is important to differentiate between 'doctors' i.e degree holders and clinical officers. There is no such thing as a 3-year medical training.
 9. Injinia

  Nape, Lusinde walichokuta Mwanza kimewatosha

  Is this true? Is what he said on record? I hope there is at least one media house in TZ brave enough to make this public. This is very unethical behaviour
 10. Injinia

  UDSM campus rename Mlimani Campus to JK Nyerere

  Next thing we know Mt Kilimanjaro will be renamed. *smh*
 11. Injinia

  Ikulu vs Gazeti la Mwananchi: JK akana kuwasamehe waliomuua Lut Jen Kombe

  Basi itapigwa dana dana mpaka watazamaji tusahau! Natumaini mwandishi/mhariri wa Mwananchi hataiachia hii habari
 12. Injinia

  Tiba ya kikombe haitibu - SERIKALI

  He he he!!
 13. Injinia

  Nape apingwa Facebook

  I am luvin' this! Kidogo kidogo waTanzania wanaamka. Kama kila mmoja wetu hapa akimuamsha mtu walau 1 tutafika
 14. Injinia

  Ngeleja kujiuzulu ni lazima

  Sadly hamna chochote kitakachotokea. China waziri aliekuwa na dhamana ya usafirishaji imetokea ajali ya treni - kitu ambacho hana uwezo wa moja kwa moja kukizuia lakini amejiuzulu mwenyewe kwa hiari. Not in Tanzania
 15. Injinia

  Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

  It is sad that today's Tanzania is being run as if it were a country just out of the anarchy of war. A lot of strange goings-on that no-one comes out in the open to tackle.... and the few that do end up being discredited by our own government infront of the common mwananchi
 16. Injinia

  Elections 2010 Kikwete aahidi kupandisha hadhi hospitali

  Hospitali ya rufaa maana yake lazima iwe na madaktari bingwa. Je, hospitali iko tayari kupandisha mishahara na marupurupu mengine kwa madaktari bingwa ili kuwashawishi kutoka katika mikoa/ maeneo yenye maslahi zaidi (Dar, Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro (kwa kiasi flani))? Au wasaidizi wa madaktari...
 17. Injinia

  Elections 2010 Mkutano wa dr w slaa arusha

  Napendekeza hizi picha mwenye nazo amtumie Michuzi tuone janja yake ya kubania picha na habari za upinzani
 18. Injinia

  MissTz 2010: Mrembo kakosa umiss kwa kujibu vibaya

  Big brother's not watching!
Top Bottom